ndugu zangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, bangi si haramu? Tunaelekea wapi baada ya Morocco kuhalalisha?

    Hili limenishtua sana. Morocco ni nchi ya Kiislamu kwa asilimia 99.9 inawezaje ruhusu ulimwaji wa Bhangi kwa kusema ni zao la Biashara? Hapa mbona kama wanatuchanganya?
  2. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, mkumbusheni mama kuwa wale ni wajukuu na sio watoto wake

    Habari zenu jamiiforums. Mama wa umri wa miaka 62 technically hawezi kuwa na mtoto wa miaka 13 wa kufanya mtihani wa darasa la saba. FROM WIKIPEDIA === Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who has been serving since 19 March 2021 as the sixth (and first...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mwenye connection na kazi za viwandani msaada nina cheti tu cha form four nisaidie ndugu zangu

    Nlivyomaliza form four na nikachaguliwa kwenda kusoma electrical engineering pale DIT nilisoma mwaka mmoja tu na kumaliza nilivyoingia mwaka wa pili Ada ikawa changamoto kutokana na matatizo ya kifamilia kwaiyo nikashindwa kuendelea Sasa nipo home mwenye connection ANISAIDIE jamani....Amina
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

    Habari za mchana viongozi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
  5. JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano wa kuhama kozi au chuo na kupata mkopo?

    Ndugu zanguni hebu nisaidieni Kivi kuna uhusiano kati ya kuhama kozi au chuo na upataji wa mkopo wa elimu?
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II

    Aibu! Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi. Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
  7. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu huu ni ugonjwa au madhara tu ya pilipili?

    Vipi hali zenu wakuu, kuna tatizo limemtokea brother, so nimeona nije hapa nitafute ufumbuzi wa tatizo kwa wale wanaofahamu aina hii ya tatizo. Ipo hivi, brother wangu ni mlaji wa pili pili, japo sio ile ya ukali wa sana maana huwa anaogopa usipate huko baadae. Juzi aliporudi nyumban alikuta...
  8. JamiiForums Tanzania Huu si ni utapeli ndugu zangu?

    Kutokana na umri wangu wa kukaribia kuwa mzee, nimeamua kuwa bize na mambo ya Mungu, pamoja na kutofanya matumizi yasiyokuwa na tija. Changamoto inakuja kwa michepuko yangu miwili; mmoja ana mtoto, mwingine ndio yuko mjamzito, atazaliwa huko baadaye. Huyu mwenye mtoto; mara kwa mara...
  9. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu nawaomba tuendelee kuwaombea dua wapalestina

    Allah awajaalie na awakinge ndugu zetu wapalestina dhidi ya hao madhaalimu wakubwa. Ushindi upo karibu sana, Allah muweza afanikishe, awape subra na awapumzishe mashaahidi wote pema peponi.. Aamiin! Naomba muyasikilize maneno haya ya huyu mtoto wa kipaletina, Maneno ya uchungu na yenye kutia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je, hii inaweza kuwa anxiety disorder?

    Kipindi nasoma advance mzazi wangu alinionya na kuniambia jirani yangu ana mamb ya kichawi ,na nilikuwa sipendi kabisa wajue mambi yangu hususan ninasoma wapi. Ikatokea siku nikiwa nalipa ada kwa wakala baada ya kumaliza wakati naondoka nikamuona mtoto mmoja wa ile familia akiwa mazingira yale...
  11. JamiiForums Tanzania Nasema uongo ndugu zangu?

    Kwani nasema uongo ndugu zangu?........huwa wanasema sisi wanaume wafupi huwa hatujiamini...lakini nimekuja kugundua sifa hizi zifuatazo mwanaume mfupi akiwa nazo huwa zinamuongezea kujiamini au zinamfanya ajiamini. ( a ) Ukiwa msomi walau shahada moja na kuendelea lakini...
  12. JamiiForums Tanzania Au mnasemaje ndugu zangu!

    Nyimbo za michano naonaga ni za watu waliochanganyikiwa,eti 🤔? Afu kichwa hakijakaa sawa Leo,sijui kwann...daaa🙄 🚴🚴🚴🚴
  13. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania na Viongozi wa Dini tufunge na kuliombea hili Taifa

    Sitaki kunyoosha kidole kwa mamlaka maana nina imani kila mamlaka inawekwa na Mungu. Iwe mbaya au nzuri ila anaye isimika ni Mungu pekee iwe kwa wizi wa kura ama kwa namna yoyote bado Mungu ndie anaye ziweka mamlaka nakuzipa ridhaa kuwaongoza watu. Yes kama Mungu angakuwa sio anaye bariki mambo...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kutimiza ndoto yangu ya muda mrefu ya udakitari

    Poleni na majukumu ya kila siku ndugu zangu, nimemaliza degree ya kwanza ya business administration na nina kazi yangu binafsi kwa sasa lakini haikuwa ndoto yangu ilinilazimu kusoma Ili nipate kwanza kazi ya kufanya. Ndoto yangu ni kuwa daktari na sikuweza kutimiza vigezo kwenye masomo ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kibamia siyo poa

    I've always been ashamed of my small d*ck, I'v dated my girlfriend for a year but I never touched her because I thought she might dump me after discovering that I have a tiny d*ck . So yesterday, I gathered enough courage and invited her over to my house around 7pm. We got to my room and I...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada: Connection ya Kazi ya maabara ngazi ya cheti anisaidie

    Habari ndugu zangu naomba msaada wa connection kazi ya maabara ngazi ya certificate mm ni mtalaam wa maabara ngazi ya certificate ni PRP License
  17. JamiiForums Tanzania Nafazi za kazi/ajira zinazotolewa na Serikali ni vyema zote kuwa katika mifumo ya PDF kama zinavyofanyika nyingine na kusambazwa

    Habarini Ndugu zangu, NAHITAJI MSAADA WENU KATIKA HILI 1. Ninapata changamoto hii ya suala zima la ANUWANI SAHIHI ya kujazwa kipindi natuma maombi ya kazi katika mfumo wa ajira portal. Mfano kuna baadhi ya post nafasi za kazi unakuta umeandikiwa moja kwa moja anuwani ya kuwasilisha maombi yako...
  18. JamiiForums Tanzania Habari ndugu zangu, naomba ukaribisho

    Habarini naombeni mnipokee mimi ni mgeni,na pia naomba ushirikiano wenu.
  19. JamiiForums Tanzania Leo nimetembelea hosptali. Hakuna utajiri zaidi ya Afya

    Today early in the morning I visited Ocean Rd kiukweli Hapa Duniani Afya ndo kila kitu. And Everything is about God's Grace Inaumiza sana kuona namna watu wanavyopambania Afya kwa Mateso makubwa. Kama u hai na Mzima ni Jambo la kushukuru maana hapa Duniani twapita tu. Nothing lasts. Afya...
  20. JamiiForums Tanzania Nisaidieni ndugu zangu; napitia mateso wakati NSSF wanayo pesa yangu. Nachukuaje michango yangu?

    Sina kazi karibu mwaka wa pili sasa. Kula yangu ni ya shida pakulala ni shida kila kitu kimekuwa shida. Nimekuwa na mipango mingi lakini nashindwa fanya lolote sababu pesa sina kabisa. Lakini nina pesa yangu ipo NSSF baada ya kupoteza kazi yangu walinipa mafao ya 33% kwa miezi 6 then baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…