Ukimsikiliza sana Spika Ndugai anavyohuzunikia bunge lake ni kana kwamba anawatafuta wabunge wa " kujiripua" dhidi ya Serikali lakini hawaoni waliomo wote ni maajenti wa Serikali.
Na itawezekana Ndugai ataweweseka zaidi kwa sababu akina Lembeli ambao walau waliisaidia CCM kuibana serikali...
Watanzania wapaswa kuwaogopa sana wanasiasa, tena ikiwezekana kuwasusia mikutano yao ya hadhara na kuwaweka kundi moja na walowezi wa kizungu kule Afrika Kusini.
jana spika Ndugai alisema kuwa Serikali iajiri kwa usawa wa kijiografia! Aibu kubwa kwa spika huyu asiyejua maana ya ajira.
Nchi...
Mapema leo 24/05/2021, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai amezitaka kamati kufatilia mchakato wa ajira za walimu zilizotangazwa kwa uwazi na ukweli.
Pia ameonyesha kutoridhika na ajira zilizotolewa mwaka jana huku ikionyesha kanakwamba hakuna uwazi katika kuajiri...
Upendo ni jambo muhimu na la baraka mbele zake Mungu.
Chadema walimpenda sana Spika Ndugai na hasa pale walipobaki na Dr Tulia wakati Job akiwa India kwa matibabu walimlilia na kumuombea uponyaji wa haraka.
Aliporejea Freeman alienda air port kumpokea na kumsindikiza hadi nyumbani kwake...
Ndani ya miezi sita wabunge watatu wameshafariki lazima tuhoji kulikoni hata kama wengine tuliambiwa walipata ajali.
Kwani wabunge wakichukua tahadhari ya Corona watapungukiwa na nini?
Spika pale mbele anakaa peke yake (social distance) huku third class kwa akina Halima Mdee full kubanana na...
Spika Ndugai amesema wakuu wa mikoa na wilaya wana tabia ya kujifanya wao ni marais wa mikoa au wilaya, tabia ambayo siyo nzuri na haipendezi.
Ndugai amesema Rais wa nchi hii ni mmoja tu mh Samia Suluhu Hassan wakuu wa mikoa na wilaya wazingatie hilo.
Tangu Rais Samia atengue uteuzi wa DC sabaya kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali ndidi yake hisia zinaniambia Siku za Spika Ndugai zinahesabika ikizingatiwa kwamba makosa ya spika yanaonekana in makubwa kuliko ya Sabaya.
Siku vyama vya upinzani wakikutana na mwenyekiti wa CCM na Rais wetu...
Wakuu kheri ya Idd,
Ndugu zangu wapendwa wote mlio JamiiForums ndani na nje ya nchi nawasalimia katika jina la 47Mbatizaji maana Mungu wetu sote
Niliona 'kibanda' flani kipo Wilaya ya Hai, chenye master mbili na vyumba viwilii. Nimejitokeza nataka kwa niaba ya Ndugu na Jamaa kwa bei tajwa hapo...
Nimependa mapendekezo ya Spika leo.
Anataka kuona sheria inayowapa mikopo wanafunzi wa TCU, VETA, NACTE.
Anataka 70% ya fedha za HESLB ziende ktk sayansi na teknolojia.
Ameyasema haya kwenye kilele cha mashindano ya sayansi, teknolojia na ubunifu.
Kila la kheri wabunge wetu. Tumieni hati ya...
Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.
Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?
Yohana nauliza kwanini Freeman...
Wanasema Ndugai amechokoza manyuki jike sasa ni neno kwa neno na kama haitoshi huwenda wakamvaa Ndugai hadi nyumbani kwakwe na ngoma ya kigodoro.
Ndugai omba msamaha au wacha kujibizana na kupashana na wanawake.
Imekuwa sasa ni kujibizana,Ndugai mambo ya wanawake huyawezi shauli lako !
Spika wa bunge ameyashangaa mashirika makubwa nchini kama Tanesco, TRC, Muhimbili, MOI na Posta kushindwa kuwasilisha mahesabu yao kwa CAG.
Ndugai ameitaka kamati ya bunge ya mashirika ya umma PAC kuwaita watendaji wa mashirika hayo na ikiwezekana wataishauri serikali ivunje bodo za mashirika...
Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!
Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka...
Amini nawaambieni, akina Halima Mdee (waliokuwa wanachama 19 wa CHADEMA na sasa wanatajwa kama Wabunge wa Viti Maalum) wanapata tabu na mateso makuu. Wanateswa na mioyo yao (kwamba wanaonekanaje mbele ya jamii kuitwa Wabunge huku wakiwa hawana chama chochote cha siasa kwasasa). Wamepoteza au...
Hebu kila GT yeyote aitazame na kuisikiliza video clip hii ya Spika Ndugai Job mwanzo mwisho.
Umeelewa na kujifunza nini baada ya kusikiliza? Kwanini unadhani Spika wa Bunge la JMT ndg Job Ndugai anapata wakati mgumu kuchukua maamuzi sahihi kwa hawa kina mama na badala yake anapiga siasa...
Nimeona niliandike hili sasa hapa JF na kwa uwazi ili kutoa angalizo mapema kwa mwelekeo wa siasa za Tanzania huko tuendako.
Watanzania kwa sasa wametega macho na masikio kuona ni namna gani Rais mpya wa Tanzania, mama Samia Suluhu anaweza kuivusha Tanzania inayopitia kwenye mikwamo mikubwa wa...
Kama itakumbukwa kupitia walioitwa wabunge 19 wa CHADEMA baada ya kufukuzwa uanachama, kumetokea sintofahamu inayowachanganya watanzania kutokana kauli za viongozi hawa wawili Spika wa bunge na Naibu wake.
Alisikika Naibu Spika akisema kua wabunge wale ni halali na kuwataka wabunge kuacha...
Ni kweli Spika Ndugai ana 'Mapungufu' yake, ila na Mimi GENTAMYCINE sasa taratibu naanza kuona pia kuna Matatizo ya 'Kimsingi' kwa upande wa Wapinzani ( hasa CHADEMA ) juu ya madai yao ama kwa Serikali au kwa Chama Tawala ( CCM )
Ushauri wangu tu Kwenu Marafiki zangu wa 'Kidemokrasia' nchini...
Je mliokisoma kitabu hicho mliona nini kwenye maandishi yake ? hebu tusimulieni na sisi wengine tuelewe .
====
Inaonekana Spika Ndugai alisoma kitabu cha Animal Farm! Bunge chini ya uongozi wake halikumpa Tundu Lissu nafasi ya kusikilizwa na kujitetea, lakini alihoji akiwa katika Bunge hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.