Ndoto yangu ya kufanya kazi Takukuru au Usalama naona imekufa rasmi, nasikia sauti ya kuwa mchungaji ikiniita

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari wadau!

Wakati nasoma niliwaza sana kuwa mtu wa system au Takukuru coz kipindi hicho nafasi zilikuwa zinatolewa wazi za kuwa Takukuru.

Nakumbuka jamaa yangu mmoja nilimpigania akaingia polisi, mwengine akaingia magereza ila mimi niliwaambia nyie nendeni mimi nangoja za Takukuru au Kitengo. Cha ajabu walikuja chuo wazee wa system kimyakimya wakachukua watu wao mimi wakasepa.

Sasa vyote nimekosa, hapa nawaza kuwa mchungaji wa kondoo wa bwana japo hii sio kazi, ni wito. Nataka kuanzisha kanisa ambalo litaanzia hapa JF, Twitter, FB n.k Ni online church.
 
🤣🤣 ulivyokiherehere hivi hadi mambo yako unayasema hovyo tu hutufai kuwa usalama wetu labda wa kwako peke yako..
 
Ni heri uwe pastor.
Heshima kwa wingi
Mbinguni utaenda(ukichunga kwa uaminifu)
Pesa uutapata ukifanya kwa uaminifu.
TISS, JWTZ na PCCB sasa ni ajira rasmi na si wito tena.
Mpaka watoto na ndugu zao wajae ndipo uingie wewe.
Kuwa pastor wakuletee mpunga wenyewe.
 
Habari wadau!

Wakati nasoma niliwaza sana kuwa mtu wa system au Takukuru coz kipindi hicho nafasi zilikuwa zinatolewa wazi za kuwa Takukuru.

Nakumbuka jamaa yangu mmoja nilimpigania akaingia polisi, mwengine akaingia magereza ila mimi niliwaambia nyie nendeni mimi nangoja za Takukuru au Kitengo. Cha ajabu walikuja chuo wazee wa system kimyakimya wakachukua watu wao mimi wakasepa.

Sasa vyote nimekosa, hapa nawaza kuwa mchungaji wa kondoo wa bwana japo hii sio kazi, ni wito. Nataka kuanzisha kanisa ambalo litaanzia hapa JF, Twitter, FB n.k Ni online church.

Kama Mungu hajakutuma na unajipeleka angalia usije kimbia baadaye maana uchungaji ni wito na si vinginevyo
 
Habari wadau!

Wakati nasoma niliwaza sana kuwa mtu wa system au Takukuru coz kipindi hicho nafasi zilikuwa zinatolewa wazi za kuwa Takukuru.

Nakumbuka jamaa yangu mmoja nilimpigania akaingia polisi, mwengine akaingia magereza ila mimi niliwaambia nyie nendeni mimi nangoja za Takukuru au Kitengo. Cha ajabu walikuja chuo wazee wa system kimyakimya wakachukua watu wao mimi wakasepa.

Sasa vyote nimekosa, hapa nawaza kuwa mchungaji wa kondoo wa bwana japo hii sio kazi, ni wito. Nataka kuanzisha kanisa ambalo litaanzia hapa JF, Twitter, FB n.k Ni online church.
Nina dawa ya kukufanya uwe na upako, njoo na kamioiioni kamoja TU baaaàs
 
Back
Top Bottom