Anayeweza kunitafsiria ndoto hii

Kibingu

JF-Expert Member
Jan 6, 2022
1,078
1,439
Mimi siyo mwandishi mzuri. Hivyo mtanisamehe kwa makosa yoyote ya kiuandishi yaliyopo kwenye wasilisho la ndoto hii.

Kabla ya kuielezea ndoto hii, nimekumbuka kuwa leo ni siku ya kumbukumbu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Alfajiri kuamkia leo tarehe 26/04/2022, nimeota ndoto ya maaskari wakiwa kwenye gwaride na wengine wakiua raia.

Katika ndoto nimeona watu waliovalia sare za CCM wenye mwonekano kama wapemba wakikimbia na wengine wakiuliwa na askari.

Baada ya hapo, nikaona kwenye chombo kimojawapo cha habari, mtu mmoja akijaribu kutoa habari lakini akaishia kulia na kushindwa kuongea chochote.

Maswali niliyojiuliza.

Endapo Zanzibar watataka kujikomboa na kuwa nchi huru, je, mama ataweza kulidhibiti jeshi lisiendeleze matumizi ya nguvu kama siku za nyuma?

Mama ataweza kuidhibiti nchi na kuiacha ikiwa moja kwa miaka yote atakayojaliwa kuongoza kama Rais?

CCM na majeshi yetu wataheshimu maamuzi yake litakapokuja swali la Muungano? Au watamweka pembeni na kujifanyia kinyume na maagizo ya Rais?
 
Unapenda sana siasa hadi unaziota
 
Ni muda sasa wakujitegemea. Hadi lini utaendelea kuishi kwa shemeji yako. Wikii hii ikipita kabla hujapanga chumba tutakuja kukuondoa hapo kwa nguvu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom