ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. GoodHB

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi aje kuwa mke

    Hello babe, nimekusubiria kwa muda mrefu sana, sasa nimejitokeza hadharani kukukabirisha katika maisha yangu. Please dada/mwanamke anayejielewa aje inbox chap tukamilishe agano muhimu duniani. Njoo tusaidiane kutimiza ndoto zetu na kuenjoy maisha yetu hapa duniani. SIFA ZAKE Awe smart kichwani...
  2. Putin95

    JamiiForums Tanzania Chuo cha UDSM-MCHAS acheni kuua ndoto za watu nakutoa GPA zisizo eleweka

    Yani ndugu zangu mimi ni mmoja wa waathirika wa uhujumu na ukosefu wa uadilifu na ubora wa elimu katika chuo cha udaktari kilicho anzishwa na UDSM wote tutakubaliana kwamba, kwa udaktari unatolewa ktika vyuo vya serikali unachangamoto ila kwa mchas imedhidi mpaka watu wanaamua kuacha au...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wapinzani Bado Wako kwenye Ndoto ya Kuingia Ikulu wakaamshwe

    Kama kuna vijana wako huko Upinzani wakidhani kuna siku Watachukua hii Nchi na kuingia Ikulu basi wanajidanganya sana labda baada ya miaka 50 huko baadhi ya watu wakiondoka . Kuna sababu mbili tu :- 1.Vyama vyao vinaongozwa na Mamluki na wachumia Tumbo ,Ni either na wana CCM walio vaa mavazi...
  4. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu amuweka wazi mwanaume wa ndoto zake

    Star wa bongo movie Wema Sepetu amezitaja sifa za mwanaume wakufunga nae pingu za maisha siku za usoni.
  5. Baharia Mahaba

    JamiiForums Tanzania Ndoto gani ya ajabu ambayo hutakuja kuisahau katika maisha yako yote?

    Wadau Eid Mubarak Takribani karibia watu wote tukilala huwa tunaota ndoto.... Kuna zile za uongo na fix za kutosha kama vile kuota umeokota gunia la hela, yaani unyama mwingi mwaisa 😂😂😂 (kila mtanzania kaota hii ndoto) na zile za matukio ya kweli ambazo ukiota inatokea kweli..... Sasa basi ni...
  6. Surya

    JamiiForums Tanzania Natafuta tafsiri ya Ndoto hii

    Naombeni tafsiri ya Ndoto hii. somo rahis kwangu skuli ilikua ni Mathematics. "Nimeota nafanya mtihani wa Math, Mwanzo napokea mtihani niliona mrahis na una maswali 10. Cha ajabu nilipoanza kufanya huo mtihani, kila swala nililo anza nalo kufanya lilikua gumu balaaa.. hadi ndoto kuisha.
  7. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kama una ndoto endelea kulala, kama una malengo pambania

    Ni matumaini yangu u mzima na afya tele. Leo ningependa kugusia na kuongelea kwa uchache mada inayohusisha mafanikio moja kwa moja kwa vijana ni matumaini yangu bandiko hili halitoondolewa au kuunganishwa na thread za awali. Unajua waarabu wanakamsemo "anniatu min qalbi" kwamba kila kitu ni...
  8. Kibingu

    JamiiForums Tanzania Anayeweza kunitafsiria ndoto hii

    Mimi siyo mwandishi mzuri. Hivyo mtanisamehe kwa makosa yoyote ya kiuandishi yaliyopo kwenye wasilisho la ndoto hii. Kabla ya kuielezea ndoto hii, nimekumbuka kuwa leo ni siku ya kumbukumbu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Alfajiri kuamkia leo tarehe 26/04/2022, nimeota ndoto ya...
  9. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Nawaza ila ni ndoto

    Nawaza sana ile siku ya tarehe 17/03/2020 tulipoondokewa na Rais wa jamhuri ya Tanzania ni siku ambayo nilifikiria mengi kuhusu siri ya ulimwengu na jinsi unavyojiendesha(endeshwa),ila niliishia kwa kusema sifa kuu apewe muumba wa mbingu na ardhi yake ni yeye mwenye kuunda na kuboa hivyo...
  10. Mama pretty

    JamiiForums Tanzania Ninaomba tafsiri ya ndoto hii kwa mwenye kufahamu

    Wakuu, nimeshtuka kutoka usingizini takribani zaidi ya nusu saa iliyopita nikitafakari juu ya ndoto hii niliyoiota. Nimeota nipo mazingira yangu ya kazi ( inaniunganisha mimi na wateja) kuna kitu mteja alijieleza lakini Meneja wangu hakumuelewa ila mimi nilikua nimemuelewa nikaamuru ahudumiwe...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya Safari za Anga za Juu Duniani: Kuchunguza ulimwengu ni ndoto ya wanadamu wote

    Leo Aprili 12 ni Siku ya Safari za Anga za Juu Duniani au kwa jina lingine ni Siku ya Kimataifa ya Binadamu Kwenda Angani. Kutoka "mazungumzo kati ya mbingu na dunia" na wanaanga wanaotekeleza majukumu kwenye anga za juu, kujibu barua za wanasayansi wazee walioshiriki katika operesheni ya...
  12. Yohimbine

    JamiiForums Tanzania Ndoto hii ina maanisha nini?

    Habari wakuu poleni na Majukumu ya kutafuta ugali ,japo ni mgumu naamini sote tutaupata. Wakuu kuna hii ndoto imenishtua sana leo naomba wale wenye utaalamu wa ndoto hii wanielezee iko hivi. Nimeota nipo shule ya bweni sasa siku hiyo ilikua ni siku ya kufunga shule majira ya mchana hivi mimi...
  13. MMASSY

    JamiiForums Tanzania Aina za watu hatari katika kufanikisha ndoto zako

    Na Jerome Mmassy,Arusha Mwandishi wa vitabu maarufu Jim Rohn alisema kuwa “Wewe ni wastani wa watu watano unaokaa nao muda mwingi”.- Alisisitiza kuwa Kama unataka kufanikiwa hakikisha unatumia muda mwingi kukaa na watu ambao watakuwa na msaada kwenye mafanikio yako. Katika Maisha ya kawaida...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya ndoto hii aliyoota mke wangu

    Mke wangu kaoota nyoka anamzuia kila akijaribu kupita njiani. Kila akijaribu kutafuta upenyo nyoka anaziba njia
  15. A

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kutafsri ndoto

    Nimekuwa nikiota ndoto za kuokota pesa tena sarafu zikiwa kwenye mstari mara kwa mara ingawa Jana nikiwa na piga story za jamaa zangu nao wamesimulia ndoto hiyo nini maana yake?
  16. LifeMission

    JamiiForums Tanzania Sababu ya magenge ya chipsi kufa

    SWALI LA KWANZA UNAPENDA AU UMEWEKEZA TU.?? Leo nataka nitoe mfano mmoja kwa kutumia GENGE LA CHIPS tu. Hapa naongea na watu wanaopenda sio wanaowekeza ,ndio unawekeza je unapenda ???? kwanza unapenda ??? Usilaumu Usimamizi wakati hufurahii kukaa kwenye Banda la chips mda mwingi Kuna watu...
  17. girose

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie Tafsiri ya ndoto hii

    Wanandugu, naomba mnisaidie maana ya ndoto hii. Juzi nimeota ndoto moja hivi ambayo inanisumbua mpaka sasa. Niliota kwamba Mwalimu Mwakasege anagonga hodi nikamfungulia. Nilipomfungulia mlango akaingia huku akisema ya kwamba amezunguka sana akipatafuta ninapoishi. ndipo alipoingia akakaa kwenye...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tafsiri ya ndoto hii

    Usiku wa kuamkia leo nimeota mchumba wangu kachelewa kurudi nyumbani akadai ameogopa kunigongea ningempiga na akaenda kulala dukani kwani aliniaga anaenda kwenye party nikamruhusu Baada ya muda panatokea maaskari na mgambo dukani wakidai wanamuulizia binti anaitwa Saada ambaye inasadikika...
  19. emmarki

    JamiiForums Tanzania Napata ndoto za kutisha baada ya kwenda kwa mganga wa kienyeji

    Nilijenga msingi mzuri wa imani yangu kwa Mungu, kuwa ndio anayeweza kunitoa kwenye hili dimbwi la kukosa kipato licha ya kugraduate since 2014 hizi digrii yeboyebo. Japokuwa Mungu alinisaidia kupata kazi za mikataba ya muda mfupi lakini mishahara ni ile ikizidi sana ni laki nne, sehemu nyingi...
  20. Mystery

    JamiiForums Tanzania Bila kutenda HAKI ni ndoto kudumisha AMANI nchini, iwe ndiyo "slogan" ya Taifa kuanzia sasa

    Tokea Mwenyekiti wa Chadema, shujaa Freeman Mbowe, atoke jela, siku chache zilzopita, alikokuwa amekaa zaidi ya miezi 8 kwa Kesi ya michongo ya ugaidi, amekuwa alisisitiza Sana neno HAKI kuwa likidumishwa nchini, Taifa letu litapona. Hata kwenye maandiko matakatifu ya Biblia, kitabu cha Mithali...
Back
Top Bottom