ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ndoto za kweli

    Binafsi sikuwahi kufikiria kabisa kuhusu ndoto. Nilikuwa nachukulia kama mauza uzaza ya uchovu na mawazo ya siku nzima. Ila kuna kitu nimekuja kukigundua kwa namna mbili kwanza ni kuwa sina kawaida ya kuota ota kila wakati na ikitokea naota basi hiyo ndoto inakuwa kweli. Mfano nikiota mtu...
  2. JamiiForums Tanzania Vijana Fanyeni Michezo Ili Kuimarisha Afya Zenu na Kutimiza Malengo na Ndoto Zenu

    NAIBU WAZIRI CHILO: VIJANA FANYENI MICHEZO ILI KUIMARISHA AFYA ZENU NA KUTIMIZA MALENGO NA NDOTO ZENU Mbunge wa Jimbo la Uzini Muheshmiwa KHAMIS HAMZA CHILO Amewataka Vijana (Wanamichezo) wa Jimbo la Uzini kufanya Michezo kama sehemu ya Kuimarisha Afya zao na Kukuza Vipaji na Kitimiza Ndoto...
  3. JamiiForums Tanzania Ndoto ukifanya mapenzi na mtu UNAYEMJUA, Tafsiri yake

    Nadhani hii ndio ikawa sababu kubwa ya kwanini watu wengi wanakua wagumu kuamini kuwa kila ndoto unayoipata inakuwa na maana na umuhimu wake. Lengo kuu la ujumbe wa ndoto ni i. Kupewa maelekezo nini cha kufanya (mawazo) ii. Maonyo (warning) iii. Kuoneshwa mambo ya mbele yatakayokuja kutokea...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia na ndoto za mabinti wengi

    Na Kevin Lameck Miongoni mwa yasiyopimika kwenye mizani ya namna yeyote ile ni athari kubwa ya SAMIA SULUHU HASSAN kwa wasichana wadogo na mabinti. Dkt. Samia Suluhu si tu ni Rais wa Tanzania lakini pia ni Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa serikali na Mwenyekiti wa Chama Tawala - CCM. Katikati...
  5. JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa uwepo wa roho na ulimwengu wa roho ni ndoto

    Kila mtu anapo lala usingizi kuna kitu hutokea kinaitwa rapid eye movement (REM) macho kuzunguka kwa haraka. Hutokea baada ya saa 1 hadi masaa 2 katika usingizi. Ndipo utaanza kupata ndoto au maono ambayo ni kama jambo halisi nala kawaida. Wengi wenu manapokua kwenye ndoto, ndoto hizo huja na...
  6. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya ndoto niliyoota leo

    Tumsifu Yesu Kristo taifa la Mungu,Bwana Yesu asifiwe wapendwa, ndugu zangu upande wa pili ktk Imani Amani ya Mungu iwe nanyi. Ilikua mnamo saa Tisa usiku wa Leo niliamka ili niweke simu chaji na pia ni kawaida yangu kukagua mazingira nione Kama Pana ugeni wowote nje toka kwa mawakala wa yule...
  7. JamiiForums Tanzania Ulivyokuwa mdogo ulikuwa na ndoto ya kuja kufanya kazi gani?

    Leo nimekumbuka kipindi nipo mdogo nilikua na ndoto ya kuja kua Miss Tanzania. Akili yangu yote ilikua inajua Miss Tanzania ni kazi kama daktari, mwanasheria, mwalimu au kazi zingine. Nilivyofika form 1 ndo nikajua kumbe sio kama nilivyodhani, hapo nikapata mawazo ya kua mwanauchumi mpaka sasa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Madaktari zaidi ya 300 hatarini kupoteza nafasi kufuatia maamuzi ya Baraza la Madaktari

    Hii inapelekewa na uwepo wa kitu kichoitwa "post internship examinations" Baraza la madakitari Tanganyika limeandaa utaratibu wa kufanyisha mitihani ya kusajili madakitari tangu mwaka 2021, lakini mtihani huo umujawa na sintofahamu kibao; 1. Zaidi ya vijana 200 wamemaliza mafunzo ya utarajali...
  9. JamiiForums Tanzania Ndoto iliyobeba ufunuo au maono

    Zaidi ya asilimia 80 % Mungu huzungumza kupitia ndoto, ujumbe wa picha na alama ambazo zinakua zimebeba ujumbe au maagizo fulani. Mungu huzungumza kwa mafumbo, ishara na picha tunaweza kuziona katika ulimwengu wa ndoto. Mungu hutuma Malakia zake hapa duniani kushirikiana na Roho za wacha Mungu...
  10. JamiiForums Tanzania Roho na ndoto (Dreams)

    Binadamu ni i. Roho iii. Nafsi iii. Mwili Katika nafsi ndani yake hukaa Akili(mind) Nafsi imepewa uhuru wa kuchagua kutii amri ya mwili au amri ya Roho. Mungu alimuumba mwanadamu aishi kwa kufata Roho (Kuishi kiroho) Ukiishi kimwili unakua unakosea. Mwili wako una macho mawali. Roho yako...
  11. JamiiForums Tanzania SoC03 Ndoto za Mtoto: Jinsi Jamii na Viongozi Walivyomsaidia Mtoto Kufikia Malengo Yake

    NDOTO ZA MTOTO: JINSI JAMII NA VIONGOZI WALIVYOMSAIDIA MTOTO KUFIKIA MALENGO YAKE Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Ndoto ni malengo ya mtu katika maisha. Watoto wana ndoto mbalimbali, lakini si wote wanafikia ndoto zao kutokana na shida kama umaskini, ujinga, magonjwa, ukatili, ubaguzi...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Hii ndoto imenisumbua sana usiku kucha, ni nani huyu?

    Wajumbe, katika Imani zote hata za kina Yericko Nyerere tunaambiwa tusipuuze ndoto na hasa ndoto za usiku wa manane. Jana nimeota namuona kiongozi mwandamizi wa chama fulani akiwa amevalia nguo za kijani akiwa na kundi la vijana wakimshangilia lakini ghafla akapigwa mshale wa ubavuni na kufa...
  13. JamiiForums Tanzania Zuckerberg na ndoto ya kuua social network nyingine

    Huyu jamaa baada ya kusumbuana na twiter na Telegram muda mrefu naona sasa kaamua awaue kabisa, Anacopy features nyingi za telegram na kuziweka WhatsApp, anakuja na uwezo wa kutuna HD picture, anakuja na channels sasa hapo Telegram itakuwa haina jipya Kwa sasa anaanzisha app ya threads, hii ni...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake waliotuzunguka ni puto na sindano kwenye mafanikio ya vijana wengi wa kiume

    80% ya wanawake waliotuzunguka Ni puto na Sindano kwenye mafanikio ya vijana wengi wa kiume. Imenichukua mda mrefu kuiva katika hili ila ndani ya mda mfupi ntakupa nondo zililivotukuka zitakazokujenga na kubadili maisha yako sana Let's Go.... Ilikuwa ni Asubuhi moja Murua, Nikiwa katika...
  15. JamiiForums Tanzania Chongolo: Huwezi kuja na ndoto zako na ukawa kiongozi CCM

    "....CCM inawategemea ninyi vijana kukisemea na kuwalinda viongozi wake pasipo kubagua . Mkisimama kwenye msingi huo daima mtaendelea kufaidi fursa zaidi na zaidi." "....kaweni viongozi wa watu na siyo kuwa viongozi wa kiongozi. Wengi wenu mnatumika na hao wanaokuja CCM na ndoto zao za kuwa...
  16. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ndoto ya Kijana leo...

    NDOTO YA KIJANA LEO Kulikuwa na kijana mdogo aitwaye Leo, aliyeishi katika mji mdogo uliojaa vurugu na utawala usio bora. Kila siku, alikumbana na ukiukwaji wa haki za binadamu, ufisadi, na kukosekana kwa uwazi na uwajibikaji katika serikali yao. Leo alikuwa na ndoto ya kuishi katika nchi yenye...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wa ndoto hii inayonisumbua kila siku

    Habari ndugu jamaa na Marafiki, Mimi ni kijana wa miaka 29. Nimehitimu elimu ya chuo tangu mwaka 2019, lakini nimekuwa na hari ya kutokewa na ndoto ya aina moja mara kwa mara, wakati mwingine inatokea usiku mara mbili mpaka mara tatu. Ndoto yenyewe ni kuota niko chuoni bado nasoma na mara...
  18. JamiiForums Tanzania SoC03 TEHAMA imepewa kisogo na Wizara ya Afya. Je, ndoto ya huduma bora kwa kila Mtanzania itafanikiwa?

    Wakati Rwanda inajikita katika kuboresha Matumizi ya Tehama kila eneo ambalo limekuwa na changamoto ya Tehama, usambazaji wa Dawa( kwa ndege isiyo na Rubani, Usambazaji wa Damu maeneo yasiyofikika kirahisi, usambazaji wa Chanjo katika maeneo ambayo hayafikiki kirahisi) mwana afrika mashariki...
  19. JamiiForums Tanzania Jamani, hii ndoto imekaaje?

    Nimemwota muuza kuku😳...Yaan mpenz wangu sijawahi mwota hata mara Moja lakini Leo nashtuka toka usingizini nacheeeka.Ilikuwaje!? Ni hivi,nimeota nilikuwa navuka daraja nyakati hizo mvua inanyesha sana... mbele yangu Kuna bro pia alikuwa anavuka (hapo sijajua kuwa ndo huyo muuza...
  20. JamiiForums Tanzania Je, kuna siri yoyote kuhusu ndoto?

    Je, kuna ukweli wowote kuhusu ndoto zinazojirudia? Wakuu uzi huu ninaouleta kwenu unahusu mengi kuhusiana na ndoto ikiwemo ndoto za kujirudia pamoja na ndoto zengine tusizozielewa zina maana gani kwani mimi pia nasumbuliwa na ndoto za ajabu nikiwa sielewi zinahusu nini. Katika usiku wanane...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…