Mwenye maono ya ndoto kuja hapa

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,553
2,992
Salaam!

Kwanza nimshukuru Mungu kwa uzima na uhai hadi sasa nipo safi na njema sana, then am going straight to the point mimi ni kawaida yangu kupata ndoto every day lakini jana nilipata ndoto ambayo iliniamsha na imenishitua.

Kwenye ndoto nimeona kama napigiwa simu na shangazi yangu alikuw katika hali ya kunitafta ghafla akanambia baba yako anakutafuta hakuoni na kuna watu wanasema kuna dili pesa milion kadhaa mie nikamjibu uongo sijawah kufanya dili la pesa kubwa, mara ndoto ikanipeleka home ambapo nimeishi zamani na bibi but before niliona ajali kama 3 na ndani ya ndoto nasema hizi zote zilikuwa zangu ila naepushwa mara kuna ajali nyengine kuna mdada kaipata kwa ajili yangu na najaribu kuomba msaada yule dada anasema hataki kusaidiwa.

Haya tuendelee niliporud home nikakuta maneno haya kwenye sakafu (MY JAMES TEAM COMES FOR YOU) niliposhtuka (usingizini) nikayaandika maneno hayo then baada ya kuona hayo maneno hapa ndoto inaendelea nikapandisha mashetani ya kizungu nikawa nasema (WHY ME EVERYDAY AM IN TROUBLE WHAT DID I DO?) kana kwamba nalalamika kwanini mambo ya mitihan yananitokea muda wote huku bibi na shangazi wananitazama..muda wa ndoto ulikuwa saa 7 na nusu usiku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom