Ndoto niliyoiota alfajiri ya leo imeniogopesha sana, sidhani kama ilikuwa ni ndoto ya dhiki kuu ijayo Tanzania

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,721
10,220
Nimeota tumepewa paund 200 na bibi yangu, kila mmoja, mama yangu, mimi na mdogo wangu.

Niko kwenye eneo kùbwa la wazi, ni kama karakana, supervisor mzungu akanifuata akaniambia niondoke hapo mara moja. Hali ni mbaya sana nitafute eneo salama.

Nikaingia ndani ya nyumba, na mara ghafla mvua kubwa sana ikaanza kunyesha.

Nyumba ilikuwa ikivuja sana nikaamua kwenda nje nitafute sehemu nitakayoweza kujisitiri.

Baada ya kutoka nje hatua chache nikaona maji yametengeneza mto mkubwa sana sehemu ambayo haijawahi kuwa mto. Nikaogopa.

Nikaamua kurudi nilikotoka. Maji yakawa yameongezeka sana, na mara ghafla nyumba ikaanza kuungua.

Nikawa napiga kelele za moto, moto, moto hamna anayeitikia na kuja kunisaidia.

Nikaamua niende kupanda ukuta wa fence, nao ukaanza kuwaka moto.

Sasa moto ukawa unawaka kwenye kila nyumba. Moto unatoka angani, umesambaa kila mahali, hamna pa kujificha.

1698033478644.png

Moto unashuka mithili ya mvua, nikasema kufa ndio huku.

Nikaanza kumwambia Mungu, kwa hiyo ndio umeamua tufe? Mungu akasema hata wakati wa gharika wapo waliopona.

Hata nilipoteketeza Sodoma na Gomora wapo waliopona.

Nikashtuka na kujikuta nimelowa sana jasho.
 
ulipanda daladala ya wap ukaota ndoto ngumu hivyo ya kiuchumi?

Chunga uchumi wako vizuri la sivyo utateketa kama moto kila ukiimarika.
Punguza anasa na starehe. Michepuko sio deal.

Amekupa bure saidia wenzio bure,inaoneshe husikilizagi watu kwa jeuri ya mali kidogo uko nayo na ndio maana unapiga kelele ya moto hakuna anae kuskiza.

Ishi vizuri na majirani, marafiki,saidia wahitaji ukipata nafasi na uwezo.

Hiyo ni ishara uchumi wako ukilengwa kuanguka, shikilia vizuri kazi na biashara yako, Mshirkishe Mungu sana. Epuka uganga na ushirikina.
 
ulipanda daladala ya wap ukaota ndoto ngumu hivyo ya kiuchumi?

Chunga uchumi wako vizuri la sivyo utateketa kama moto kila ukiimarika.
Punguza anasa na starehe.
Michepuko sio deal.

Amekupa bure saidia wenzio bure,inaoneshe husikilizagi watu kwa jeuri ya

maana unapiga kelele ya moto hakuna anae kuskiza.
Na wenyewe walikuwa wako kwenye deep shit kama mimi. Moto ulikuwa unamwagika kama mvua kutoka angani.

1698034458601.png
 
Uchumi unateketea ni bibi yako anahusika katika kuteketeza uchumi wako na mama na mdogo wako...

Kuota unapewa hela ni umasikini ulikuwa unapewa...

Mungu amekuonyesha adui yako, na amekuonyesha atavyokupigania...

Omba sana Mungu...

Mathayo 10:36
Adui wa mtu ni wale wa nyumbani mwake...
 
Nimeota tumepewa paund 200 na bibi yangu, kila mmoja, mama yangu, mimi na mdogo wangu.

Niko kwenye eneo kùbwa la wazi, ni kama karakana, supervisor mzungu akanifuata akaniambia niondoke hapo mara moja. Hali ni mbaya sana nitafute eneo salama.

Nikaingia ndani ya nyumba, na mara ghafla mvua kubwa sana ikaanza kunyesha.

Nyumba ilikuwa ikivuja sana nikaamua kwenda nje nitafute sehemu nitakayoweza kujisitiri.

Baada ya kutoka nje hatua chache nikaona maji yametengeneza mto mkubwa sana sehemu ambayo haijawahi kuwa mto. Nikaogopa.

Nikaamua kurudi nilikotoka. Maji yakawa yameongezeka sana, na mara ghafla nyumba ikaanza kuungua.

Nikawa napiga kelele za moto, moto, moto hamna anayeitikia na kuja kunisaidia.

Nikaamua niende kupanda ukuta wa fence, nao ukaanza kuwaka moto.

Sasa moto ukawa unawaka kwenye kila nyumba. Moto unatoka angani, umesambaa kila mahali, hamna pa kujificha.

View attachment 2789862

Moto unashuka mithili ya mvua, nikasema kufa ndio huku.

Nikaanza kumwambia Mungu, kwa hiyo ndio umeamua tufe? Mungu akasema hata wakati wa gharika wapo waliopona.

Hata nilipoteketeza Sodoma na Gomora wapo waliopona.

Nikashtuka na kujikuta nimelowa sana jasho.
Kama unaamini katika ndoto basi huo ni umaskini unakunyatia mwanangu.
 
Hii ni DPW
Mama Tanzania ameoewa vipande vya pesa, ameunguza nyumba/nchi.
SUbirini cha moto.

Sasa wananunua ardhi Njombe, wakitoka huko madini, mbuga za wanyama, sgr, umeme, Ngorongoro nk.

Sitaki kei wa lumumba ani quote
 
Nimeota tumepewa paund 200 na bibi yangu, kila mmoja, mama yangu, mimi na mdogo wangu.

Niko kwenye eneo kùbwa la wazi, ni kama karakana, supervisor mzungu akanifuata akaniambia niondoke hapo mara moja. Hali ni mbaya sana nitafute eneo salama.

Nikaingia ndani ya nyumba, na mara ghafla mvua kubwa sana ikaanza kunyesha.

Nyumba ilikuwa ikivuja sana nikaamua kwenda nje nitafute sehemu nitakayoweza kujisitiri.

Baada ya kutoka nje hatua chache nikaona maji yametengeneza mto mkubwa sana sehemu ambayo haijawahi kuwa mto. Nikaogopa.

Nikaamua kurudi nilikotoka. Maji yakawa yameongezeka sana, na mara ghafla nyumba ikaanza kuungua.

Nikawa napiga kelele za moto, moto, moto hamna anayeitikia na kuja kunisaidia.

Nikaamua niende kupanda ukuta wa fence, nao ukaanza kuwaka moto.

Sasa moto ukawa unawaka kwenye kila nyumba. Moto unatoka angani, umesambaa kila mahali, hamna pa kujificha.

View attachment 2789862

Moto unashuka mithili ya mvua, nikasema kufa ndio huku.

Nikaanza kumwambia Mungu, kwa hiyo ndio umeamua tufe? Mungu akasema hata wakati wa gharika wapo waliopona.

Hata nilipoteketeza Sodoma na Gomora wapo waliopona.

Nikashtuka na kujikuta nimelowa sana jasho.
Moto ni upanga

Nilikuwa namsimulia mama yangu jana vitu kama hivi nilivyoviona (siyo kuviota).

Dhiki inakuja lakini siyo ile tuliyoizoeea.

Tumlilie Mungu
 
Back
Top Bottom