Ndoto ya harusi ya kila introvert,

Ndoto ya harusi ya kila introvert,

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
2,739
Reaction score
8,327
Hii ndio ndoto ya introvert hata kama ni bilionea

Na hawa bado ni wengi kwa baadhi yao 😂

1784480955941.png
sh
 
Labda kama Introvert wa kiume, ila wa kike hata awe Introvert vipi atataka sherehe, plus wazee wako ndio kabisa. Mimi na wakubaligi maostaz yaani hawana mambo mengi hata mpiga picha haitwi, anaitwa shekhe kijana wake mmoja wakumshikia vitabu anamaliza, watu hata hamjui baada ya siku tatu mnasikia fulani kaoa na unaweza ukakuta kijiweni mlikuwa mnakaa nae.
 
Hata kanisani ipo hio, Magufuli alifunga style hio, walienda kanisani yeye na mke wake wakamaliza halafu usiku akaendelea na kitabu
 
Labda kama Introvert wa kiume, ila wa kike hata awe Introvert vipi atataka sherehe, plus wazee wako ndio kabisa. Mimi na wakubaligi maostaz yaani hawana mambo mengi hata mpiga picha haitwi, anaitwa shekhe kijana wake mmoja wakumshikia vitabu anamaliza, watu hata hamjui baada ya siku tatu mnasikia fulani kaoa na unaweza ukakuta kijiweni mlikuwa mnakaa nae.
mi sio mambo yangu 😀😀au na mi wakiume
 
Back
Top Bottom