ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Trump Alisema Iran Air Force Kaimaliza Kumbe Alikuwa Kwenye Ndoto

    Jf ujumbe ndio huo. Na kuhusu hawa kina Echolima1 na jina lingine anajiita Mlaleo Sa kichaa mwenzenu atasema nini hapa Iran karibu watanza kushambulia kutumia Fighter Jets https://youtu.be/ImHc0t4N7JM?si=y2YSieqz2zadMYuF Tunawasubiri kwenye vita vya chini pia...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuota ndoto mara kadhaa kuwa nitamkuta mama anajifungua njiani Na ndicho nilichokishuhudia leo

    Wakuu ni Leo tena. Huwa sina shaka na ndoto zangu kabisa ila ni sharti ijurudie mara3 ndo inakuja kutimia kwa 97%-100% Mwaka 2024 nikiwa kijijini kwa wazee niliota kuwa naenda kazini night shift nikamkuta mama anajifungua(yaani naingia usiku kazini japo huwa siendi usiku huwa naenda saa10...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Urais 2030: Kuna Ubaya Wowote kwa Mtu Yeyote Kuwa na Ndoto ya Urais? Mkwala Huu kwa Ndoto ya Urais, Inaweza Kuwa ni Ule Uchawa wa "Atake Asitake"?!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo Hakuna Ubaya Wowote Kwa Mtanzania Yeyote Kuwa na Ndoto ya Kuwa Rais wa JMT!, Msiwatishe Bure Wenye Ndoto Hizo!. Leo naomba kuzungumzia tabia mbaya iliyozuka kwa baadhi ya viongozi, kuwatisha watu wengine na kufifisha ndoto...
  4. zee_latown

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya 500/50 ilivyobadilisha muelekeo wangu

    wanajamvi wote habarini,heri ya sikukuu ya eid. mimi si muandishi mzuri sana, nimekuwepo jamii forums muda kidogo, ila kulikuwa na kitu moyoni mwangu nikitaka ku share pamoja ndoto zipo za aina mbalimbali. unaweza kuota unafukuzwa na wanyama wakali, unakula, unahesabu pesa, nk nataka niseme...
  5. Parabolic

    JamiiForums Tanzania TCB Yazindua Kampeni Kuwezesha Ndoto za Watanzania

    Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imezindua kampeni maalum inayolenga kuwawezesha Watanzania kufikia ndoto zao kwa kuwapatia suluhisho sahihi za kifedha, hatua inayotarajiwa kuchochea ukuaji wa uchumi na kuongeza ustawi wa jamii. Kampeni hiyo inalenga kuimarisha upatikanaji wa huduma za kifedha...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ondoeni timu uwanjani tu, ndoto ya demokrasia Tanzania haifikiki bila CCM kugawanyika kutokea ndani

    Nimechukua muda kutafakari historia za kisiasa za Venezuela, Iran, Russia, China n.k pamoja na kuangalia Hali ya kisiasa ya dunia kwa sasa, ukweli mchungu ni kwamba katika nchi yetu ni vigumu sana upinzani halisi kama wa CHADEMA kupambana na kuishinda CCM na kuweza kuleta demokrasia. Ukweli ni...
  7. hamis77

    JamiiForums Tanzania “NIFUATE” – Ndoto Iliyobadili Maisha ya Mwanamke Kutoka Iran

    Hivi karibuni, wanawake watatu waliokuwa Waislamu walishiriki ushuhuda wao wa kipekee kupitia jukwaa la “I Found the Truth”, wakieleza jinsi walivyodai kukutana na Jesus Christ katika ndoto na maono ya kiroho. Ushuhuda wao unaeleza jinsi wanavyoamini kuwa Yesu anajifunua kwa Waislamu wengi...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Nina Wazo: Watanzania tuujenge Mnara wa kuwakumbuka Wapigania haki wa 29 Oktoba 2025

    Ninataka kuona Mnara kuwakumbuka Wapigania haki wa 29 Oktoba 2025. Watu wengi wamekufa wengi wamepotezwa. Majina yao yatakuwa hadharani. Nimemuandikia Barua Waziri wa Vijana ila bado hajajibu Barua. Nimemuomba hela zinazotengwa kwaajili ya kuwawezesha Vijana, kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Karai na ndoto: Vijana wa Tanzania wakumbatia sanaa ya mapishi ya Kichina

    Katika jiko lenye shughuli nyingi katikati mwa jiji la Dar es Salaam, milio ya visu vigonga ubao wa kukatia ilijaa hewani. Katikati ya mvuke na sauti za makarai, Ruth Washima Seni, mwanafunzi kijana wa Tanzania anayesomea mambo ya huduma, anajaribu kukata viazi kwa usahihi, vipande vyembamba...
  10. FORBIDDEN HISTORY

    JamiiForums Tanzania Niliwahi tumia chumvi kuzungushia katika kila angle ya kitanda, usiku nilihangaika sana kulala, ndoto mbaya na taflani kubwa ambayo sijawahi ona

    Sina cha kufaidika kuwadanganya katika hili ila ndio hali ilionipata usiku huo. Wala sikulala na taharuki na wlaa sikulala katika mawazo ya kitanda changu kuwa chumvi ila nilipitia hali ngumu aisee Ningependa kupata elimu nzuri kuhusu chumvi hii ya mawe, ili tusaidiane namna nzuri ya kuitumia
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni kiongozi chipukizi mwenye ndoto kubwa za uongozi bora tafadhari mfanye nayib bukelle wa el salvador kama kioo chako

    Huyu mwamba katika kipindi kifupi ameweza kuharibu mizizi ya magenge ya uharifu/madawa ya kulevya na uongozi wa ubadhilifu uliokuwa umeikumba nchi hio miongo na miongo.
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ndoto ilitotabiri Mwisho wa Japani Kabla ya Hiroshima na Nagasaki: Sehemu ya pili

    Tuendelee na sehemu ya pili na ya mwisho. Kupanda kwa Prince Fumimaro Konoe kuelekea kilele cha mamlaka hakukuwa matokeo ya mapinduzi, bali mwendelezo wa urithi wa kifalme uliovaa suti ya siasa. Sasa mwezi Juni 1937, kwa mapendekezo na maneno mazuri kutoka kwa mlezi wake Saionji Kinmochi, Konoe...
  13. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ndoto ilitotabiri Mwisho wa Japani Kabla ya Hiroshima na Nagasaki: Sehemu ya kwanza

    Vitabu vya historia vinatuambia kuwa kabla ya Hiroshima pamoja na Nagasaki kupigwa na pigo basi walikuwa wameshachapika vya kutosha, yaani kabla ya zile bomu mbili kushushwa kulikuwa na hali mbaya sana ndani ya Japani. Raia wengi walifahamu kuwa Japani pamoja na Mfalme Hirohito hawatoboi mbele...
  14. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania 14. Tatizo la JKT si vijana waliopelekwa huko - tatizo ni taifa lililoamua kuigeuza JKT kuwa kaburi la ndoto zake lenye bendera juu

    Unajua tofauti kati ya JKT ya Mwalimu na hii ya sasa? JKT ya mwalimu ilikuwa sehemu ya kuishi, kufanya kazi, kujenga taifa, kuwa mtu huru mwenye taaluma na hadhi. JKT ya sasa ni sehemu ya kubana pumzi, kufukuza akili na kurudisha mtu kijijini akiwa amechoka zaidi kuliko alivyoingia. Na ndiyo...
  15. secretarybird

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ndoto: Nimeota watanganyika wameandamana kimasihara

    Jana usiku sikulala mapema kwa kuwa nilikuwa naperuzu humu hadi saa nane usiku. Asubuhi nilienda kanisana kama kawaida yangu. Sasa kwa sababu sikupata usingizi mzuri usiku nikaanza kusinzia kanisani na hatimaye nililala fofofo kiasi cha kutosikia kilichosemwa na padre. Ghafla nikaanza kuota...
  16. Pearce

    JamiiForums Tanzania Ndoto niliyoiota 19/11/2025

    Niliota kulikuwa na Ndege Aeroplane ambayo inataka kufanania na Gulfstream lakini ilikuwa imepakwa rangi za jeshi Lakini kwenye ndoto hiyo, ndege ilikuwa juu kwenye Mlima mkali wenye makorongo, na ndege hiyo ilikuwa inajaribu kupaa ili iondoke kwenye Mlima huo. Nikawa nawaza kwenye hiyo ndoto...
  17. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Ndoto niliyo ota kuhusiana na maandamano ya 9.12.2025

    Hapo vip!! Jana usiku wa tar 17.11.2025,nimeota ndoto kuhusiana na maandamano ya tar.9.12.2025. Na nimeona mambo haya:- 1.kwanza nikweli maandamano yatafanyika. 2.Hakutakuwa na umwagikaji damu kama yale ya mwanzo. 3.Nimeona polisi wakikataa kuwapiga risasi wananchi. 4.Nimeona waandamanaji...
  18. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Saa ya ukombozi ni sasa or else ukombozi wa nchi yetu utaendelea kuwa ndoto kwa kipindi kirefu sana kijacho

    Watanzania, tulikotoka ni mbali. Nitashangaa kama safari yetu ya kujikomboa itaishia hapa. Tukiishia hapa, wanamtandao hawaendi kuendelea kutumia mikakati na mbinu zao za sasa. Watajipanga upya na kuusuka vizuri zaidi mtandao wao. Needless to say, our future attempts won’t make a significant...
  19. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini ndoto za Mange za Jeshi la Tanzania kuasi haziwezi kufanikiwa?

    Jeshi la Tanzania haliwezi kuasi kwa sababu limejengwa juu ya msingi wa historia, umoja na falsafa ya kitaifa iliyopandikizwa tangu enzi za ukombozi. Wakati mataifa mengi ya Afrika yalirithi majeshi ya kikoloni yaliyokuwa vyombo vya ukandamizaji, Tanzania ilijenga Jeshi la Ulinzi la Wananchi...
  20. Desierto

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutengana na mwanamke nimeota ndoto mbaya

    Hii ndoto nimeiota saa nane usiku na usingizi ukayeyuka kabisa Ni mwezi mmoja sasa unaishia toka ameenda kwao mpaka sasa hajarudi Kisa cha kutorudi ni kwasababu wakati anaondoka nilimwambia asiende hivo nikakuta ameenda kwao kulikuwa na sherehe. Lengo ilikuwa sio kumzuia lengo nilikuwa tu...
Back
Top Bottom