Mwl Mwakujonga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 368
- 735
Ndoto ni lango la kiroho la mawasilinao ya Mwanadamu na Mungu au miungu. Ayub 34
Leo ningepeta tujifunz namna ya kutafsiri ndoto zinazo usiana na usafiri
Mtumishi mmoja alionta ndoto yuko kwenye usafiri gari dogo aina ya noah na ndani ya gari yuko na watumishi wenzake na usafiri huo ukampeleka hadi mwisho wa kituo wakashuka wawili yeye na mwenzake na baada ya ndoto hiyo akashtuka.
Mambo ya kuzingatia unapotafuta tafsiri ya ndoto
Jambo la kwanza
Aina ya usafiri , usafiri maana yake ni njia ya kukutoa eneo moja kwenda nyingine
Pia kuna aina za usafiri kuna usafiri binafsi, usafiri wa umma kama mabasi , dalala na usafiri wa taasisi
Kila kipengele kina maana yake usafiri wa umma una maana tofauti na usafiri binafsi
Jambo la pili
Watu ambao huko nao kwenye ndoto ni muhimu sana kuwakumbuka , kwa sababu ndio wanakupa tafsiri ya ndoto
Mfano unaweza kuwa kwenye usafiri na watu ambao hawajui maana yake ni usafiri wa umma au ni watu unawajua lakini hamfanyi kazi pamoja au ofsi moja maana yake mmekutana katika usafiri waumma au binafsi nk
Kwa hiyo taarifa ya ndoto hii , ni kwamba mtu huyu maisha yake ya kiutumishi na hiyo ofisi au taasisi yanaelekea ukingoni na kuna wakati mtumishi huyo atatakiwa kuondoka katika hiyo taasisi au kituo lakini pia hata ondoka pekee yake inamaana na yule ambaye alishuka naye wataondoka wote