ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Raisi wa uturuki ni katili, anaeminya wananchi wake na kufadhili ugaidi ME. Kuna minong'ono ya vita na israel, Ndoto yake kuu ni kuwaangamiza wayahudi

    Huyu bwana ni mauti yanayotembea Kuwapo kwake kwa muda mrefu ni kutokana na kutengeneza network ya kuua upinzani. Amehusika na muaji ya watu wengi huko syria na kurd Sasa anataka akawaue na wa israel
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Kigaila waipongeza Serikali kwa kutimiza ndoto ya Watanzania

    Mbowe: "Vilevile nawapongeza TANESCO kwa upande wao na Wizara wamefanya kazi kubwa kusimamia jambo hili na kutimiza ndoto ya Watanzania kupata umeme wa uhakika. Megawati 2,115 kwa wakati mmoja so sio jambo la kitoto, ni jambo kubwa sana. Hasa inapokuwa kwamba fedha hizo zinatokana na kodi za...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania JNHPP imewashwa na ndoto za watanzania zimetimia

    Julius Nyerere Hydropower Project ni miongoni mwa miradi mikubwa zaidi ya miundombinu ya nishati nchini ikiwa na uwezo wa MW 2,115. Ukubwa wake unaonyesha dhamira ya Tanzania kuongeza uwezo wake wa kuzalisha nishati na kuimarisha msingi wa uchumi wake kwani ni mradi mkubwa wenye maono makubwa...
  4. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tusiogope kuonekana Wajinga pale tunapojenga ndoto zetu

    Vijana wengi tuna ndoto kubwa, lakini tatizo si kukosa uwezo wa kuzitimiza. Tatizo ni kuogopa maoni ya watu. Unaweza kuwa na wazo zuri, lakini ukianza kulieleza watu wakakucheka. Unaweza kuanza biashara ndogo, watu wakakuona huna direction. Unaweza kujaribu jambo jipya na ukashindwa, watu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Hii ndoto naomba isiwe kweli, imeniogofya na kunifanya niamke na kuanza kuitafakari

    Ni kuhusu ndege iliyoanguka milima fulani na baadae kuonekana katika ndege hiyo alikuwemo mmoja wa viongozi wakubwa wawili nchini. Baada ya taarifa kuufikia umma ilionekana kuna vijana wanashangilia na kukebehi kuwa huwezi kushindana na wajuu wakati wewe uko chini. Ndipo nikashtuka Namwomba...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto yako ya kumiliki chombo cha moto imefikia wapi?

    Kila mtu ana ndoto ya kumiliki jabo fulani kwenye maisha yake, wengine tuna ndoto ya kumiliki vyombo vya moto kama magari lakini ndoto bado zinagoma tunaishia kumiliki tu majiko ya mkaa. Wewe ndoto yako imefikia wapi au ushatoa mwanangu
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Lissu kwa Heche imezima kabisa ndoto ya vigogo wa CHADEMA waliopanga kumvuruga Heche kupitia Baraza Kuu

    LIssu anasoma magazeti kama mshtakiwa wa kisiasa. Anajua fitina zinazoendelea. Lissu anajua mapandikizi ya Serikali ya CCM walioko kwenye chama chake. Kauli aliyomwambia Heche mahakamani kwamba "UNAFANYA KAZI ILIYOTUKUKA" Siyo kauli ya bahati mbaya hata kidogo. Ni ujumbe aliotafakari na...
  8. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Vipofu wakilala huota ndoto kama ilivyo kwa mtu anayeona? Umewahi kujiuliza huwa inakuwaje?

    Kwanza kabisa tuelewe ndoto ni kitu gani. Huwenda ikawa si jambo geni kabisa kwa wengi. Ndoto ni nini? Ndoto ni mfululizo wa matukio, mawazo, hisia na uzoefu ambao ubongo huunda wakati mtu akiwa amelala. Ndoto nyingi hutokea katika hatua ya usingizi inayoitwa REM (Rapid Eye Movement), ambapo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya ndoto

    Habarini wana jamvi.... natumai mpo wazima kabisa.. Kuna kipindi nilikuwa katika changamoto fulani za kimaisha (ni kawaida katika maisha kupitia milima and mabonde). Sasa, nilipambana sana kuweka mambo sawa lakaini ngoma bado ikawa ngumu.... kwakuwa nilikuwa msomaji sana wa Biblia na vitabu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kanuni za kibiblia za Kutafsiri Ndoto

    Ndoto ni lango la kiroho la mawasilinao ya Mwanadamu na Mungu au miungu. Ayub 34 Leo ningepeta tujifunz namna ya kutafsiri ndoto zinazo usiana na usafiri Mtumishi mmoja alionta ndoto yuko kwenye usafiri gari dogo aina ya noah na ndani ya gari yuko na watumishi wenzake na usafiri huo ukampeleka...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa mtu kuota ndoto?

    Kwa nini mimi sioti ndoto? Ni Maswali kwa baadhi ya watu ambao wamekuwa hawapati ndoto ? Kuna umuhimu gani wa mtu kuota ndoto? Ndoto ni njia moja wapo ambayo Mungu au miungu wanaitumia kwa ajili ya kuzungumza na Mwanadamu Ayub 33:14_15 Kwa hiyo kama ndoto ni njia ambayo Mungu au miungu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya harusi ya kila introvert,

    Hii ndio ndoto ya introvert hata kama ni bilionea Na hawa bado ni wengi kwa baadhi yao 😂 sh
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kama unaona mtoto wako uwezo wake ni mkubwa haijalishi uwezo wako, omba msaada au tumia pesa yako, hapa Tanzania ni sehemu kuua ndoto za watoto

    Sio uwongo yani kama wazazi na mliopo hapa jifunzeni kukabiriana na roho za hapa. Wamewamaliza sana T.O wa tanzania wengine wakawa wanafundisha twisheni na wengine wakaishia kuchekwa na wasio soma. Kuna dogo hapa mzazi wake aligundua mtoto wake sio level hii nchi ,kwa uwezo wake aliona bora...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto zenye uzinzi na madhara yake

    Maana ya Neno Uzinifu Mtu ambaye hana ndoa lakini anafanya tendo la ndoa huyo anaitwa mzinifu. Maana ya Pili Mtu ambaye ameoa au kuolewa anapofanya uzinifu anaitwa mwasherati Inawezekana watu wengi tuna amini kwamba ndoto zenye kuambatana na vitendo vya uzinzi ni kitu cha kawaida tu , na mara...
  15. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA TUNAPIGANIA MARIDHIANO YA DOLA NA Watanzania. Tusikate tamaa. Ndoto ya haki karibu itatimia

    Tunaamini katika ndoto ya kweli. Ndoto ya haki, ukweli na usawa. Sasa Chadema tutaifanya ndoto ya watanzania iwe ya kweli. Chadema hatupo kutaka kugawana madaraka na CCM ndio tuite maridhiano. Tunaamini katika maridhiano ya kweli. Walioamini kwenye maridhiano ya kugawana ela, vyeo na...
  16. Leonce jr

    JamiiForums Tanzania Bila amani, fursa hupotea na ndoto husimama. Kila mmoja wetu ana wajibu wa kulinda amani. Tanzania ni yetu sote, tuilinde

    Ndio napanda kwenye jukwaa title kama ilivyotumwa kwenye laini yangu ya halotel. Vip huko nyie mmetumiwa nini?? Tuambatanishe na kapicha kama kapo. JOTO LA MAANDAMANO NI KALI
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Walimu wa afrika wamezima ndoto za wanafunzi wengi ndio maana afrika kuendelea ngumu.

    Leo mjinga ndio anakuwa na cheo na kila kitu. Kwa nini dotto magari kafikia kuziaki wenye elimu wakati anachokitumia kimetengenezwa na wenye elimu. Tanzania kama mzazi kumbatia mawazo ya mtoto wako na ndoto zake. Walimu wengi wameharibu ndoto za watoto hata mliopo hapa JF mnaweza kutoa...
  18. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Je, Ndoto Zinazoonyesha Mambo Yajayo Ni Kazi ya Ubongo au Ulimwengu wa Roho?

    Kuna swali huwa ninalojiuliza sana peke yangu, naomba nishare hapa Utasikia watu wakisema ulimwengu wa roho, ulimwengu wa siri. Hivi huo ulimwengu huwa ni upi? Je, mambo ya ulimwengu wa roho au ulimwengu wa siri huwa ni pamoja na ndoto tunazoota usiku au mchana? Au tuseme ndoto huwa ni dunia...
  19. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuzipata ndoto nilizoziota na kuzisahau?

    Hakuna njia ya uhakika ya kurejesha ndoto ambayo tayari umeisahau kabisa. Ndoto nyingi hupotea haraka sana baada ya kuamka kwa sababu ubongo hauzihifadhi kwenye kumbukumbu za muda mrefu kwa nguvu kama matukio ya kawaida. Hata hivyo, unaweza kujaribu kuongeza uwezekano wa kuzikumbuka: Kaa...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya ndoto zangu(my dream house)

    Natamani nyumba ya ndoto zangu iwe ni mchanganyiko kamili wa teknolojia ya kisasa na utulivu wa mazingira ya asili. Ninaamini kuwa mazingira bora na safi kama haya yanachangia kwa kiasi kikubwa afya njema ya mwili na akili, pamoja na kuleta furaha ya kweli maishani. Ni lengo langu kuu kufanya...
Back
Top Bottom