Tunaamini katika ndoto ya kweli. Ndoto ya haki, ukweli na usawa.
Sasa Chadema tutaifanya ndoto ya watanzania iwe ya kweli.
Chadema hatupo kutaka kugawana madaraka na CCM ndio tuite maridhiano. Tunaamini katika maridhiano ya kweli.
Walioamini kwenye maridhiano ya kugawana ela, vyeo na madaraka. Na kukubali kutishwa walishaingia tayari kwenye hayo maridhiano.
Waliacha ajenda za watu wakaangalia matumbo yao. Wengi sasa ni wabunge na ata mawaziri. Sasa ndio watesi wetu? Je baada ya kulidhiana na viongozi na kupata vyeo sasa Rushwa imepungua. Barabara zinajengwa? Sasa kuna haki. Wananchi wanamamlaka dhidi ya serikali yao au ni watumwa wa serikali yao. Je kuna uhuru wa maoni. Je mikataba ya serikali iko wazi kwa wananchi wote?
Hayo sio maridhiano bali ni kujisalimisha kwa utawala katili.
Sasa tunandoto.
Tunandoto ya kubwa 10. Bado mda kidogo tu.
1. Tunandoto ya kukomeshwa mauaji yote kwa wazalendo na manabii wote wanaowakosoa viongozi kwaajili ya kesho bora kwa Tanzania. Tunaamini punde hakuna atakaechinjwa kwasababu ya chama chake au kutetea wanyonge.
2. Tunandoto ya kurudisha nguvu na mamlaka kwa wananchi dhidi ya serikali. Wananchi watawachagua viongozi wanaowataka kwa amani, utulivu na haki na tutapata viongozi wawajibikaji na wakututumikia.
3.. Tuna ndoto ambapo vyama vikuu vinavyopingana vitashindana kwa hoja sio kwa kutishiana na kutukanana.
4. tuna ndoto ya kutoa uadui kabisa kati ya vyama vya siasa. Kuishi katika siasa safi itakayoheshimu kila mtu.
5. Tuna ndoto ampapo mtumishi wa serikali atakopeshwa bila riba ili ajenge nyumba za kisasa kabisa. Pia kuondoa kodi kandamizi kwa watumishi wa uma.
CHADEMA NI CHAMA CHA HAKI. HATUWEZI KWENDA KUPIGA PICHA ZA KUKUBALIANA WAKATI KILASIKU TUNAKABILWA NA UNYANYASAJI. TUNANDOTO YA KUONGOZA TAIFA KWA HAKI. BILA VISASI.
TUNATAKA KUJA KUWAONESHA CCM UPENDO WA AGAPE. TUNATAKA WAJUE JINSI TUNAVYOWEZA KUUNGANISHA WATANZANIA WA DINI,KABILA NA VYAMA TOFAUTI.
6.