ndoa

  1. Mambo manne ambayo mwanaume ayajue kabla ya kukukuruka na ndoa

    4 THINGS EVERY MAN MUST KNOW ABOUT A WOMAN BEFORE MARRIAGE 1) THEY LOVE COMPLIMENTS It is wicked for your wife to put effort into her looks, taking care of you (and the kids) and making you happy daily and you never pay her any compliments. In fact that kills her moral and spirit. Women...
  2. Mume hanyimwi tendo la ndoa. Mpe haki yake, soma maandiko

    Ndoaa NYINGI zinapoanzaa kuchokana hutumia tendo LA NDOA kuadhibiana Hii n moja ya SUMU KUBWA KWENYE NDOA.mkifika.stage hii inahitaji MMOJA wenu ama wote kusimama nafasiyake na kumwomba Mungu Awaweke SAWA else mkishindana mtatuongezea majani pale kinondoni ama mbwen na ununioo Anza kuchukua...
  3. Huenda Wanawake wengi wangekuwa na Hekima na Busara ya hali ya juu kama huyu Dada, basi Ndoa zingedumu na Wanaume tungeacha hata Kuwasaliti

    " Mfano nimekuta mume wangu anacheat na mwanamke mwingine ninayemfahamu, siwezi kumfuata yule mwanamke nikamtukana, nitaanza na mume wangu na kumuuliza kwa sauti ya upole " - Riziki. globalpublishers Tatizo ni kwamba Wanawake wenye Utu, Hekima, Upendo na Busara kama ya huyu Dada Mungu Baba...
  4. Ndoa ilivyoteteresha imani yangu (Kisa Cha Kweli)

    Mkasa : NDOA ILIVYOTETERESHA IMANI YANGU Mwandishi: IRENE MBOWE (Irene Mbowe Kungwi Lao) Imeletwa kwenu na: BURE SERIES Hiki ni kisa cha ukweli kabisa, anachokielezea Flora, Mwanamke ambaye anakiri Imani yake kutereteka kwa sababu ya Ndoa yake. Alikuwa na alilelewa kwenye familia yenye...
  5. I

    Raha ya sisi tulio kwenye ndoa

    Wana JF jamani tuseme ukweli sisi tulio kwenye ndoa ni kama tuko paradiso ndogo; hakuna kuhangaikia tena kutafuta au kupigwa kalenda, yaani nikiingia tu ndani naambiwa "karibu baby, unakula kwanza au utakula baadae ukimaliza kula" yaani mpaka raha.
  6. Msimsimange, mie nampenda hivyo hivyo

    Ni mrembo hakika, kwa sura na umbo ameumbika. Tatizo hataki kuoga, linapokuja swala la kuoga ni ugomvi mkubwa. Yeye huwana uso, husugua makwapa, na kuiosha Tukuyu, baada ya hapo ndio Hadi kesho. Mswaki anapiga vizuri kabisa. Hana tabia yoyote mbaya, nyumba Safi Kama peponi, adabu ndio mahali...
  7. Pandisha Mzuka wa Tendo la Ndoa Kwa Misamiati ya kimapenzi

    Juzi nilipelekwa Buza, Kwa mara ya pili maana Buza NI kubwa Sana Nikaenda kuulizia maana ya mparange sijui Kwa mparange nikapata maana nilicheka sana Sijui mambo ya kiswede mambo ya Ambaruti Basi akapita binti mwenye Shepu yake, babu mmoja akamwambia Yule binti, "Mariam nakuja huko huko...
  8. Katika ndoa ukiona tatizo huliwezi tengeneza tatizo lingine utakalo limudu

    Mke wangu mkali balaa, papuchi ananipa kwa ratiba. Feminist...still ananipiga bit kuwa siku agundue nina mchepuko ataanza na huo mchepuko kwanza kuufanya kitu ambacho hautajuta. Ni mjeuri mpaka nlishawahi mwamba mbata mara kadhaa na bado akawa analia huku ananisema kijeuri.siku nikaamua...
  9. Hivi hii nadharia ya kila pendo la kweli lazima liishie kwenye ndoa ipo sahihi?

    Hi guys, Naomba kufahamishwa usahihi wa hii nadharia ya kila mnayependana kwa dhati ni lazima muonane ina ukweli kiasi gani? Maana ukizungumzia tu upendo wa dhati halafu hayo mazungumzo yasiishie kwenye ndoa hakuna anayekuelewa kama kweli mlipendana. Hivyo natamani kufahamishwa kuwa je ni...
  10. Wabobezi wa tendo la ndoa na hata lile la uzinifu hii nadharia ina ukweli?

    Kwamba.... Ukiona Siku yoyote ile unafanya Mapenzi (Unanyiriana) ama na Mkeo au Mpenzi (Demu) wako na ukaona hiyo Siku Ufanisi wake na Bidii yake Kitandani imeongezeka maradufu basi hapo tambua Jambo moja wapo kati ya haya nitakayoyaorodhesha hapa chini... 1. Anakuzuga kwakuwa ametoka Kufanywa...
  11. Hivi ndivyo baadhi ya makabila yanavyoomba tendo la ndoa

    Naam . Wakurya: mama bhoke rara chini nikurenge.. Wamasai: mama yoyo nipe ile kitu namesa mwensake.. Wahaya: mama koku infacti njoo tuperfom.. Wachaga: mama manka fungua kibubu nitupe shilingi.. Wapemba: mama alii panua paja mti wajaaa...! Najua hapa wachaga nko wengi msinirushie mawe plz
  12. GE2020 Wagombea Urais msishangae kuonyeshwa makondokondo hadharani, Urais ni kama Sakramenti ya kufunga ndoa, lazima uwe msafi

    Umuofia kwenu, Huu ni mwezi wa kuchukua fomu, mtu yeyote kupitia chama anachokiamini anaweza kuchukua fomu ya kugombea urais, tofauti ni pale CCM walioamua kukinzana na katiba yao kuamua kumsimamisha mgombea wao huku wakizuia kujitokeza wengine wanaoweza kuleta upinzani, ambao baadhi yao...
  13. Baba wa watoto wangu watatu (kila mmoja na babake) wote wanataka kufunga ndoa na mimi

    Mtoto wa kwanza nilimzaa na class mate wangu. Wakati huo wote tukiwa hatuna ajira. Wazazi wote walitusaidia. Ikifika wakati kaka yake alimuita Gabon akamsaidie biashara. Aliniacha na mtoto wa miaka miwili. Tulipoteza mawasiliano. Mtoto wa pili nilimzaa na aliyekuwa boss wangu. Alikuwa...
  14. Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Maana ya ndoa Kwa mujibu wa Sheria ya ndoa ya mwaka 1971, ndoa ni muungano wa hiari kati ya mwanamme na mwanamke unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao. Aina za ndoa Kuna aina mbili za ndoa zinazotambuliwa na sheria hiyo: 1) Ndoa ya mke mmoja - hii ni ndoa ambapo mwanaume ana mke mmoja...
  15. M

    Je, unajua tendo la ndoa ni haki katika ndoa na lisipotimizwa linaweza sababisha ndoa kuvunjika?

    Iko hivi, ndoa ni mkataba kati ya mke na mume, na mkataba huo una masharti mengi ikiwemo haki ya tendo la ndoa, sasa inapotokea mwanandoa ananyimwa haki hii moja kwa moja mkataba unakuwa umevunjwa kwani masharti ya mkataba hayajatimizwa. Haki hii ni lazima iwe imevujwa kwa makusudi bila...
  16. Nilioa nikiwa na miaka 17 hadi leo ndoa yetu ina miaka 5

    Ndio hivyo usimuache mke wa ujanani kwako. Karibu kama una swali nitakujibu
  17. Uchumi ni tatizo kubwa katika ndoa za Vijana

    Jioni hii nimekaa room kwangu mara nasikia majirani (wake zao) wametoka kwenye mizunguko yao. Katika hii nyumba kuna wapangaji watatu wawili ni familia bachelor ni mimi tu. Punde nasikia moja ya jirani yangu analalamika kwa mwenzie kua mmewe karudi kapiga msosi wote bila kujali kua yeye kala au...
  18. Hizi ndoa hizi! Money Penny washauri vijana wasikimbilie kabisa...

    Bado naendelea kurekodi VIPINDI vyangu vya YouTube, ndio maana skuhizi siandiki Uzi Sana huku hata HADITHI kwenye website nimesimama Kwanza, YouTube unachukua muda wangu mwiingi nikitoka hapo chokest ! naenda ku-du na mume alafu kushakucha narudi studio tena. Anyway wiki hii nilikuwa na wageni...
  19. Changamoto za watoto wa nje ya ndoa

    Wanajukwaa wasalaam, mkitaka kujua khali yangu Mimi ni bukheri wa afya, namshukuru Mola wetu kutuzidishia urijali kwa ustawi wa familia zetu Leo napenda niulize hasa kwa wanaume wenzangu wenye watoto nje ya ndoa, ni Changamoto gani mnazopotia, na mnazitatua vipi, na je watoto hao wana namna ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…