ndoa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume muwe waaminifu na ndoa sio kombolela. Angalieni mtaachwa uzeeni na Wamama hatuzeeki

    Ndoa ni kazi isiyo na mshahara lazima uifanyie kazi ndoa yako .Siku hizi wanawake hawataki pesa zenu tupo juu sana .Heshima muweke mbele mtaachwa .Mzee gates ameachwa document zinaonyesha Hivyo .So wanaume muanze kupika ,piga deki na kufua nguo .wanawake tupo juu Sana,habari ndio hiyo .
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri: Mtalaka anatishia kuvunja ndoa mpya ya rafiki yangu

    Habari wakuu! Kuna jamaa yangu amenipa kisa kilichomtokea nibaab-kubwa, na anaomba mawazo mbadala au kama yeye yuko sahihi pia aendelee. Mwaka juzi alikuwa mkoa wa Mara akifanya kazi kama msaidizi wa familia ya mama mwenye kampuni ya utalii. Huyo mama alimuamini ikafika hatua amemuelekeza...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta Mwenza (Mke)

    Sifa zangu 1. Mkristo( dhehebu A.I.C) 2. Nina miaka 30 3. Mwenyeji kanda ya ziwa. 4. Elimu shahada ya kwanza (sijaajiriwa, nipo nashughulika na kilimo) 5. Urefu 165cm, rangi ni maji ya kunde. 6. Mpole sana kijana mwenye hofu ya Mungu. SIFA ZA MKE NINAYEMHITAJI 1. Umri miaka 20-25 2. Dini...
  4. JamiiForums Tanzania Mume na mke wamepata watoto mapacha baada ya miaka 43 ya ndoa

    There is no age restriction to getting your wish fulfilled and this 68-year old woman in Nigeria proved that. The old woman was trying to have kids for a long time, to state, 46 years of long wait she did for the birth of her first child, but when she became successful, she got not one but a...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanaotaka kufunga na kufungisha ndoa

    Wadau habari ya muda huu. Nimetafakari sana juu ya madhara ya watu wanaotaka kuona kwa kupimwa HIV_muda kidogotu nakupewa kibali cha kufungishwa ndoa Kwangu naona jambo hili halijakaa sawa. Bado mtu anaweza akamuambukiza mwenza wake kutokana na kupimwa HIV kwa mwendo waharaka. Pia madaktari...
  6. JamiiForums Tanzania Bila subra imani na mahaba huwezi ishi kwenye ndoa

    Ndoa-bila-subra-imani-na-mahaba, huezi ishi kwa ndoa 1. Kama huna subra kwa ndoa yako basi huezi kuishi kwa ndoa na amani ndoa yajengwa na subra kusubiriyana kila moja wenu amsubiriee mwenzake kwa tabia kwa hali na mali ndio mutaeza faidika mukiwa na subraa kwa ndoa yenu ,, jitahidi uwee na...
  7. JamiiForums Tanzania Elimu ya bure ya ndoa: Kama umeoa au umeolewa pitia hapa

    Mwanaume unatakiwa umzidi mwanamke vitu vitatu. 1,👉Pesa 2,👉Akili 3,👉Umri Mwanamke unatakiwa kumzidi mwanaume vitu vitano. 1,👉Subira 2,👉Usafi 3,👉Mipango 4,👉Upendo 5,👉Nguvu ya maombi Ili mdumu mnatakiwa kufanana kwenye vitu hivi. 1,👉maelewano 2,👉uvumilivu 3,👉heshima
  8. JamiiForums Tanzania Tabia ya wazazi kukataa wachumba kisa ukabila ikomeshwe

    Hii tabia ya chafu ya kupeleka wenza nyumbani alafu wazazi wanamkataa mtu uliyempeleka imepelekea vijana wengi kuingia kwenye mahusiano ya ndoa na watu ambao sio machaguo yao na ndio maana ndoa za sikuhizi hazidumu, unakuta mtu ni mchaga basi kisa wazazi wake wanataka wachaga wenzao anamuacha...
  9. JamiiForums Tanzania Salamu yangu ilivyovunja ndoa ya mtu, niliumia sana, mpaka leo nakumbukaga tu

    Kisa hiki kitakuwa na episode 2 tu ili nisichoshe wasomaji. Kisa cha kweli ambacho huwa nakumbuka kinaniuma sana nilishaapa sitorudia tena,nikikumbuka yaliyotokea naamini kabisa wanawake wakipenda wanakuwa vipofu kabisa hawaoni madhara ya mbele. Ilikuwa mwaka 2012 nikiwa nimepanga getto pale...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kitanda kikubwa huchangia mahusiano ya ndoa kudorora

    Kuna mdau anasema bora avunje vunje kitanda chake cha sasa maana anaona tofauti kubwa kati kitanda kikubwa na kidogo. Anasema alipooa alikuwa anatumia kitanda cha futi 4 kwa 6 na walikuwa hawakai kipindi kirefu bila kupatana na mke wake ikiwa wamehitilifiana tofauti na sasa. Anasema akiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke wa hivi anaweza badilika katika ndoa?

    Jambo ndugu zangu, Nahitaji msaada wenu. Mimi ni kijana nina miaka 22 niko kwenye mausiano na dada fulani ambaye tuna tarajia kuoana. Sasa kuna vitu ambavyo vina ni tatizaga na jiulizaga sipatagi majibu. Na vitu hivyo ni kuhusiana na tabia ya huyo binti. Mara nyingi huyu mtoto wa kike huwa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Madahara ya kukutana kimwili nje ya ndoa au pasipo kuwa katika ndoa

    MADAHARA YA KUKUTANA KIMWILI NJE YA NDOA AU PASIPO KUWA KATIKA NDOA Kukutana kimwili nje ya ndoa ni lango linalotumiwa na adui kuharibu vipawa vya Mungu ndani ya watu, Kwani tendo la ukutana na mtu kimwili si kujifurahisha tu kama wengi wanavyofikiri bali hiki ni kifungo cha Nafsi Na...
  13. JamiiForums Tanzania Mada moto: Ni sahihi kuingia kwenye ndoa kwa hofu ya kuogopa kumpoteza umependaye?

    Inapofika wakati mpenzi wako anataka kuolewa au anataka kuoa na wewe ukijiangalia hauko tiyali kutokana sababu mbalimbali labda bado unasoma,hujajipanga vizuli, au kuna mambo unataka uyaweke sawa ndio uowee Je, ni sahihi kuingia kwenye ndoa kwa hofu ya kuogopa kumpoteza umpendaye na ukasitisha...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Serengeti: Adaiwa kumuua mumewe siku 14 baada ya kufunga ndoa, kisa si chaguo lake

    Happy Nyasumo (18) mkazi wa Wilaya ya Serengeti amemuua mumewe, Bebe Mbogo (26) kwa madai kuwa hampendi na hakuwa chaguo lake zikiwa zimepita siku 14 tangu walipofunga ndoa. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Alhamisi Aprili 14, 2021 mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Nurdin Babu amesema tukio...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wakiingia kwenye ndoa wanabadilika kitabia

    Habari za muda huu wadau, Nimekuja na kichwa hichi Cha habari, kutokana na juzi Kati tulikuwa na washkaji Kama wanne hivi wote tupo kwenye ndoa, kasoro mmoja wetu, single boi. Tukajikuta katika mada ya kushare changamoto za ndoa zetu kila mtu kwa muda wake, Katika kushare experience hizo...
  16. JamiiForums Tanzania Aliniambia hawezi kuzalia kwao kabla ya ndoa

    Amani iwe nanyi? Nilikua kwenye mahusiano ndani ya miaka miwili , mwanamke wangu alipata ujauzito lakini akawa analazimisha sana kutoa nikamuuliza kwanini akaniambia hawezi kubeba mimba kabla ya ndoa maana itakua ni fedheha kwenye familia yao. Akapeana ushauri na rafiki yake wakafanya maamuzi...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu wa Kenya Mwai Kibaki alifunga ndoa na Lucy Muthoni 1962

    Picha imeambatanishwa
  18. JamiiForums Tanzania Changamoto za ndoa

  19. D

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kushuhudia mazuri ya kwenye ndoa, Tuyaweke pembeni yale mabaya yanayowatia hofu watu wasioe au kuolewa

    Hakika liko kusudi la Mungu katika mapenzi! Upendo ni tunda tam sana linalotafutwa na yule muovu! Naomba kwa Uzi huu tuambizane Yale mazuri yaliyomo kwenye ndoa! Ili wale tunao ogopa kuingia tupate hamasa! Mliopo kwenye ndoa msishiriki kuyapa ushindi yale mabaya tu yasikike masikioni bali...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi watu wanaotafuta mke au mume wa ndoa mitandaoni wanapataga kweli watu sahihi?

    Mara nyingi mitandaoni nimekuwa nikishuhudia mitandaoni sativa ski post mata ohoo natafute MTU wa kuoa, au nahitaji Mwanaume serious wa ndoa mwenye sifa hizi Mara zile . Napenda kuuliza, hivi hawa watu wanapataga watu sahihi kweli katika mahusiano ya ndoa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…