Kitanda kikubwa huchangia mahusiano ya ndoa kudorora

Cosovo

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
375
1,000
Kuna mdau anasema bora avunje vunje kitanda chake cha sasa maana anaona tofauti kubwa kati kitanda kikubwa na kidogo.

Anasema alipooa alikuwa anatumia kitanda cha futi 4 kwa 6 na walikuwa hawakai kipindi kirefu bila kupatana na mke wake ikiwa wamehitilifiana tofauti na sasa.

Anasema akiwa anatumia kitanda cha 4 kwa 6 wakihitilifiana wakaingia kulala lazima wagusane na hasa wakiwa usingizini na walikuwa wanajikuta wamekubatiana au mwingine amemuwekea mikono au miguu kwa mwenzake na kujikuta ugomvi unaisha kiulaini.

Anasema kwa sasa mambo yanakuwa magumu anasema kitanda chake ni 8 kwa 8 ,tangu wameanza kutumia kitanda hicho ugomvi huwa unachukua muda mrefu kuisha.

Anasema wakigombana na mke wake, wakati wa kulala hujibanza kwenye kona ya kitanda bila kutaka kuguswa hata kama kosa lililosababisha mkagombana lilikuwa lake.

Anasema anapojaribu kumsogelea huhama upande mwingine wa kitanda ,au hutulia hapo ila usingizi unapomshika mke wake huhama na kwenda kulala upande mwingine wa kitanda.

Anasema ugomvi huchukua muda mrefu kuisha tofauti na zamani.

Je ni kweli vitanda vya kisasa huchangia ugomvi kutoisha mapema tofauti na vile vya zamani?

Ikiwa jibu ni ndiyo kuna ulazima wa wanandoa kurudia vitanda vya 3 kwa 6 ili kudumisha mahusiano yenu.

1619245297200.png

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
39,747
2,000
Hii hoja niliwahi kusikia inazungumzwa mahali.

Hapa inabidi niende kwa fundi anifanyie mpango wa 8 × 8.

Nipate kudorora square!
 
Last emperor

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
6,761
2,000
Kuna mdau anasema bora avunje vunje kitanda chake cha sasa maana anaona tofauti kubwa kati kitanda kikubwa na kidogo

Anasema alipooa alikuwa anatumia kitanda cha futi 4 kwa 6 na walikuwa hawakai kipindi kirefu bila kupatana na mke wake ikiwa wamehitilifiana tofauti na sasa

Anasema akiwa anatumia kitanda cha 4 kwa 6 wakihitilifiana wakaingia kulala lazima wagusane na hasa wakiwa usingizini na walikuwa wanajikuta wamekubatiana au mwingine amemuwekea mikono au miguu kwa mwenzake na kujikuta ugomvi unaisha kiulaini

Anasema kwa sasa mambo yanakuwa magumu anasema kitanda chake ni 8 kwa 8 ,tangu wameanza kutumia kitanda hicho ugomvi huwa unachukua muda mrefu kuisha

Anasema wakigombana na mke wake, wakati wa kulala hujibanza kwenye kona ya kitanda bila kutaka kuguswa hata kama kosa lililosababisha mkagombana lilikuwa lake

Anasema anapojaribu kumsogelea huhama upande mwingine wa kitanda ,au hutulia hapo ila usingizi unapomshika mke wake huhama na kwenda kulala upande mwingine wa kitanda

Anasema ugomvi huchukua muda mrefu kuisha tofauti na zamani

Je ni kweli vitanda vya kisasa huchangia ugomvi kutoisha mapema tofauti na vile vya zamani?

Ikiwa jibu ni ndiyo kuna ulazima wa wanandoa kurudia vitanda vya 3 kwa 6 ili kudumisha mahusiano yenu
Ni kweli man..
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
117,366
2,000
Inategemea NTU na NTU wengine King bed ndiyo furaha yao kubwa ndani ya ndoa pale kinapotumika kama uwanja wa Wembley.
Kuna mdau anasema bora avunje vunje kitanda chake cha sasa maana anaona tofauti kubwa kati kitanda kikubwa na kidogo

Anasema alipooa alikuwa anatumia kitanda cha futi 4 kwa 6 na walikuwa hawakai kipindi kirefu bila kupatana na mke wake ikiwa wamehitilifiana tofauti na sasa

Anasema akiwa anatumia kitanda cha 4 kwa 6 wakihitilifiana wakaingia kulala lazima wagusane na hasa wakiwa usingizini na walikuwa wanajikuta wamekubatiana au mwingine amemuwekea mikono au miguu kwa mwenzake na kujikuta ugomvi unaisha kiulaini

Anasema kwa sasa mambo yanakuwa magumu anasema kitanda chake ni 8 kwa 8 ,tangu wameanza kutumia kitanda hicho ugomvi huwa unachukua muda mrefu kuisha

Anasema wakigombana na mke wake, wakati wa kulala hujibanza kwenye kona ya kitanda bila kutaka kuguswa hata kama kosa lililosababisha mkagombana lilikuwa lake

Anasema anapojaribu kumsogelea huhama upande mwingine wa kitanda ,au hutulia hapo ila usingizi unapomshika mke wake huhama na kwenda kulala upande mwingine wa kitanda

Anasema ugomvi huchukua muda mrefu kuisha tofauti na zamani

Je ni kweli vitanda vya kisasa huchangia ugomvi kutoisha mapema tofauti na vile vya zamani?

Ikiwa jibu ni ndiyo kuna ulazima wa wanandoa kurudia vitanda vya 3 kwa 6 ili kudumisha mahusiano yenu
 
jebs2002

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
7,535

Acha tu, ila kuna ukweli hapo, ila Mhenga "Bob Nesta Marley" alidai anapenda kulala na mpenzi wake kwenye single bed, ambayo ni sawa na
6" x 4"!
Kwa kweli ni kichwa kuuma...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom