Hili ni swali la watu waliokomaa kinapenzi na wenye experience na wenye ndoa. Kama haupo kwenye Hayo niliyotaja usijibu
Hivi ni Kwa nini utakuta mwanamke amesoma ana kazi nzuri na anaheshimika sana anakuwa na mume ambaye hajiheshimu na Huyu Mke wake anatumia kila jinsi kumtetea na kupenda Mume...
Ni ushauri wa muhimu.
Katika kazi niifanyayo kwa Sasa nimekutana na wakaka na wadada wenye tatizo la uzazi na unakuta washafunga ndoa.
Nikupe case study moja, Kuna afisa mmoja mkenya Ana pesa nzuri tu, kamtokea binti mrembo wa Kanda ya Kati, ndani ya wiki 2 wakafunga ndoa. Asee binti karudi...
Wasalaam Wakuu.
Katika dunia ya sasa, ngono imekuwa ni kibwagizo katika maisha ya binadamu.
Iwe jinsia ke au me, wote wanapenda kufanya ngono kuliko inavyostahili.
Kufanya mapenzi ni tendo takatifu kwa ajili ya kufanya uumbaji. Yaani kwa ajili ya kuendeleza kizazi. Lakini binadamu...
Mwanaume kwenye ndoa ama mahusiano serious anawajibika kumfanyia mwanamke mambo mengi, mwanamke jiulize kitu gani uta offer in return tofauti na papuchi?
Mwanaume anapaswa kufanya mengi yakiyomo haya.
1. Kumlisha mke wake ama mpenzi.
2. Kumtibia mke wake ama kuwajibika kumlipia huduma ya afya...
Jana nilitoka out bwana nikiwa out basi wakaja akina mama wamejitoa out wana vikoba (nadhani pesa ilikuwa imepatikana wakaamua kujirusha) katika kuongea ongea kwao mara umeme ukazima
Mama mmoja wa kwenye hicho kikundi bwana acha alalamike;
Mama mmoja: Yaani huu umeme wa TANESCO umeniboa sana...
Leo nimefikisha miaka 15 ya ndoa yangu mimi na mke wangu safari ilikuwa ya raha sana, ingawa mabonde pia yalikuwepo.
Sijawahi kuchepuka nje ya ndoa, hakika kuna kipindi nilipata vikwazo vya wakwe maneno mengi yasiyoisha lakini nikawapuuzia.
Dawa ya mjinga mpuuze tu, sasa katika miaka 45 ya...
Wakuu naomba msaada wa maswali haya:
Ndoa ya kimila ipi?
Vigezo na masharti yake ni yapi?
Anayefungisha ndoa hii ni nani?
Wanandoa wa makabila tofauti wanafuata mila za nani?
Je ndoa ya kimila ina nyaraka (documents)?
Je ndoa hii ni halali 100% kama ya kufungia kwenye dini au kwa mkuu wa...
Kuna kautafiti nimekafanya katika mahusiano yeyote yale iwe uchumba au ndoa ikitokea mwanamke amefanikiwa basi penzi litayumba au litavunjikaa.
Shida huwa ni nini lakini?
Habarini wana jamvi kwanza nafurahi siku ya leo nimerejea tena JF baada ya kutoweka kwa miaka 5 na kupoteza Acc yangu ya mwanzo.
Nije kwenye mada husika, katika kipindi hiki nimekua nikiona habari za watu kufanya mapenzi na mara huyu mara yule imekua kawaida tu kiufupi kwasasa sehemu za siri...
Bila kupoteza muda kama kichwa cha habari kinavyosema ulianzaje kujipanga na maisha kabla ya kuingia kwenye ndoa ukiwa katika kipindi cha uchumba.
Hebu tupeane mawazo wenzetu mliioowa mlianzaje kujiandaa na kujipanga kabla ya ndoa.
Asalamu alaykum wanajukwaa pendwa la MMU natumai wote mubuheri wa afya.
Awali ya yote niwape hongera za dhati Waislam kwa utaratibu mzuri kuanzia kwenye posa yaani kuchumbia, ndoa na sherehe ya ndoa. Nimeshuhudia haya kwa majirani, marafiki, jamaa na wafanyakazi wenzangu.
Tukianza na...
Sababu za Mahusiano/Ndoa kuvunjika:
Kumekuako na maswali mengi sana kuhusu Mahusiano/Ndoa kuvunjika.
Swala hili wakati mwingine ni tatizo kubwa katika jamii kwani tumekua tukishuhudia ndoa nyingi zikifugwa lakini baada ya siku chache ndoa hizo zinzvunjika kwa sababu tofauti.
Zifuatazo ni sababu...
Jamani hakuna ubishi kuwa tendo la ndoa ndilo linaloshikilia ndoa bila hivyo hakuna maana ya ndoa.
Hata kama kuna mataizo mwanandoa hastahili kumnyima unyumba mwenzie, cha kufanya ni kutafuta suluhu ya tatizo huku huduma ya msingi ya ndoa ikiendelea kama kawaida.
Kilichotokea kwa mumewe Flora...
Ni kijana wa Miaka 25, shahada ya Ualim, ila hakubahatika kupata ajira rasmi.
Amejiajiri kwa kufungua twisheni za mitaani na kabahatika kupata mchumba ambae ni binti wa Miaka 21 ( Ila tayar ana mtoto wa Miaka 3). Amedumu kwenye mahusiano na binti kwa mwaka mmoja tangu Desemba 2020 na Sasa na...
Habari za mida wakuu.
Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni member wa JF muda ila imenibidi nifungue ID mpya kutokana na kuepusha sintofahamu za hapa na pale..ningependa nisamehewe mimi sio muandishi mzuri sana ila nadhani ntaeleweka.
Mimi ni kijana wa mid 30's ni mwenyeji wa mikoa ya...
Wakuu wanajukwaa wasalaam,
Msaada, kwa kijana anayeanza maisha na anataka kufunga ndoa ya kikristo bila kutumia gharama kidogo za harusi.
Au afanyeje ili kuepukana na gharama za harusi, je umewahi kushuhudia ndoa/ harusi ya bei rahisi? Je likuwaje?
Je umewahi kuhudhuria ndoa isiyo na harusi...
Wajameni kati ya kitu ninachoogopa ni kubadili dini niwe muislamu. Na ndoa yao imefunguliwa. Ipo kirahisi sana. Unaolewa leo kwa gharama kubwa akimaliza haja zake anakupa talaka tatu.
Hapo mashosti wanakucheka umeachwa unashangaa. Juzi nilienda kwa shosti yangu kaolewa huu ni mwaka wapili mie...
Habari zenu wandugu..
Nimependa nilete hii mada. Hivi ni kwanini wanawake wanashindwa kumudu mafanikio hasa wa miaka hii ya utandawazi.
Mfano wa kweli kuna watu wengi nawafahamu wanawake zao baada ya kufanikiwa wakavunja mahusiano.. Pia hata Mimi ishawahi nitokea kuna binti nilikuwa nae...
Rejea hapo juu....naomba niende kwenye mada husika..
Nina mdogo wangu alimtambulisha binti nyumbani kwa wazazi wetu, wazazi wakambariki baada ya hapo binti aliendelea kuishi kwao
Kwa bahati mbaya au nzuri binti alipata Ujauzito ,ikabidi binti atoroke aje kwa mwanaume ili Nyumbani wasigundue...
Yani kwa namna nilivyoumizwa na huyu dada, sidhani kama nitaoa katika Maisha yangu. Nimempa heshima zote, nimejitoa sana Kwa miaka 4 but ukiwa umebaki muda mfupi niende kwao nimvishe Pete mbele ya wazazi wake ananisaliti na kukiri kuwa ameliwa na hana bikra tena?!
Nimekaa kimya,nimemwachia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.