Kama maada inavyojieleza hapo juu, Nahisi wife anamegwa nje coz kuna mambo anayafanya humu ndani nahisi ipo hivyo.
Picha linaanza imefika stage kawa na kiburi nikimwambia kitu anaweza kukujibu staki ikiwa ni moja ya majukumu yake humu ndani so nashindwa kuelewa nini kinasababisha hadi awe hivi...