Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 1,687
- 5,443
Habari zenu wana jf?
Ndoa za sisi vijana wa siku hizi tatizo nini? Embu twende moja kwa moja kwenye mada.
Nina rafiki yangu sana tumekuwa kama ndugu, amefunga ndoa na mchumba wake wa muda kidogo (BONGE MOJA LA HARUSI)
Kiufupi kwao pesa zipo na kwa binti pia zipo, ndugu jamaa na marafiki wamechanga sana michango, harusi yake ilikuwa na bajeti ya 27 ml. Harusi ilifanyika diamond Jubilee hall
Baada ya harusi wakapaa zao uk kwenda kunyanduana huko, kinachonisikitisa ndoa yao ina miezi miwili tu na hakuna ndoa tena.
Wote ni wakristo, Roman Catholic mpaka sasa ivi hatujajua tatizo ni nini? Kipindi cha uchumba wao walikuwa vizuri sana.
Vijana wenzangu tatizo nini? Mbona siku hizi tunaacha kirahisi sana? Nilicho kigundua siku hizi kumekuwa na ndoa za show off, utayari wa kuishi kwenye ndoa hatuna.
Watu tunajitutimua kuwachangia alafu mnaishia njiani?