Binafsi nimeshawahi kususiwa wanawake wanne kwa nyakati tofauti ila ndoa ilinikosakosa kama Mbappe alivyokosa penati jana!
Binafsi mbinu nazotumia kukwepa ndoa hizo za dharura ni kuwapokea kwanza bila kuleta ubishi na baada ya hapo ni kupiga matukio hadi anasepa mwenyewe [emoji28]
Vipi wewe...
Nimejaribu kufatilia sana mijadala ya wanawake kuhusiana na mtazamo wao juu ya kuolewa kwanza nimegundua kila mwanamke anatamani sio tu kuolewa bali pia afanye sherehe ambayo atauonyesha ulimwengu kwamba Na yeye amepata wa kumheshimisha na kumchukua kama mke.
Ukifatilia kwenye page za Ma mc...
Habari za mchana wakuu,
Kama kichwa ca habari chahusika hapo juu.
Simu ni kifaa muhimu kwa ajiki ya mawasiliano baina ya watu mbalimbali.
Mbali na mawasiliano simu imewaleta watu karibu na kuwa kitu kimoja aidha kwa kuanziamsha urafiki, mahusiano n.k.
Kutokana na mapinduzi makubwa ya sayansi...
Wakuu wabobezi habari za asubuhi.
Napenda kuuliza, ikiwa nimefunga ndoa ya kiserikali na ikafikia wakati tukawa tumetengana na mwenzangu kwa maana ya kuachana japo tuna watoto, naruhusiwa kufunga ndoa ya kidini na mwanamke mwingine bila ya kutengua ndoa ya awali ya kiserikali?
Tuache upumbavu wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" .... Wanawake wengi wamepoteza kazi, ndoto zao na hata wengine wamelemazwa kabisa kwasababu ya huu upuuzi wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" ..... na kuna wale ambao wameuawa katika ndoa.
Ninyi wazazi ambao mnakimbilia kila mara kuwaambia binti zenu...
Kumekuwa na wimbi la usaliti sana siku hizi na tumekuwa tukishuhudia visa hata humu JF kuhusu usaliti na kuachana kwa wanandoa wachumba au wapenzi sababu ni nyingi sana lakini unavyoona wewe sababu kuu hasa inaweza kuwa nini?
Asalaam,
Ndoa yangu ilikuwa nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.
Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida. Basi ghafla...
Hi every ones
Nina swali lina ni vuruga kweli kweli
Pili nina taka kuomba ushauri
Hivi kwanini wanawake wengi ambao wali kuwa pisi kali mtaani wa kiolewa kwanini wengi wao awa dumu kwenye ndoa?
2) Na kwanini wana fanya wakisha zalishwa na kuachwa wana kuwa pisi bure?
Je, thamani yao ushuka...
Habari wana JF!
Mwenzenu moyo wangu umekufa ganzi kabisa kwasasa, nifanyeje kurejesha hisia kwa wangu wa maisha? Mtu wangu alini-cheat nikamsamehe ame-cheat tena na sasa moyo wangu umechukia kiasi cha kutokuwa na hisia naye tena
Kaka yangu anayeishi Tabora yuko kwenye ndoa kwa miaka 10 sasa!
Mwaka jana alifanikiwa kuongeza biashara zake!Tatizo linaloisumbua familia ni kuwa kila kipato kilipokuwa kikiongezeka na tabia ya shemeji imebadilika sana!Heshima hakuna tena!Kaka anapigwa na mkewe Kama mtoto!
Ndani hakuna...
Sio kila mwanaume au mwanamke anaingia katika mahusiano na wewe ana nia ya kuolewa na wewe hapana kuna wengine wanakuja kupunguza stress, wengine wanakuja kwa sababu they need financial support, wengine wako broked na wengine wamekuja kuzuga tuu siku mtu wake anampenda akizingua tuu basi awe na...
Habari gani ndugu wana Jf
Kama maada inavyojieleza, ninakuwa na maswali machache ambayo moja la swali ni hili..! Kwanini watu wanataka Kila mahusiano yawe au yaishie kuwa ndoa?
Hapa unakuta kijana wa kiume au kike basi analalamika kaumizwa ooh kapotezewa muda. Kwani nani alisema kila mahusiano...
Wale wazazi vijana wengine walipata watoto wakiwa vyuoni na kuingia katika soko la ajira wakiwa ni wazazi bila ndoa. Wenginge walitengana na wenza, wengine walifiwa hupelekwa.
Kama uwezo upo, hakuna asiyependa elimu nzuri kwa watoto wake. Wakina Junior wengi hupelekwa kusoma English Medium...
Kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele swala la mahari linaonekana kuwa la kizamani. Sijui kama ndio kustaarabika au ni kuachana na mila na desturi zetu.
Kwa upande mwingine hii ni fursa kwa vijana wa kiume waliokuwa wakiogopa mambo ya mahari kwanza. Siku hizi mambo mbwelele.
Siku za nyuma ili...
Salam kwa wanajukwaa,.
Kuna kisa kimoja ambacho nimekutana nacho katika kushauri wanandoa wapya ambao ndoa yao ina kama miezi miwili tu tangu walipofunga pingu za maisha.
Nilibaki kinywa wazi baada ya kijana kuanza kutoa maelezo na alipovua shati kifua chote...
Wenslausi James (30) na Betha Kasimili (25), ambao ni wakazi wa kijiji cha Busongo kata ya Mwamashele wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga, wamefariki dunia baada ya mwanaume huyo kujilipua kwa moto kwa kutumia mafuta ya Petroli, kwa madai ya wazazi wa mwanaume kumkataa mwanamke.
Kwa Mujibu wa...
Habari gani Wakuu
Aisee mimi kila siku nimekuwa najiuliza maswali memgi kwanini nioe yaani kwanini ? Wanaojiita Wachungaji wanatuaminisha oooh ndoa ni tamu oooh imekaa hivi ooh imekaa pale!
Hebu chukulia mtu ameolewa juzi juzi ambaye tunaamini ndoa ni tamu bado lakini anachepuka na Mume wa...
Mshikaji alikuwa na mwanamke kwa muda kama mwaka hivi. Mwanamke anaenda analala na kusepa asubuh kwa mama yake
Yule dada wengi walikuwa wanajua tabia zake za kurukaruka. Wengi walikuwa wanasema kuwa huko mtaani kwao watu kibao walikuwa wanajilia kama utani (kuna washikaji zangu wana camp flan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.