June William Ruto afunga ndoa Takatifu na Dkt. Alexander Ezenagu Jijini Nairobi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,156
4,510
Bi June Ruto ambaye ni Binti wa Naibu Rais wa Kenya Dkt William Samoei Ruto amefunga ndoa takatifu na Dkt Alexander Ezenagu.

Bwana harusi Dkt Ezenagu ni Raia wa Nigeria.

Sherehe za harusi zilifanyika siku ya Alhamisi Mei 27, 2021 maeneo ya Karen Jijini Nairobi.

Rais Uhuru Kenyatta ametuma salaam za pongezi na ameahidi kwenda kuwaona na kuwapongeza Wanandoa hao baada ya kumaliza ziara yake Kisumu.

Ruto1.jpg
ruto2.jpg
 
Ziara ni kisumu na jina sio Samuel bali samuoe.

Otherwise Asante Kwa kutujuza
 
Baada ya Emmy Kosgei ,June Ruto "mkale " wa pili kuolewa na mnaigeria. Kenya men cant keep up the pace ya watoto wa northrift:)
 
Kweli kabisa, Kenya akuna wanaume kuoa binti ya VP? Jamani boys Kenya mnatia aibu. Ndiyo maana wanawake wa Kenya wanawakimbia. Kwa Ali Kiba, Kwa Daimond P.. na Ben Pol.. kwa Kassimu Mganga. Kwa Matonya. Mkashindwa nini mazee..
 
Bi June Ruto ambaye ni Binti wa Naibu Rais wa Kenya Dkt William Samoei Ruto amefunga ndoa takatifu na Dkt Alexander Ezenagu.

Bwana harusi Dkt Ezenagu ni Raia wa Nigeria.

Sherehe za harusi zilifanyika siku ya Alhamisi Mei 27, 2021 maeneo ya Karen Jijini Nairobi.

Rais Uhuru Kenyatta ametuma salaam za pongezi na ameahidi kwenda kuwaona na kuwapongeza Wanandoa hao baada ya kumaliza ziara yake Kisumu.

Bwana harusi kapigwa
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom