ndoa

  1. Redpanther

    JamiiForums Tanzania Tukisema ndoa zimekosa mvuto na thamani mnakataa na kutuuliza "umeoa"?

    Habari gani Wakuu Aisee mimi kila siku nimekuwa najiuliza maswali memgi kwanini nioe yaani kwanini ? Wanaojiita Wachungaji wanatuaminisha oooh ndoa ni tamu oooh imekaa hivi ooh imekaa pale! Hebu chukulia mtu ameolewa juzi juzi ambaye tunaamini ndoa ni tamu bado lakini anachepuka na Mume wa...
  2. BradFord93

    JamiiForums Tanzania Siku hizi kubambikiwa ujauzito imekuwa kawaida

    Mshikaji alikuwa na mwanamke kwa muda kama mwaka hivi. Mwanamke anaenda analala na kusepa asubuh kwa mama yake Yule dada wengi walikuwa wanajua tabia zake za kurukaruka. Wengi walikuwa wanasema kuwa huko mtaani kwao watu kibao walikuwa wanajilia kama utani (kuna washikaji zangu wana camp flan...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hakuna umuhimu wa ndoa karne hii kwa sababu hizi

    HAKUNA UMUHIMU WA NDOA KARNE HII KWA SABABU... Na, Robert Ng'apos Heriel Hakuna umuhimu wa ndoa katika Karne hii Kwa sababu; 1. THAMANI YA MWANAMKE IMESHUKA NA INAKARIBIA KUTOWEKA Unapozungumzia Ndoa unamzungumzia Mwanamke, kadiri mwanamke anavyokuwa na thamani ndivyo thamani ya ndoa nayo...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Je, 'serial namber' ya cheti cha ndoa inafanana kwa mume na mke?

    Habari wadau Swali kwa wanandoa ama waliowahi kufunga ndoa. Ninatambua ndoa inakuwa na vyeti original copy mbili baada ya kufungwa. Moja ya mke na moja ya mme. Je, vinakuwa na serial namba inayofanana?
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe anapokua mwiba kwenye ndoa

    Rafiki yangu alikwenda kusaidia nyumbani kwa mtoto wake wa kiume. Hawakuwa na msichana wa kazi hivyo mtoto wake ambae ndiye mume alimuomba aende mjini kwa muda. Ameishi miezi mitatu, mama mke wa mwanae ameamua kuhamia hotelini na kumwambia mume wake, hataridi nyumbani mpaka mama yake awe...
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mlio katika ndoa poleni, mnagongewa sana

    Hakuna watu rahisi kulana kama wanandoa, yaani nimeshuhudia kwa macho yangu kabisa mke wa mtu ana watoto wawili na tena alikuwaga single mother akaolewa na mumewe ni dereva wa bajaji wakapata mtoto sasa jana nimeona akitoka guest house na jamaa fulani mvuvi wa samaki imeniuma sana kwa kweli...
  7. rich1

    JamiiForums Tanzania Kwenye ndoa mkikosa mtoto, utasumbuana na mke wako miaka yote?

    Eti ni kweli kwenye ndoa mkikosa mtoto, mwanamke utasumbuana nae mpaka siku ya mwisho?
  8. Muuza simu used

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumuacha aende

    Nipo kweli mahusiano almost two years sasa! Sema kweli huyu binti nampenda lakini tabia zake hazifai kuwa mke hata kwa kubahatisha! Kasoro zake! Mtu wa visirani na visasi yaani akimchukia mtu hata ukimpatanisha hataki amani tena na mtu huyo! Asilimia 95% ya ubongo wake unategemea watu...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kaniacha kisa sina pesa

    Mwaka jana kama mwezi wa 8 nikiwa katika mazingira ya senta yetu nilikutana na mdada miaka 21 kwa jina Anita(si jina halisi). Nikaanza mchakato wa kumuaproach niwe nawe katika mahusiano ambayo hatima yake itakuwa ni ndoa. Katika harakati zile za kumtaka pamoja na ugumu lakini baadae alinielewa...
  10. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kupigwa faini kwa kumzalisha au kumpa mimba binti kabla ya ndoa? Kama ndio hebu tupe ushuhuda

    Ilikuwa mwaka 2015 life after Chuo hapo sina ajira wala mishe ya kueleweka ya kuniingiziamtoto mmoja WA kichaga nilipigwa faini ya milioni moja kwa kumzalisha binti ilikuwa hatari. 500,000 faini ya kumzalisha Mtoto wao. 500,000 kumgomboa Mtoto dah. Kilichotokea after niliaga ntarudi hadi leo...
  11. GANG MO

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu aliyekwishazaa au kuzalisha hana haki ya ndoa?

    Kwa nini MWANAMKE aliye kwisha zaa anapewa nafasi ndogo sana ya kuolewa kuliko mwanaume mwenye mtoto? Kabla hujamnyoshea kidole Mama mwenye mtoto ila hana mume kwanza jiulize mazingira ya yeye mpaka kukaa peke yake na mtoto. Sio kila mwanamke mwenye mtoto bila mume basi ukajua alikuwa MALAYA...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukitaka Ndoa yako iwe na Furaha; lazima uzingatie hili

    UKITAKA NDOA YAKO IWE YA FURAHA, ZINGATIA KANUNI YA MFANANO Kwa Mkono wa Robert Heriel Andiko hili nimeliandika kuisaidia jamii hasa kuponya fikra za wale ambao bado hawajaoa/kuolewa. Bila shaka andiko hili litakusaidia kwa sehemu kubwa ikiwa utalizingatia. Moja ya makosa makubwa yanayofanywa...
  13. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Nitoe kishika uchumba, then mahali the uchumba kisha ndoa, eti enhee!

    Wajuvi wa mambo inakuwaje kuwe na mlolongo wa aina hii. Je ni sheria? Ama mila na desturi zinazoweza achwa. Mantiki yangu: Kuna umuhimu wa kupitia hatua zote hizo na si kupotezana muda labda mniambie why? Natoa kishika uchumba cha nini au kina maana gani? Natoa mahali ndo nitangaziwe uchumba...
  14. Miyeyusho

    JamiiForums Tanzania Dhana ya kipato kuimarisha mahusiano au ndoa

    Habari za wakati huu wana JF? Binafsi nimekua muumini mkubwa sana wa hii dhana tena sana, jambo la kushukuru mungu inajidhihirisha kwenye maisha yangu siku adi siku. Ngoja niwape kisa kidogo kilichonitokea kutoka kwa shemeji yenu. Jana bwana nilipigiwa simu na mke wangu. Mke wangu tunatimiza...
  15. Dumuzii

    JamiiForums Tanzania Mwanaume uliyepo ndani ya ndoa kama huchezi mechi za nje eti kisa heshima kwa mkeo jitafakari mara mbili

    Kiukweli wanawake waliopo ndani ya ndoa ni tatizo sana. Kiufupi wale wanawake wanao jiuza ni wagumu kuwapata lakini sio wake za watu. Kumpata anae jiuza itakutaka ufanye kazi upate pesa za kwenda kumnunua lkn mke wa mtu unatakiwa kunionesha usijari na usiri tu basi unajilia kitumbua cha watu...
  16. the numb 1

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazopelekea Wanaume kubadilika kitabia baada ya Wanawake wao kubeba Ujauzito

    .
  17. Sheillah Sheillah

    JamiiForums Tanzania Tunaelekea kufunga ndoa, lakini sina hisia naye tena za kimapenzi

    Habari. Mimi na mpenzi wangu tumekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitano kama boyfriend na girlfriend (sio uchumba). Nikiri kwamba tumekuwa na kutokuelewana kama ilivyo kawaida ya mahusiano lakini tupo vizuri kuhakikisha tatizo lolote linatatuliwa kwa wakati na kuhakikisha mawasiliano...
  18. Omela Odongo

    JamiiForums Tanzania Jifunze kwa kuangalia ndoa zilizofanikiwa

    Salamu Wana jukwaa. Niende kwenye maada moja kwa moja,kama unavyojua kwa wale tuliozaliwa vijijini mwanzoni mwa miaka ya sabini mpaka mwanzoni mwa miaka ya themanini.Shule za sekondari zilikuwa chache kwa hiyo waliochaguliwa kutoka shule za msingi kwenda sekondari walikuwa wachache mno wengine...
  19. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Nashauri wasio kwenye ndoa wasichangie mada za ndoa

    Tumekuwa tunapokea changamoto mbalimbalai za ndoa hapa JF. Hata hivyo kumekuwa na wimbi ka vijana wadogo kuingilia kati na kuchangia kwa hoja yao moja tu; Hapo huna Ndoa au Muache mke/mume. Hii ni kitu cha kusikitisha sana. Kwani kuna wachangiaji wengi wa masuala ya ndoa ambao hawajaoa au...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

    Baada ya mimi kurudi home siku ambayo wife hakutarajia ntarudi ,sikumkuta nyumbani na nilipompigia simu yy alijibu yupo home anaangalia tamthilia. Nimekaa kuanzia saa moja usiku mpka saa sita usiku ndio anatokea, Alipatwa na kama bumbuwaz hiv hakuamin km nipo home nilimnasa vibao akadondoka...
Back
Top Bottom