Mwanaume uliyepo ndani ya ndoa kama huchezi mechi za nje eti kisa heshima kwa mkeo jitafakari mara mbili

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,466
8,281
Kiukweli wanawake waliopo ndani ya ndoa ni tatizo sana.

Kiufupi wale wanawake wanao jiuza ni wagumu kuwapata lakini sio wake za watu. Kumpata anae jiuza itakutaka ufanye kazi upate pesa za kwenda kumnunua lkn mke wa mtu unatakiwa kunionesha usijari na usiri tu basi unajilia kitumbua cha watu.

Trust me mwanaume kama huchezi mechi za nje kisa heshima kwa mkeo unajifanyia ukatili wa kufa mtu. Yaani unajinyima fantasy zako bure tu.

Ila kama huchezi kisa unatii maneno ya nyumba wako hapo sawa ila kama ni kwa ajili ya hawa ndugu zetu ...unajinyima vitu vizuri bure tu.

Na hao wake zenu ndio wanajitongozesha kwa wanaume trust me. Maana angejijua kuwa yeye ni mke wa mtu angeshinda nyumbani na familia na kuangalia mumewe.

Ukitaka kuamini kama wake zenu wanajitongozesha na kutafuta wanaume jiuliza utakuta labda mkeo ni mwalimu unakuja kumfumania na fundi ujenzi sasa hapo huyo fundi ujenzi wamekutana wapi na katika mishe gani....? Wakati nyumbani kwako hakuna ujenzi unao endelea? Au unakuja kumfuma na kinyozi wakati huyo mkeo hujawahi muona hata siku moja kanyoa zaidi ya kusuka na kuvaa mawigi.

So huyu kinyozi kapatikanaje? .maana kama mkeo anajua kuolewa na anaheshimu ndoa yake lazima takua na mambo machache utakuta kama ni mwalimu root zake ni shule , home ,church busy na vibustani nyumbani, jpili church, vipi watoto wanafanya nini na wanaendeleaje yaani vitu kama hivyo

Namalizia kusema ukikuta mkeo anamazoea na wanaume ambao hawapo kwenye root yake jua mkeo anatongoza wanaume wamfilimbe na vijana wanamfilimba kweli hadi wanaimba pele moto

Wanaume zisugueni papuchi maisha ndio hayahaya hizo heshima mnazo zitafuta kwa wake zenu ni ujinga na upuuzi mtupu.
 
Ukiishi na mwanamke ndiyo utajua.

Mwanamke ni ngumu kuendana na kasi ya kutaka ngono na mwanaume. Mwanaume ana high libido kuliko mwanamke.

Mwanaume ana hasira atasex. Ana furaha atasex. Ana huzuni atasex. Ana mawazo atasex. Hana mawazo atasex. Amechoka atasex, hajachoka atasex.

Mwanamke yeye atasex under some circumstances tu.

Ndiyo maana walio kwenye ndoa wanaongoza kupiga puchu kuliko wasio kwenye ndoa.

Anayebisha awe anaishi na mtu pia.
 
Kweli kabisa,hii kitu unayowaambia wanaume walio kwenye ndoa wanaona kama unaweweseka ila sie bachelar tusio ishi na mwanamke yeyote ndio tunaujua ukweli wa wake zao na uchafu wao shida inakuja ukiwambia wahusika wanakuona muongo kisa sijui kusimamia kwao ukucha na uromantik wao ndio hudhani wake zao hawa cheat kumbe wangejua wanawake nao hutamani wanaume pia hupenda kubadilisha wanaume bila sababu kama sisi tufanyavyo wasingepinga
 
Kwenye puchu upo sahihi....ila kwenye libido endelea kujidanganya kwa taarifa yako wanawake ndio wanaongoza kwa kupenda ngono kuliko wanaume .

Sio tu kwenye ngono wanawake ndio wanao ongoza kwenye ulevi kuliko wanaume kama hujui

Ila sema yote hayo jamii imemficha mwanamke na kumuona hana hatia.ila ndani yake ni hatari
 
Kuna ukweli hapa....Kuna wake za watu wawili muda wote wapo machoni mwangu na dalili zote za kukaribishwa! Mwanzo nilipenda, nikaona labda na mie ni 'handsome' baadae ikanitia simanzi... tatizo sijui nini!?
Tatizo watu wanakariri sana na wabishi sana
 
Kwenye puchu upo sahihi....ila kwenye libido endelea kujidanganya kwa taarifa yako wanawake ndio wanaongoza kwa kupenda ngono kuliko wanaume .

Sio tu kwenye ngono wanawake ndio wanao ongoza kwenye ulevi kuliko wanaume kama hujui

Ila sema yote hayo jamii imemficha mwanamke na kumuona hana hatia.ila ndani yake ni hatari
Bro unaishi na mwanamke?
 
Kweli kabisa,hii kitu unayowaambia wanaume walio kwenye ndoa wanaona kama unaweweseka ila sie bachelar tusio ishi na mwanamke yeyote ndio tunaujua ukweli wa wake zao na uchafu wao shida inakuja ukiwambia wahusika wanakuona muongo kisa sijui kusimamia kwao ukucha na uromantik wao ndio hudhani wake zao hawa cheat kumbe wangejua wanawake nao hutamani wanaume pia hupenda kubadilisha wanaume bila sababu kama sisi tufanyavyo wasingepinga
Hahahaha ....! Tatizo watu wengi kwenye jamii zetu nyingi ni washamba wa wanawake . Yaani wanaona sijui wanawake sijui kama kitu gani spesho. Wanahisi story kama hizi ni za kutungwa wakati watu tunatoa ushuhuda na kuwapa tahadhari.
 
Ukiishi na mwanamke ndiyo utajua.

Mwanamke ni ngumu kuendana na kasi ya kutaka ngono na mwanaume. Mwanaume ana high libido kuliko mwanamke.

Mwanaume ana hasira atasex. Ana furaha atasex. Ana huzuni atasex. Ana mawazo atasex. Hana mawazo atasex. Amechoka atasex, hajachoka atasex.

Mwanamke yeye atasex under some circumstances tu.

Ndiyo maana walio kwenye ndoa wanaongoza kupiga puchu kuliko wasio kwenye ndoa.

Anayebisha awe anaishi na mtu pia.
Mkuu umeongea vitu kuntu sana, popote ulipo agiza kinywaji ukipendacho ntalipa.

Nlitaka kutoa ushuhuda but kwa leo imetosha.

Nakubali mkuu
 
Hakuna tofauti ya wake za watu na wanawake wasio wake za watu. Hakuna big deal kwenye kula mke wa mtu, ni umekula mwanamke tu kama aliyekula mwanamke single mom. Vijana wanaojionaga wanaume kweli wakila mke wa mtu. Hakuna jipya au maajabu.
Sio watu wanajiona mashujaa Kula wake za watu ...ila hapa wanaume tunawekana sawa ...maana Kuna wanaume wenzetu wapo ndani ya ndoa wanajinyima na kujizuia Kula mema ya nchi kisa kuwalindia heshima wake zao . Kumbe wake zao wapo busy kutembeza vitumbua vyao
 
Kiukweli wanawake waliopo ndani ya ndoa ni tatizo sana .

Kiufupi wale wanawake wanao jiuza ni wagumu kuwapata lakini sio wake za watu. Kumpata anae jiuza itakutaka ufanye kazi upate pesa za kwenda kumnunua lkn mke wa mtu unatakiwa kunionesha usijari na usiri tu basi unajilia kitumbua cha watu.

Trust me mwanaume kama huchezi mechi za nje kisa heshima kwa mkeo unajifanyia ukatili wa kufa mtu. Yaani unajinyima fantasy zako bure tu.

Ila kama huchezi kisa unatii maneno ya nyumba wako hapo sawa ila kama ni kwa ajili ya hawa ndugu zetu ...unajinyima vitu vizuri bure tu.

Na hao wake zenu ndio wanajitongozesha kwa wanaume trust me. Maana angejijua kuwa yeye ni mke wa mtu angeshinda nyumbani na familia na kuangalia mumewe.

Ukitaka kuamini kama wake zenu wanajitongozesha na kutafuta wanaume jiuliza utakuta labda mkeo ni mwalimu unakuja kumfumania na fundi ujenzi sasa hapo huyo fundi ujenzi wamekutana wapi na katika mishe gani....? Wakati nyumbani kwako hakuna ujenzi unao endelea? Au unakuja kumfuma na kinyozi wakati huyo mkeo hujawahi muona hata siku moja kanyoa zaidi ya kusuka na kuvaa mawigi.

So huyu kinyozi kapatikanaje? .maana kama mkeo anajua kuolewa na anaheshimu ndoa yake lazima takua na mambo machache utakuta kama ni mwalimu root zake ni shule , home ,church busy na vibustani nyumbani, jpili church, vipi watoto wanafanya nini na wanaendeleaje yaani vitu kama hivyo.

Namalizia kusema ukikuta mkeo anamazoea na wanaume ambao hawapo kwenye root yake jua mkeo anatongoza wanaume wamfilimbe

Wanaume zisugueni papuchi maisha ndio hayahaya hizo heshima mnazo zitafuta kwa wake zenu ni ujinga na upuuzi mtupu.

Aiseee sio mchezo....Ney anakwambia hauwezi kushindana na ulipotokea.
 
Hahahaha ....! Tatizo watu wengi kwenye jamii zetu nyingi ni washamba wa wanawake . Yaani wanaona sijui wanawake sijui kama kitu gani spesho. Wanahisi story kama hizi ni za kutungwa wakati watu tunatoa ushuhuda na kuwapa tahadhari.
Kweli kabisa wao hudhani wanawake ni watakatifu kumbe ni binadamu kama sisi nao wanatabia kama zetu sema matendo yao haya trending kwa vile wanaume wengi ni wasiri tofauti na KE wao huwa hawatunzi jambo
 
Back
Top Bottom