Umewahi fanya tendo la ndoa na watu zaidi ya watatu? Hiki ndicho kinakuotea

De Professor

JF-Expert Member
May 21, 2021
206
395
Habarini wana jamvi kwanza nafurahi siku ya leo nimerejea tena JF baada ya kutoweka kwa miaka 5 na kupoteza Acc yangu ya mwanzo.

Nije kwenye mada husika, katika kipindi hiki nimekua nikiona habari za watu kufanya mapenzi na mara huyu mara yule imekua kawaida tu kiufupi kwasasa sehemu za siri sio siri tena imekua ni sehemu za ndani lakini vijana wengi na hata watu wazima wamekua wakifanya haya either kwa kujua madhara au kutofahamu kwa sababu ya maadili kubadilika imekua vigumu kufahamishwa na watu wanaoelewa juu ya siri ya kutunza sehemu za siri.

Nianze na nini kinatokea kiroho:- Tendo husika huitwa tendo la ndoa yaani ikiw na maana kwamba washirika lazima wawe watu waliofunga ndoa na iwe ni Ke na Me husika ni kwanini? Muingiliano wa sehemu za siri husababisha kuhamisha mambo flani flani ya kiroho kutoka pande mmoja kwenda pande nyingine hivyo kifupi tu nikwamba ukishiriki tenda na huyo mtu unavaa mambo yao ya Asili na kushare mambo ya kiroho kama vile mapepo ya ngono, tabia ya uasherati, nk.

Ndio maana hapo mwanzo ilishauliwa mtu anapoolewa hasa wa kike awe bikra ili kulinda asiwe anamilikiwa na mambo ya asili na roho za watu flani flani walio shiriki nae tendo kabla. Damu inayotoka siku ya kutoa bikra huwa ni kiapo cha damu na alama ya Muunganiko wa asili baina ya me na ke hao.Kifupi nikwamba ukitembea na mke wa mtu au Mume wa mtu jua umelala na mtu anayemilikiwa na koo fulani na mambo ya asili fulani hivyo nawewe unajiunganisha na ma roho hayo ya asili yao

Kwanini siku hizi ndoa hazidumu:- Ukiachana na sababu za kitabia kama vile uvivu, uchafu na tamaa za maisha ya wengine kuna sababu zilizopo nyuma ya pazia ambazo wengi hawajishughulishi kuwazia huenda ikawa ni sababu wao kukwama, Mlolongo wa watu ulioshiriki nao tendo ni sababu na 1 ya kuharibu ndoa kiaje?

Ipo hivi kwanza ki mwili ukumbuke maungo ya wanawake na wanaume yanatofautiana ikiwa mru huyu atakuja kuolewa na mtu mwenye tofauti Negative na wale aliokutana nao zamani no wazi atakuwa akimis yale mambo na namna alivyokua akifikishwa na huyo mtu wa nyuma hivyo basi ni rahisi kuvumilia kwa muda ila siku ikitokea yule mtu wake wa zamani aliyekua zaidi ya mtu wake wa ndoa akitokea na kuanza kuomba kukumbushia ni rahisi sana wakarudiana na kuendelea kushiriki tendo mpaka hapo ndoa yenu haiwezi kua salama.

Pili kiroho mtu huwa anakua amekaribisha ma roho ya watu hivyo siku unafunga ndoa iwe ni kanisani au msikitini au bomani jua kabisa ki mwili mpo wa wili Me na Ke ila jua kila Upande unakua na list za vivuli wenza wengine yaani ME anakua na vivuli wenza wa kike kama 7 au 20+ kulingana na ushababi wake huko nyuma, KE nae anakua na vivuli wenA kama 9 au 18 + kulingana na vidume vingapi vilimpanda kabla ya ndoa, sasa jumla kuu ndio mjiongeze nanyinyi wawili hiyo ndio inakua ndoa yako ya kikundi hicho.

Nikwambie tu ndiomaana kuba watu wameolewa au wameoa ila usiku anapata ndoto nyevu akifanya tendo na ex wake flani, ama akiwa na stress anmkumbuka Ex wake flani, au wengine wakati wa tendo akiwa na mwenza wake katikati ya tendo ili afikie kilele anafanya kumkumbuka Ex wake ndipo anafika mshindo hii yote ni matokeo ya yale kumilikiwa ki roho baada ya ile siku mlopokutana na kushiriki na huyo mtu.

Hizi ni baadhi tu ya sababu zinazofanya ndoa isidumu na iwe ya tabu na ugomvi.

Kwa leo niishie hapa panapo majaaliwa nitakuja kuelezea namna gani ya kujitoa kwenye hayo ma roho uliyojiingiz kwa kushiriki tendo na mtu hatimae akakuambukiza na tabia zake flani kama umalaya nk vile vile nitazungumzia namna gani inaweza kukupelekea uwe mtu wa kutoka nje ya ndoa tu kila siku.

Nimalize kwa kusema
" NI HERI UWE MWANAMKE AMBAE KILA MWANAUME ATATAMANI KUWA NAWEWE ILA SI MWANAMKE AMBAE KILA MWANAUME AMEWAHI KUWA NAWEWE"
VIVYO HIVYO KWA MWANAUME.
 
Biblia inatufundisha kuwa miili yetu ni hekalu la Mungu aliye Mtakatifu sana 1Korinto 6.19 na pia ikasema aliyeunganishwa na kahaba ni mwili mmoja naye 1Korinto 6.18. Pia nikusaishe kidogo tendo la ndoa linafanywa na wanandoo, wanandoa wakichepuka inaitwa uasherati nauzinzi ni kufanya ngono bila kuwa naa ndoa.
 
Kwa maelezo haya najaribu kuwaza tu vipi nikitembea na mke wa mchungaji nitabebana na roho ya mibaraka tele kutoka upande wa mchungaji nini au nitakuwa sijajihusianisha na mchungaji?

Vipi hakuna uwezekano wa kuchukua roho nzuri nzuri au ni hizi mbaya mbaya tu ndio zinapatikanika.

Ila haya mambo ni magumu sana
 
Mahitaji ya kwanza ya mwanaume ni SEX.

Ni sawa sawa na petrol kwenye gari.

Petrol kwenye gari inaifanya gari li function.

wanaume hatutaki sex bali TUNAHITAJI SEX.

ndio maana hatuna hedhi za kila mwezi kwasababu muda wowote tupo tayari!

Tufanyaje sasa ndugu mtoa mada?
Ni kama unataka kusema kwa mwanaume bira ya sex maisha hayaendi, kitu ambacho hakina
 
Kwa maelezo haya najaribu kuwaza tu vipi nikitembea na mke wa mchungaji nitabebana na roho ya mibaraka tele kutoka upande wa mchungaji nini au nitakuwa sijajihusianisha na mchungaji?

Vipi hakuna uwezekano wa kuchukua roho nzuri nzuri au ni hizi mbaya mbaya tu ndio zinapatikanika.

Ila haya mambo ni magumu sana
Hoja tunduizi
 
Mahitaji ya kwanza ya mwanaume ni SEX.

Ni sawa sawa na petrol kwenye gari.

Petrol kwenye gari inaifanya gari li function.

wanaume hatutaki sex bali TUNAHITAJI SEX.

ndio maana hatuna hedhi za kila mwezi kwasababu muda wowote tupo tayari!

Tufanyaje sasa ndugu mtoa mada?
Nakazia! Mtoa mada please majibu!
 
Kwa maelezo haya najaribu kuwaza tu vipi nikitembea na mke wa mchungaji nitabebana na roho ya mibaraka tele kutoka upande wa mchungaji nini au nitakuwa sijajihusianisha na mchungaji?

Vipi hakuna uwezekano wa kuchukua roho nzuri nzuri au ni hizi mbaya mbaya tu ndio zinapatikanika.

Ila haya mambo ni magumu sana
Hahaha..Umewaza mbali sana tena kwa intelligensia kubwa, ila tu bahati mbaya Mibaraka na Heri na mambo yote yaliyo safi huwa hayaji kwa njia chafu, njia ya giza au njia mbaya kwasababu chini ya Jua kuna Roho 3 zinazowatawala watu yaani
1.Roho ya Nguvu za Mungu,
2.Roho ya Adui Ibilisi
3.Roho ya Dunia
Kila kundi lina taratibu zake, njia na kanuni kuyapata ya kundi husika. Kwenye swala lako kwasababu ni dhambi ya uzinzi au uasherati basi linakua chini ya nguvu za giza ni baya tu ndiyo yatahusu, japo kuna mengine unaweza kupata ukaona kama faida mfano unaweza ukawa na pepo la ngono yani wewe kila unaetongoza hapindui unakula mzigo utaona umewin ila mwisho yake ni majuto na mauti Maana mshahara wa dhambi ni mauti.
 
Mahitaji ya kwanza ya mwanaume ni SEX.

Ni sawa sawa na petrol kwenye gari.

Petrol kwenye gari inaifanya gari li function.

wanaume hatutaki sex bali TUNAHITAJI SEX.

ndio maana hatuna hedhi za kila mwezi kwasababu muda wowote tupo tayari!

Tufanyaje sasa ndugu mtoa mada?
Chagua Mmoja kajioneshe kwao nawewe mpeleke kwenu, mtakubaliana kwa namna yeyote ili wakuruhusu kumega tunda la huyo. Baada ya hapo sasa mle huyo asubuhi,mchana,jioni na usiku 24/7.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom