Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,312
- 10,492
Ni ushauri wa muhimu.
Katika kazi niifanyayo kwa Sasa nimekutana na wakaka na wadada wenye tatizo la uzazi na unakuta washafunga ndoa.
Nikupe case study moja, Kuna afisa mmoja mkenya Ana pesa nzuri tu, kamtokea binti mrembo wa Kanda ya Kati, ndani ya wiki 2 wakafunga ndoa. Asee binti karudi analialia eti jamaa mnara unasoma E sometimes 0 km!
Kumbe jamaa keshaoa twice akaacha. Ndoa ya kwanza alioa mkewe akapata kids 3, alipogombana na mkewe akataka kumtimua alidai watoto, mama akamwambia hapa hauna mtoto. Walipopima DNA kids wote holaa! Wakaachana. Sasa dada etu nae kaingia cha kike!
Ufanye nini basi?
1. Usikimbilie ndoa. Fanya vipimo kwanza ujue kama mwenzio ni mzima kibaiolojia.
2. Kama lengo lako ni kuwa na watoto, mkapime afya ya uzazi. Je, mwanamke kizazi kipo salama? Mwanaume sperms Zina afya? Anasimamisha?
Siku hizi utoaji mimba ni mkubwa, hivyo Ile michokonoo ya kule mferejini Kuna uwezekano wa kukwangua visivyohitaji kukwanguliwa.
3. Uchumba uchukue muda basi. Ongea na wananzengo hata kisiri siri ujue mwenzi wako Ana tabia gani na background Yake ipoje.
4. Kuleni vizuri basi, vyakula vya vitamins hasa vitamin E, folic acid, coenzyme Q10, zinc, selenium na amino acid L-arginine, na L-carnitine hasa kwa strong health sperms.
5. Epuka mitindo inayoua kizazi mf kutoa mimba, ngono za kishetani shetani nk.
Inauma Sana kuolewa na mwenza mbovu. True Love ishaotaga mbawa, imebaki asilimia ndogo sana