Wajameni kati ya kitu ninachoogopa ni kubadili dini niwe muislamu. Na ndoa yao imefunguliwa. Ipo kirahisi sana. Unaolewa leo kwa gharama kubwa akimaliza haja zake anakupa talaka tatu.
Hapo mashosti wanakucheka umeachwa unashangaa. Juzi nilienda kwa shosti yangu kaolewa huu ni mwaka wapili mie...
Habari zenu wandugu..
Nimependa nilete hii mada. Hivi ni kwanini wanawake wanashindwa kumudu mafanikio hasa wa miaka hii ya utandawazi.
Mfano wa kweli kuna watu wengi nawafahamu wanawake zao baada ya kufanikiwa wakavunja mahusiano.. Pia hata Mimi ishawahi nitokea kuna binti nilikuwa nae...
Rejea hapo juu....naomba niende kwenye mada husika..
Nina mdogo wangu alimtambulisha binti nyumbani kwa wazazi wetu, wazazi wakambariki baada ya hapo binti aliendelea kuishi kwao
Kwa bahati mbaya au nzuri binti alipata Ujauzito ,ikabidi binti atoroke aje kwa mwanaume ili Nyumbani wasigundue...
Yani kwa namna nilivyoumizwa na huyu dada, sidhani kama nitaoa katika Maisha yangu. Nimempa heshima zote, nimejitoa sana Kwa miaka 4 but ukiwa umebaki muda mfupi niende kwao nimvishe Pete mbele ya wazazi wake ananisaliti na kukiri kuwa ameliwa na hana bikra tena?!
Nimekaa kimya,nimemwachia...
Habari za muda huu waungwana wa jamiiforums
Kupatanisha changamoto ya ziada katika ndoa ambayo haina mtoto hata mmoja, kunahitaji hekima na busara nyingi sana.
Hakuna ndoa yoyote hapa duniani ambayo ni rahisi kuipatanisha kwa maana kila ndoa ina changamoto zake, lakini ukweli wa mambo ni...
Mdau (ke) yupo ndani ya ndoa kwa mwaka 1 Ila tabia ya mme wake inampa shida sana.
1). Jamaa mkimya sana akiamka asubuhi salamu anaaga anaenda kazini akirudi salamu anakaa kimya anakula ataangalia mpira kimya badae kulala ata bidada akimsemesha anajibu tu short then kimya Ila akija mgeni...
Habari zenu wanaJF
Waislam wenzangu A’alaykum (eid inanukia[emoji39])
Niko na mtu tuna miaka mitatu hadi sasa tumepitia changamoto nyingi furaha na huzuni, kiukweli ni mtu ambaye hajawahi kuniacha hata hatua moja. Suala lililonileta kwenu.
Huyu mtu ni Muislam mwenzangu hamna changamoto...
Yeereeeeeh!
Alipokuja bongo kuuza sura kwa kula wali maharage alishindwa kabisa kuopoa madem wakali nchini? Uvumi umeshaanza kuenea kiichosababisha ndoa ya Bill Gates kuvunjika ni kutembea na huyu demu wa miaka 36 Zhe 'Shelly' Wang mtafsiri katika foundation
yake ya Bill and Melinda Gates.
Hello Jamiiforum, moja kwa moja kwenye mada.
Neno ndoa linachukuliwa kirahisi sana kwa sasa, na hii inachangiwa sana na Mambo yafuatayo. Mwanamme kuishi na mwanamke pasipo kuoana, almaarufu Kama sogea tukae.kwa ieleweke mwanaume huwezi kupewa heshima inayostahili kwakuwa wewe si mume kamili...
Habari za weekend wana JF
Nilioa mwaka 2016, na tukabahatika kupata mtoto 1 wa kiume mwaka 2017 ambae ana miaka 4 kwa sasa na sehemu ya makazi yetu ni hapa Mbeya. Mapema 2020 mke wangu alianza kubadilika sana baada ya yeye kupata biashara nzuri ukilinganisha na ile aliyokuwa anafanya mwanzo...
Ndio dunia!
Ukiwa na pesa ni matatizo, ukiwa maskini ndio kabisa, ukiwa hivi yani kila kona ni matatizo.
Sasa hawa wamezeeka hata mapenzi kwao kusema wakachepuka wanachepuka vipi.
Mtoto wa Muhubiri maarufu TB Joshua, Serah Joshua leo anafunga ndoa na Brian Moshi wa Sinoni mkoani Arusha. Picha wakiwa wanatoka katika nyumba ya Mapadri wa Parokia ya Moyo Safi wa Bikira Maria Unga Limited, wakijiandaa kuingia kanisani. Picha na Daniel Sabuni.
Mtoto wa TB Joshua, Serah...
1. Lala nae (muhimu kuliko yote)
2. Mlishe ashibe
3. Muheshimu
4. Mwache awe na amani
5. Usimuingilie katika mambo yake.
Ni ajabu sana wanawake hawawezi kuyafanya haya matano kwa waume zao, ni kwanini?
Hello WanaJf
Bibi yangu Rukia kuna siku aliniuliza Mjukuu wangu unajua kwa nini wanawake wengi wa kizazi cha sasa hawaolewi?
Mimi: Hapana Bibi
Bibi: Hii ndiyo sababu mjukuu wangu "Kuonja onja umeshashiba".
Mimi: Inamaana gani bibi?
Bibi: Nikimaanisha kwamba mambo yanayopatikana kwenye ndoa...
Habari za mida hii ndugu zangu
Nmekuja nipate ushauri maana naona kila ninalotaka kuliweka mezani napangua.
Nimekuwa na mahusiano na kijana mmoja kama miezi miwili hivi au mitatu. Alinikuta sina mtu na tukaanzisha uhusiano (Huyu mtu ananijua na tunajuana maana tumetoka sehemu moja na tumesoma...
Wakuu habari
Huyu binti nahisi kaikosa ndoa, yaani ni zoezi simple lakini anashindwa kutekeleza, wakuu sikuizi watu tumeshtuka hatutaki kuoa mwanamke asiyezaa, nahisi huyu binti anataka kuzeekea nyumbani.
Inabidi tushtuke wakuu ndoa nyingi zimekosa mvuto kutokana na kukurupuka kuoa mwanamke...
Habari za wakati huu wanajamvi pendwa la MMU.
Ni siku ya tarehe 05/05/2021 kwa wale ambao siku ya jana 04/05/2021 ilikuwa siku ndefu poleni na wale ilikuwa kinyume chake hongera kwenu. Acha niende kwenye hoja moja kwa moja.
Nimekuwa kwenye mahusiano na binti wa mtu kwa mwaka na kitu sasa...
Mimi ni Kijana Me
Umri 32
Rangi: Mweupe wastan
Mwajiriwa wa serikalini pia nimejiajiri
Sijawahi oa wala sina mtoto
Dini: islam
Elimu: Bachelor Degree
Height: 5.7
Umbo : wastan si mnene wala mwembama sana
Mke anayehitajika
Umri:22-29
Itapendeza zaidi kama atakuwa mwembamba wastan
Rangi: Mweupe...
Mwili wa mwanaume una misuli mingi kupita wa mwanaume. Misuli hii inampa nguvu za ziada katika kuilinda familia. Mkiona nyoka ndani ya nyumba hutashangaa kusikia muiteni baba, ni mara chache kwenye familia yenye wazazi wawili kusikia kuna nyoka huku muiteni mama. Baba akishamuua nyoka Ego...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.