Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,813
- 3,767
Habari gani Wakuu
Aisee mimi kila siku nimekuwa najiuliza maswali memgi kwanini nioe yaani kwanini ? Wanaojiita Wachungaji wanatuaminisha oooh ndoa ni tamu oooh imekaa hivi ooh imekaa pale!
Hebu chukulia mtu ameolewa juzi juzi ambaye tunaamini ndoa ni tamu bado lakini anachepuka na Mume wa Mtu. Just imagine yaani. Utanambia hawa watu kwamba wanaamani kwenye hizo ndoa au wana experience utamu wowote wa ndoa hawa watu?
Unachepuka na Mume wa Mtu na Mwenye Mume kazinasa Picha zako wakati akikagua simu ya Mumewe Na kazisambaza sasa! Alfu kuna mtu juzi juzi eti ana crush kwa mwanajeshi ambaye sio mume wake na hapo ameolewa bado anakuwa na guts za kutuambia eti Tuoe mbona umri umefika wa kuoa?
NILIKUWA NIKO KWENYE MCHAKATO WA KUOA ILA NGOJA NIVUTE VUTE NA SIRUDI TENA KUPELEKA MAHALI.
MNAO OA NA KUOLEWA, OLEWENI KIMYA KIMYA MSITUHUBIRIE UJINGA WENU WA NDOA HAPA.
Tuzaeni kwa makubaliano basi, tulee watoto.