ndoa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa nyingi zinavunjika? (Sehemu ya 1: Upande wa wanaume)

    Katika siku hizi za mwisho, migogoro ya kindoa imekuwa ni mingi sana, kiasi kwamba ndoa kudumu hata mwaka mmoja, ni jambo la kushukuru sana. Kila kukicha mikwaruzano, hakuna amani, kila mmoja amemchoka mwenzake. Mpaka wengine kudhani huyo mwenzi aliyemuoa au aliyeolewa naye halikuwa chaguo...
  2. JamiiForums Tanzania Anapika chakula hanipi, hanifulii nguo halafu anataka ndoa

    Nilipozaliwa nilitamani siku moja niwe na familia yenye Amani furaha na upendo lakini vyote hakuna badala yake, Mwanamke hanifulii anapika Chakula hanipi, Anaenda mbali na tulipo haniambii. Halafu ananiambia anataka tufunge ndoa. Kweli? Nimfanye nini huyu mwanamke?
  3. JamiiForums Tanzania Bariki ndoa na si kufunga ndoa

    Ndoa ni nadhiri au maagano mnaojiapiza mbele ya Mungu yaani kwamba mume na mke mtavumiliana kwenye raha na shida. Katika karne hizi vijana mnafunga ndoa kama sanaa za maonesho tu baada ya hapo ni usimbe na umalaya kwenda mbele. Huwezi ukamfahamu mtu tabia yake vizuri ndani ya miezi, mwaka au...
  4. JamiiForums Tanzania Onyo kwa wanaume mnaotaka kuingia kwenye ndoa

    Habari za muda huu ndugu, jamaa na marafiki zangu wa JF, Leo nitakwenda fastafasta maana hamnilipi, ambae atanielewa sawa ambae atapuuza sawa pia; Kwanza cha kwanza kwa utafiti nilioufanya kwa hizi siku kadhaa nilipokuwa kimya nimegundua kuwa kumbe wanawake wa sasa wanaingia kwenye ndoa kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mwaka 2017 nilimuokoa kaka yangu wa hiari aliyekuwa anasumbuliwa na ndoa yake

    Kama kawaida katika harakati zangu za hapa na pale nikiwa kwenye fukwe nabalizi akatokea bro mmoja tusie fahamiana ila tulisalimiana na kila mtu akaendelea na mishe zake 2017 hiyo. Baada Kama ya wiki mbili/tatu hivi tunakutana town Tena tukasalimiana na akaniuliza vipi umeenda Tena kule beach...
  6. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzidiana na mambo ya kuwiana kwenye ndoa

    Mume Unatakiwa Umzidi Mkeo Mambo Matatu: 1. Umri 2. Akili 3. Pesa Mke Wako Anatakiwa Akuzidi Mambo Matano: 1. Subira 2. Usafi 3. Upendo 4. Mipango 5. Maombi Mume na Mke Mnatakiwa Muwe Sawa Kwenye Mambo Matatu: 1. Maelewano 2. Uvumilivu 3. Heshima Mbali na hapo tegemea ndoa ndoano.
  7. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuvunja ndoa

    Wakuu za asubuhi. Nahitaji kuvunja ndoa niliyomo. Nifika ustawi wa jamii wakasema kwa sasa, yaani muda uliobakia mwaka huu hawafanyi michakato ya talaka. Hiyo hadi mwakani February. Ni sawa? Pia nauliza njia mbadala ya kutengua ndoa bila kupitia ustawi. Ndoa ilifungwa ya kiserikali Ndoa ina...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa za kizazi hiki zinabagua ndugu?

    Dondoo za kuzingatia katika mjadala:- 1. Ndoa nyingi zimeacha kufanyika baraka kwa ndugu (Charity that does not begin at home). 2. Ndugu za mwanamke akiishi katika ndoa anatoboa kimaisha kuliko ndugu wa mwanaume. 3. Mwanaume akifa jibu ni moja tu kwamba ameuawa na mwanamke, mwanamke akifa...
  9. JamiiForums Tanzania Ndoa ya CCM na Polisi inatuharibia nchi

    Nimekuwa naipinga sana CHADEMA kwa sababu ya uCCM wangu. Lakini kwa hizi pilika zinazofanywa na serikali kukandamiza wapinzani kwa sababu ya kulinda uozo wetu zinanipa mashaka kuwa CCM ndo imekuwa inashika dola na siyo kuongoza dola. 1. Ukikosana na kipngozi wa CCM jiandae kupambana na polisi...
  10. JamiiForums Tanzania Let's have man talk:- Hivi ndio vitu mnavyofata kwenye ndoa?

    Wajumbe igweee..... Wale mnaosema sijui nahitaji mwanasaikolojia, hebu Njooni hapa muone Hawa mabaharia wanavyoteseka. Wale mnaosema soon naoa, aisee kilicho bora kwasasa ni KUTAFUTA HELA. Hawa ni wanaume wenzangu NAWAONEA SANAA HURUMA. Ukute wengine nawajui sema ni ID tu ndio zimetufanya...
  11. JamiiForums Tanzania Je hivi ndio vyakula vinavyoweza kuimarisha tendo la lako la ndoa?

    Je hivi ndio vyakula vinavyoweza kuimarisha tendo la lako la ndoa? 12 Julai 2019 Imeboreshwa 25 Aprili 2021 CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Kama kungekuwa na ushahidi kwamba chakula cha aina moja kinaweza kuimarisha tendo la ndoa na kukuzidishia hamu, huenda kungekuwa na uhaba wa chakula hicho...
  12. JamiiForums Tanzania Ndoa za masikini zinapitia changamoto nyingi sana, kuanzia nafasi ndani ya nyumba.

    Kuna bwana mmoja amejenga nyumba yake, kuna wing ameweka chumba chake self contained na cha mke wake, wanashare sitting room ndogo ambayo ina na fridge la vinywaji, TV na sofa. Anasema anaemhitaji mwenzake anamfuata chumbani kwake. Nilitafakari na kuona hawa wanaishi kwa amani sana. Sasa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sababu za uvunjifu wa ndoa na muarubaini wake

    CHANZO CHA UVUNJIFU WA NDOA NA MUARUBAINI WAKE. Katika mambo yanayowadumbua watafiti mpaka leo hii ni suala la kuvunjika kwa ndoa makundi kwa makundi. Kipindi Cha nyuma enzi za mababu zetu ilukuwa jambo la kustaajabisha kumuona mtu kamtaliki mkewe na kuibua maswali mengi bila majibu, lakini...
  14. JamiiForums Tanzania Nimenasa kwenye ulimbo wa ndoa natamani kutoka nashindwa

    Mimi ni kijana ambaye tayari nina miaka 30, nilifunga ndoa yangu mwaka 2019. Ndoa yangu imekuwa ya furaha kwa miezi 6 pekee baaada ya hapo mambo yaliharibika na sijui ni kwanini. Nakumbuka siku moja natoka zangu kazini namkuta wife kajamu, nilipouliza kulikoni sikupata jibu, kuanzia hapo hatuna...
  15. JamiiForums Tanzania Ya Metacha na mke anaemfanyia jeuri mume wake wa ndoa

    Ukiona mke wako anakufanyia jeuri /kiburi Wala usifikiri anazuzuliwa na MTU maana... Kanakuwaga kajinga jinga Fulani hivi kasiko Na mbele Wala nyuma. Ukitaka ku prove ninacho kwambia, wewe ukiona analeta jeuri muache aende zake tafuta mwanamke mwingine Kazi iendelee. Metacha Kwa jeuri Na...
  16. JamiiForums Tanzania Uchumba sio ndoa muda wowote unavunjika hivyo ishi na mchumba wako kwa akili

    Jamani,hii ni kengele ya tahadhari kwa wapenzi mlio katika mahusiano zaidi ya miaka mitatu mkiwa wachumba. Kibongobongo tunaita uchumba sugu ambao umeshaliza watu wengi kwani katika kipindi cha uchumba vijana hujifanya wanaekeza kwa wachumba wao vitu vya gharama, wapo wengine walizalishwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kisa cha ndoa ya Mpemba Swala Tano na mwanamke mchaga mkatoliki mwenye msimamo mkali

    Hawa watu walipendana Sana wakaamua kuoana. Lakini Kwa Sababu Hakuna aliekuwa tayari kubadilisha Dini yake kutokana Na misimamo mikali waliyo kuwa nayo, waliamua kufunga ndoa ya Serikali... SIKU WALIYOKUTANA KIMWILI KWA MARA YA KWANZA. Kati Kati ya tendo la Ndoa yule mwanamke Kwa kuzidiwa...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Wamefunga ndoa wodini jijini Dodoma baada ya Bwana harusi kupata ajali ya Bodaboda siku mbili kabla ya ndoa

    Augustine Makule na Mpenzi wake Rose Kimaro wamefunga ndoa wodini jijini Dodoma baada ya Bwana harusi kupata ajali ya Bodaboda siku mbili kabla ya siku ya harusi yao. Ajali hiyo ya pikipiki iliyotokea eneo la zuzu Dodoma na kupelekea kijana Agustino kukatwa mguu wake wa kulia na vidole vitatu...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Ndoa na Mafanikio

    UMUHIMU WA KUJIANDAA NA MAISHA YA NDOA Katika kumuumba kwake mwanadamu, Mungu aliweka utaratibu wa kuwepo mahusiano kati ya mwanamume na mwanamke , ili kuendeleza uzao kwa wanadamu, kuwaondolea upweke na kuwatunukia utulivu, faraja, huruma, mapenzi, upendo na ushirikiano. Kutokana na...
  20. JamiiForums Tanzania Ndoa: Baba Mchungaji anawakumbusha vijana wetu wa kike na wa kiume misingi imara kwa mahusiano na ndoa imara

    Hii mambo ya vijana kuchukuana na kuanza maisha bila kutushirikisha wazazi imekaaje? Binti unajiskiaje kuishi na mtu asiyejulikana kwenu? Kijana wa kiume unapata amani kuishi na binti bila kufuata taratibu? Ni kushindwa kulipa mahari au kushindwa kujua faida za kufuata taratibu? Wazazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…