Utaratibu wa kuvunja ndoa

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,271
2,401
Wakuu za asubuhi. Nahitaji kuvunja ndoa niliyomo. Nifika ustawi wa jamii wakasema kwa sasa, yaani muda uliobakia mwaka huu hawafanyi michakato ya talaka. Hiyo hadi mwakani February. Ni sawa?

Pia nauliza njia mbadala ya kutengua ndoa bila kupitia ustawi. Ndoa ilifungwa ya kiserikali

Ndoa ina mtoto mmoja na haina mali zilizochumwa kwa pamoja
 
Unaoa kiserikali?lzm atakua mke wa 2
 
Vipi tena Mkuu mbona hutushirikishi kilichojiri huko ndoani hadi malume ukafikia uamuzi huo ili na wengine wapate kujifunza kutoka kwako?

Kizuri ule na wenzio mkuu
 
Wakuu za asubuhi. Nahitaji kuvunja ndoa niliyomo. Nifika ustawi wa jamii wakasema kwa sasa, yaani muda uliobakia mwaka huu hawafanyi michakato ya talaka. Hiyo hadi mwakani February. Ni sawa?

Pia nauliza njia mbadala ya kutengua ndoa bila kupitia ustawi. Ndoa ilifungwa ya kiserikali

Ndoa ina mtoto mmoja na haina mali zilizochumwa kwa pamoja
Chombo chenye mamlaka ya kuvunja ndoa au kutoa talaka ni mahakama tu na si vinginevyo.ustawi wa jamii hawana hiyo mamlaka.
 
Kosea Kuoa/Kuolewa Maana Mtaachana Tu
Lakini Ukikosea Kuchagua Ni Mpaka Baada Ya Miaka Mitano
By Baba Jesca

Chukua Ushauri Wa Jiwe Maisha Haya Raha Sana
 
Chombo chenye mamlaka ya kuvunja ndoa au kutoa talaka ni mahakama tu na si vinginevyo.ustawi wa jamii hawana hiyo mamlaka.
Ustawi sio kama wana hayo mamlaka. Wao kwanza wako against sana na talaka. Ila panaposhindikana, wao ndio hupeleka shauri mahakamani. Sasa wamesema kwa kipindi hiki wamefunga ukurasa wa kupeleka mashauri mbele, yaani mahakamani
 
Back
Top Bottom