ndoa

  1. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Romy Jones amweleza mke wake akitimiza miaka 10 ya ndoa ataongeza mke mwingine

    Romy Jones amewaacha wanamtandao wakimpongeza kwenye mitandao ya kijamii kwa mara nyingine. Hii ni baada ya kushiriki chapisho hili kuhusu maadhimisho ya ndoa yake ambayo yamesambaa mitandaoni. Huku akimtakia kila lakheri mkewe, Romy alimwambia kewe kwamba wakitimiza miaka 10 katika ndoa...
  2. mulwanaka

    JamiiForums Tanzania Wanawake jifunzeni kuvutia waume zenu hata baada ya miaka 10 kwenye ndoa

    Chagamoto kubwa siku hizi ambayo inasababisha ndoa ziingie kwenye migogoro isio isha ni uzembe wa wanawake kwenye ndoa, unaoa mke ukiwa 30yrs yeye akiwa 23yrs, kwa umri huo anakua na sura nzuri na makeups chura sauti nzuri umbo safi, kwa kweli anakua na mvuto kila siku, unatamani kukutana nae...
  3. The Garang

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha ya ndoa

    Mambo vipi?? Wakubwa shikamoni!! Miaka takribani 10 iliyopita nilikuwa na urafiki na wadada wawili ambao ni o level classmates wangu. Tulikuwa close sana kiasi kwamba kujua ni nani anawafatilia ilikuwa ni issue normal. Wakati tunamaliza o level , mmoja wa rafiki yangu kati ya wale wawili...
  4. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Kisa cha nyumba ya nyasi kijijini chasababisha ndoa kuvunjika

    Katika kipindi chetu cha Gidi na Ghost asubuhi kitengo cha 'Stori za Ghost' mtangazaji Ghost Mulee alisimulia kisa kimoja kilichohusisha wapenzi wawili ambao ndoa yao ya miaka mitatu ilisambaratika wakati jamaa alipeleka mkewe nyumbani kwao kwa mara ya kwanza. Ghost alisimulia jinsi mwanadada...
  5. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kuzingatia kabla ya kufunga ndoa

    Mambo ambayo ni ya msingi ili kufanya muunganiko wa mwanaume na mwanamke uweze kutambuliwa kama Ndoa ni pamoja na haya yafuatayo: a) Hiari : lazima muunganiko utokane na chaguo binafsi la wahusika; bila Udanganyifu, laghai au kurubuniwa kwa aina yoyote b) Kusudio la kudumu: muunganiko wa...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Msifunge ndoa kabla ya kufanya utafiti

    Imeelezwa kuwa wanandoa wengi wamekuwa wanaharakati zaidi kuliko kuwa walezi wa ndoa zao, jambo ambalo linasababisha migogoro kwenye familia na kuzifanya zivunjike. Hayo yalisemwa jana jijini hapa na Mkurugenzi wa Asasi ya TaMCare, Dk Enock Miyuka alipokuwa anazindua kliniki ya ndoa na...
  7. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Siri ya Wanawake kuficha mateso ndani ya ndoa

    Manyanyaso kwenye ndoa limekuwa jambo la miaka mingi, kiasi kama limeonekana ni kawaida. Na muhanga mara nyingi huwa ni mwanamke, sababu kuu ni kuwa Unyanyasaji huusisha nguvu za kimwili na kiuchumi, ambazo zote ziko mikononi mwa mwanaume. Na Unyanyasaji uko wa namna mbili, wa kihisia na...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Heshima vs Upendo katika ndoa

    Habari wakuu, Heshima yenu popote mlipo Naanza kwa kunukuu Wakolosai 3:18-19 "Enyi wake, watiini waume zenu, kwani ndivyo apendavyo Bwana. Nanyi waume, wapendeni wake zenu, na msiwe wakali kwao". Huwa najiuliza kwa nini Mungu alimuaguza mwanaume kumpenda mkewe huku mke akiagizwa kumheshimu...
  9. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Meme Kabati amekatwa korodani na mkewe kwakushindwa kumridhisha mkewe tendo la ndoa

    Mwanaume mmoja nchini Kenya aitwaye Meme Kabati mwenye umri wa miaka 56 amelazwa Hospitali ya Nyambene Kaunti ya Meru baada ya Mkewe Karambu Meme, kumvuta na kuikata korodani yake moja kwa madai ya kwamba korodani hizo hazina faida kwakuwa Mumewe hajawahi kumridhisha kimapenzi kitandani hata...
  10. Underthesea

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini utaoa/olewa na mtu asiye sahihi

    (usomaji wa dakika 7) Wangapi wanaweza kukiri kuwa wanahisi wameoa/wameolewa na mtu asiye sahihi? Basi mimi nipo hapa kutoa ushauri nasaha pamoja na faraja kwenu. Unajua watu wengi tuna hasira tulizozibeba ndani yetu juu ya mahusiano yetu ya kimapenzi, jinsi mahusiano yetu yalivyoenda. Leo...
  11. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri kufanya mapenzi kabla ya ndoa au baada kipi ni kipi? Ushauri tafadhali

    Wajumbe hawajamuacha mtu salama kauli hii ni enzi hizo. Wadau tuchambueni maada hii kwanu nipo njia mbaya sijui chakufanya. Before or after ndio poa.
  12. Informer

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 kufanyiwa marekebisho kuhusu umri wa kuolewa

    Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palagamba Kabudi amesema Serikali imepanga kutekeleza uamuzi wa Mahakama ya Rufani kwa kuandaa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, kuhusu umri wa kuolewa. Profesa Kabudi alisema hayo Novemba 18,2021 alipoeleza mafanikio ya wizara yake...
  13. Ileje

    JamiiForums Tanzania Kwa hoja hii ndoa kuvunjika kutofikishwa bungeni Mbunge wa Makete hatoshi

  14. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea ndoa nyingi kuvunjika sababu hakuna maji na umeme

    Habari wandugu Seriously nimeshuhudia jamaa analalamika mke wake amesitisha kutoa chakula Cha usiku sababu hawana uhakika kuoga, ndani kunakuwa joto sababu fen haifanyi kazi jamaa anafikiria Leo asirudi nyumbani mapema apitie bar kwanza ....
  15. Thomas10

    JamiiForums Tanzania Ndoa imeingia doa. Msaada wa mawazo unahitajika sana

    Habarini! Ndoa ya ndugu yangu wa damu (kaka) imeingiliwa na kirusi hatarishi, maji yamezidi unga. Alimuoa binti (mke wake) kigori kabisa, na kwa utamaduni wetu, hili huwa tukio la heshima kwa muaji na waozeshaji (familia ya binti) pia. Baada ya miaka sita ya furaha na huzuni, ndoa ya ndugu...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wikileaks: Julian Assange aruhusiwa kufunga ndoa jela

    Julian Assange amepatiwa ruhusa kumuoa mpenzi wake Stella Moris katika jela ya Belmarsh, BBC imeambiwa. Mwanzilishi huyo wa mtandao wa Wikileaks na bi Moris wana watoto wawili wa kiume , ambao alisema walipatikana wakati alipokuwa akiishi katika ubalozi wa Ecuador mjini London . Huduma ya jela...
  17. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu uume unaweza kunasa ukeni pindi unapojamiiana?

    Sio mara moja wala mara mbili kushuhudia picha mtandaoni zikienea mtu na mpenzi wake kuwa wamegandana mwanaume anajaribu kuchomoa dushelele na haitoki Watu wengi huhusianisha na uchawi na matego kuwa huenda mume wa Huyu jamaa amemtega mke wake anapochepuka tu aumbuke Yote yanawezekana ila...
  18. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Tuongee kiume: Nini maana ya ndoa?

    kufurahisha. Na leo tunaonyeshana baadhi ya tafsiri hizo. Ndoa ni kumuita mwanamke aje atumie pesa zako, kisha aone haitoshi, azae marafiki zake ili washirikiane kula pesa zako zaidi. Kisha baadaye ukianza kufulia marafiki zake waseme tumelelewa na kuhudumiwa na mama, mzee alikuwa anazingua...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Dada yangu ananipa hasira, alikimbia ndoa baada ya mwaka sasa yupo kwa wazazi

    Ni dada yangu wa tumbo moja. Baada ya muda mrefu huku miaka ya kuplewa ikiwa ukingoni, alipata bahati ya kuolewa na kijana msataarabu kabisa, hakika ilikuwa kama muujiza ila dada akakimbia huku ndoa kwa sababu ambazo hadi leo zinaonyesha alimsingizia tu mme wake wazi wazi ilomradi aondoke...
  20. PromiseLand

    JamiiForums Tanzania Visa vya wanandoa/wapenzi kuuana vinaongezeka kila kukicha

    Niende moja kwa moja kwenye mada, nipo mkoa wa Geita kikazi na leo nimefanikiwa kufika sehemu inayoitwa Nyarugusu visa nilivyovikuta vinashangaza na hizi hapa ni simulizi nilizozikuta kwenye msiba uliovuta hisia za watu wengi. Ilikuwa ni msiba wa mama mmoja aliyeuawa na...
Back
Top Bottom