ndoa

  1. Dumuzii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume uliyepo ndani ya ndoa kama huchezi mechi za nje eti kisa heshima kwa mkeo jitafakari mara mbili

    Kiukweli wanawake waliopo ndani ya ndoa ni tatizo sana. Kiufupi wale wanawake wanao jiuza ni wagumu kuwapata lakini sio wake za watu. Kumpata anae jiuza itakutaka ufanye kazi upate pesa za kwenda kumnunua lkn mke wa mtu unatakiwa kunionesha usijari na usiri tu basi unajilia kitumbua cha watu...
  2. the numb 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu zinazopelekea Wanaume kubadilika kitabia baada ya Wanawake wao kubeba Ujauzito

    .
  3. Sheillah Sheillah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunaelekea kufunga ndoa, lakini sina hisia naye tena za kimapenzi

    Habari. Mimi na mpenzi wangu tumekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitano kama boyfriend na girlfriend (sio uchumba). Nikiri kwamba tumekuwa na kutokuelewana kama ilivyo kawaida ya mahusiano lakini tupo vizuri kuhakikisha tatizo lolote linatatuliwa kwa wakati na kuhakikisha mawasiliano...
  4. Omela Odongo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze kwa kuangalia ndoa zilizofanikiwa

    Salamu Wana jukwaa. Niende kwenye maada moja kwa moja,kama unavyojua kwa wale tuliozaliwa vijijini mwanzoni mwa miaka ya sabini mpaka mwanzoni mwa miaka ya themanini.Shule za sekondari zilikuwa chache kwa hiyo waliochaguliwa kutoka shule za msingi kwenda sekondari walikuwa wachache mno wengine...
  5. Mparee2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashauri wasio kwenye ndoa wasichangie mada za ndoa

    Tumekuwa tunapokea changamoto mbalimbalai za ndoa hapa JF. Hata hivyo kumekuwa na wimbi ka vijana wadogo kuingilia kati na kuchangia kwa hoja yao moja tu; Hapo huna Ndoa au Muache mke/mume. Hii ni kitu cha kusikitisha sana. Kwani kuna wachangiaji wengi wa masuala ya ndoa ambao hawajaoa au...
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

    Baada ya mimi kurudi home siku ambayo wife hakutarajia ntarudi ,sikumkuta nyumbani na nilipompigia simu yy alijibu yupo home anaangalia tamthilia. Nimekaa kuanzia saa moja usiku mpka saa sita usiku ndio anatokea, Alipatwa na kama bumbuwaz hiv hakuamin km nipo home nilimnasa vibao akadondoka...
  7. Zaburi 23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi mke wangu anachepuka

    Kama maada inavyojieleza hapo juu, Nahisi wife anamegwa nje coz kuna mambo anayafanya humu ndani nahisi ipo hivyo. Picha linaanza imefika stage kawa na kiburi nikimwambia kitu anaweza kukujibu staki ikiwa ni moja ya majukumu yake humu ndani so nashindwa kuelewa nini kinasababisha hadi awe hivi...
  8. Expensive life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa za siku hizi ni majanga

    Habari zenu wana jf? Ndoa za sisi vijana wa siku hizi tatizo nini? Embu twende moja kwa moja kwenye mada. Nina rafiki yangu sana tumekuwa kama ndugu, amefunga ndoa na mchumba wake wa muda kidogo (BONGE MOJA LA HARUSI) Kiufupi kwao pesa zipo na kwa binti pia zipo, ndugu jamaa na marafiki...
  9. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania June William Ruto afunga ndoa Takatifu na Dkt. Alexander Ezenagu Jijini Nairobi

    Bi June Ruto ambaye ni Binti wa Naibu Rais wa Kenya Dkt William Samoei Ruto amefunga ndoa takatifu na Dkt Alexander Ezenagu. Bwana harusi Dkt Ezenagu ni Raia wa Nigeria. Sherehe za harusi zilifanyika siku ya Alhamisi Mei 27, 2021 maeneo ya Karen Jijini Nairobi. Rais Uhuru Kenyatta...
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa waliokomaa kwenye mapenzi

    Hili ni swali la watu waliokomaa kinapenzi na wenye experience na wenye ndoa. Kama haupo kwenye Hayo niliyotaja usijibu Hivi ni Kwa nini utakuta mwanamke amesoma ana kazi nzuri na anaheshimika sana anakuwa na mume ambaye hajiheshimu na Huyu Mke wake anatumia kila jinsi kumtetea na kupenda Mume...
  11. Jumong S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pima uzazi kabla ya ndoa, kuna mateso ukigundua sio mzima viungo vya uzazi

    Ni ushauri wa muhimu. Katika kazi niifanyayo kwa Sasa nimekutana na wakaka na wadada wenye tatizo la uzazi na unakuta washafunga ndoa. Nikupe case study moja, Kuna afisa mmoja mkenya Ana pesa nzuri tu, kamtokea binti mrembo wa Kanda ya Kati, ndani ya wiki 2 wakafunga ndoa. Asee binti karudi...
  12. Page 94

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tusiendekeze Ngono. Tendo la ndoa liwe kwa makusudi ya uumbaji tu

    Wasalaam Wakuu. Katika dunia ya sasa, ngono imekuwa ni kibwagizo katika maisha ya binadamu. Iwe jinsia ke au me, wote wanapenda kufanya ngono kuliko inavyostahili. Kufanya mapenzi ni tendo takatifu kwa ajili ya kufanya uumbaji. Yaani kwa ajili ya kuendeleza kizazi. Lakini binadamu...
  13. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke jiulize haya maswali kabla hujafunga ndoa?

    Mwanaume kwenye ndoa ama mahusiano serious anawajibika kumfanyia mwanamke mambo mengi, mwanamke jiulize kitu gani uta offer in return tofauti na papuchi? Mwanaume anapaswa kufanya mengi yakiyomo haya. 1. Kumlisha mke wake ama mpenzi. 2. Kumtibia mke wake ama kuwajibika kumlipia huduma ya afya...
  14. Money Penny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Tendo la ndoa haliwezi kufanyika mpaka umeme uwake?

    Jana nilitoka out bwana nikiwa out basi wakaja akina mama wamejitoa out wana vikoba (nadhani pesa ilikuwa imepatikana wakaamua kujirusha) katika kuongea ongea kwao mara umeme ukazima Mama mmoja wa kwenye hicho kikundi bwana acha alalamike; Mama mmoja: Yaani huu umeme wa TANESCO umeniboa sana...
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miaka 15 ya ndoa bila kuchepuka, namshukuru Mungu

    Leo nimefikisha miaka 15 ya ndoa yangu mimi na mke wangu safari ilikuwa ya raha sana, ingawa mabonde pia yalikuwepo. Sijawahi kuchepuka nje ya ndoa, hakika kuna kipindi nilipata vikwazo vya wakwe maneno mengi yasiyoisha lakini nikawapuuzia. Dawa ya mjinga mpuuze tu, sasa katika miaka 45 ya...
  16. Grand Canyon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ya Kimila

    Wakuu naomba msaada wa maswali haya: Ndoa ya kimila ipi? Vigezo na masharti yake ni yapi? Anayefungisha ndoa hii ni nani? Wanandoa wa makabila tofauti wanafuata mila za nani? Je ndoa ya kimila ina nyaraka (documents)? Je ndoa hii ni halali 100% kama ya kufungia kwenye dini au kwa mkuu wa...
  17. Mboka man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwanini mwanamke akifanikiwa mahusiano au ndoa itavunjika au itadorora

    Kuna kautafiti nimekafanya katika mahusiano yeyote yale iwe uchumba au ndoa ikitokea mwanamke amefanikiwa basi penzi litayumba au litavunjikaa. Shida huwa ni nini lakini?
  18. De Professor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi fanya tendo la ndoa na watu zaidi ya watatu? Hiki ndicho kinakuotea

    Habarini wana jamvi kwanza nafurahi siku ya leo nimerejea tena JF baada ya kutoweka kwa miaka 5 na kupoteza Acc yangu ya mwanzo. Nije kwenye mada husika, katika kipindi hiki nimekua nikiona habari za watu kufanya mapenzi na mara huyu mara yule imekua kawaida tu kiufupi kwasasa sehemu za siri...
  19. Kifaru86

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulianzaje kujipanga na maisha ya ndoa ukiwa katika kipindi cha uchumba?

    Bila kupoteza muda kama kichwa cha habari kinavyosema ulianzaje kujipanga na maisha kabla ya kuingia kwenye ndoa ukiwa katika kipindi cha uchumba. Hebu tupeane mawazo wenzetu mliioowa mlianzaje kujiandaa na kujipanga kabla ya ndoa.
  20. Chief Wingia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakika Waislamu wana gharama na taratibu rahisi sana katika masuala ya ndoa

    Asalamu alaykum wanajukwaa pendwa la MMU natumai wote mubuheri wa afya. Awali ya yote niwape hongera za dhati Waislam kwa utaratibu mzuri kuanzia kwenye posa yaani kuchumbia, ndoa na sherehe ya ndoa. Nimeshuhudia haya kwa majirani, marafiki, jamaa na wafanyakazi wenzangu. Tukianza na...
Back
Top Bottom