ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Ndoa ni lazima kwa viongozi hapa nchini? Kwanini?

    Ningependa kuwakaribisha wadau wote wa JamiiForums kwa majawabu katika hili swali linalonitatiza kwa muda sasa. SWALI: Je, suala la mtu kupewa dhamana ya kuongoza katika taifa letu, swala la ndoa [kuoa au kuolewa] huwa ni jambo la lazima kwake yeye kulitimiza? Mfano wa nafasi hizo za uongozi...
  2. JamiiForums Tanzania Je, kuna wanandoa wanajutia kuoa au kuolewa na wanatamani ndoa ivunjike?

    Wasalaam JF Swali kwa wanandoa je, vipi hali ilivyo huko kuna ambao mnaojutia kuoa au kuolewa na mnatamani ndoa zivunjike mjiunge kundi lenye kura turufu ya maisha ya raha hapa duniani? Hasa hili kundi letu la uchakataji usio na mipaka. Inshallah naamini tuko na jumapili njema kabisa. Wadiz.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nashangaa sana kuona dada wa miaka 25 anaolewa. Unawahi wapi? Ndiyo maana ndoa zinawashinda!

    Kwa maisha ya Sasa 25 bado ni umri mdogo Sana kuanza kufikiria ndoa. Unahitaji muda wa kula ujana peke yako kwanza ndipo uingie kwenye ndoa. Ikiwezekana jipange kwanza kimaisha mpk ukifika 35 ndipo uingie kwenye ndoa. Mm nina 26 lkn wanaojitokeza nawaasmbia "bado sijamaliza mambo yangu".
  4. JamiiForums Tanzania Nilitangaza ndoa ila mwisho wa siku akazalishwa na mume wa mtu. Anaomba turudiane wakati nina mke sasa

    Karma is bitch. Mapenzi ni upofu ila mwisho wa siku unaweza kuona bila kutarajia, wakati unataka muwe familia mmoja yeye anaweza mengine. Nilimpenda sana huyu binti mpaka maisha yangu yamepunguzwa kwake baada ya akiba yangu kumpa ili tu tuwe wote. Mwanaume nikaona mke ndio huyu nika jitosa...
  5. JamiiForums Tanzania Swali Kwa Waislamu: Sababu gani ya msingi kuwataka wanandoa waanze na line (namba) mpya za simu baada ya kufunga ndoa

    Wasalaam JF Rejea muktadha wa jicho la habari ulivyosomeka, naomba michango ya majibu yenu, wanandoa sio misukule wana kumbukumbu, wana akili za aina mbalimbali ikiwemo unafiki. Je, kama ni kweli wanandoa hasa mwanamke kwa msisitizo kwa nini sharti abadili namba yake ya simu? baada ya kufunga...
  6. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mahakama yavunja ndoa baada ya mke kutopewa unyumba kwa miaka 7

    Mahakama ya Mwanzo Mkoani Mbeya imevunja ndoa ya Upendo Charles (40) na Nelson Sospeter (54) baada ya mke kudai kutopatiwa unyumba na mume wake kwa muda wa miaka saba. Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Asha Njovu, amesema baada ya kusikiliza kwa kipa pande zote mbili Mahakama iligundua kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Jifunze hili kwenye hili sakata la ndoa ya Dr. Mwaka na Bakwata

    Salamu zenu... Dini ya kiislaam ni dini ambayo hakuna kitu kuhusu maisha ya mwanadam hakijawekwa wazi utaratibu wake... KILA KITU KATIKA MAISHA YA MWANADAM KIMEWEKEWA UTARATIBU KATIKA UISLAAM...KUANZIA KWENYE QUR-AN HADI HADITH ZA MTUME MUHAMMAD صلى الله عليه وسلم. NDOA, TALAKA, NA MIRATHI...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mzazi usibomoe ndoa ya mwanao

    Unakuta mzazi anamlea vibaya mtoto kisha mtoto wake anaenda leta maumivu kwenye maisha ya mwenzake. Mtoto yeyote siyo wa kwako mzazi, huyo ni mke au mume wa mtu mtarajiwa, unapomlea vibaya unaharibu ndoa yake. Hata kama wewe ni single mama huo usingle ni wa kwako siyo wake, mlee ipasavyo...
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu ndoa

    Baada ya malalamiko mengi sana jukwaani juu ya vijana kuchezea kipigo cha kwenda toka kwa wake zao na migogoro mingine ningependa kushirikisha juu ya kidogo kile ambacho nakifahamu kuhusu mambo ya ndoa. 1.Wanawake wengi sikuhizi wanaolewa ili kutimiza fantasy na sio kwa kujua ndoa ni nini...
  10. JamiiForums Tanzania Baraza la Ulamaa latengua uamuzi uliovunja Ndoa ya Dkt. Mwaka

    Uamuzi huo umetolewa baada ya Baraza hilo kukutana kwa dharula na kutamka kuwa Ndoa ya Juma Mwaka Juma ‘Dr Mwaka’ na mke wake Qeenie Oscar Masanja haijavunjika kwa kuwa kuna malalamiko yaliyopelekwa katika Ofisi ya Qadhi. Taarifa ya Baraza inakuja ikiwa ni siku chache tangu Kikao cha Kamati ya...
  11. JamiiForums Tanzania Kenya: Hakuna pasu kwa pasu tena, Mahakama imeamua wanandoa wanaoachana kila moja achukue chake au kuonyesha ushahidi wa mchango wa mali ya kugawana.

    Mahakama ya Upeo Nchini Kenya leo Januari 27, 2023 imetoa Uamuzi kuwa Wanandoa wanaoachana hawatagawana Mali nusu kwa nusu (50/50) kama ilivyokuwa awali bali kila Mmoja ataondoka na kitu chake, tena kwa kuonesha ushahidi kuwa ni Mali yake halali. Uamuzi huo ni Marekebisho ya Ibara ya 45 (3)...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Dkt. Mwaka yavunjika. Imemaliza upendo kabisa

    Baraza la Mashekh wa Mkoa wa Dar es Salaam Chini ya Mwenyekiti wake Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam limevunja rasmi ndoa ya Bi. Queen Masanja ambaye alikuwa Mke wa Dk. Mwaka leo hii Tarehe 25/1/2023. “Ndoa hii imepoteza malengo na makusudio hakuna upendo wala maelewano baina yao hadi sasa zaidi...
  13. JamiiForums Tanzania KUZAA NAE ISIWE TIKETI YA NDOA. MAMAMKWE NAE 'DJINGAH' TU.

    Kwenye harakati za kuiridhisha nafsi kupitia 'kiburudisho' ikatokea kamtundika mimba na kuzaa binti ambae tayari anae mtoto. Mshikaji hakuwahi kumuweka huyu binti kwenye fikra zake kwamba siku moja angeweza kuwa mke kwake. Na hilo aliliweka wazi ambapo pamoja na vigezo vingine lile swala la...
  14. JamiiForums Tanzania Usidanganywe na stori za vijiweni, ijue Sheria ya Ndoa na Talaka

    NDOA NA MATOKEO YA NDOA (TALAKA, UGONI) Mambo ya ndoa sio mageni sana masikioni mwetu kwani wengine tupo ndoani na wengine marafiki zetu wapo ndoani na hata wazazi wetu wamekuwa ndoani. Kwa hiyo baadhi yetu ni matokeo ya ndoa za wazazi wetu na wengine tumepata matokeo ya ndoa zetu wenyewe...
  15. JamiiForums Tanzania Mambo unayotakiwa uyajue kwenye ndoa

    MAMBO UNAYOTAKIWA UYAJUE KWENYE NDOA. Anaandika, Robert Heriel i. Ndoa ni taasisi nyeti inayounda serikali ndogo iitwayo Familia. ii. Serikali(familia) lazima iwe na muundo wa utawala na mamlaka. Nature imempa Mwanaume nafasi ya kuwa Mtawala. Hivyo Baba ndiye Mtawala, Rais, alafu Mama ndiye...
  16. JamiiForums Tanzania Fahamu hili, kabla hujasaini mkataba wa ndoa na mwenzi wako

    Siku Ile unasaini Ile karatasi ya mkataba wa ndoa ni siku Muhimu Sana Wenda kuliko siku zote katika maisha yako yote. Siku hiyo unasaini mkataba wa Mafanikio yako katika awamu mpya ya maisha au mkataba wa kufeli kabisa katika maisha. Kabla ya kufikiri ni gauni gani utavaa, fikiri Huyu...
  17. JamiiForums Tanzania Usithubutu kutatua Ugomvi wa wanandoa au Wapenzi kwani utakuja kujuta na kuumbuka baadae

    Kuanzia sasa (leo) GENTAMYCINE natangaza rasmi nikikuta ama Wanandoa au Wapenzi (ninaowajua) wanagombana hadharani tena huku Wameshikiana Silaha za HATARI nitakachokifanya ni Kuwasakizia zaidi ama Waumizane au hata Wasitishiane rasmi Pumzi zao na siyo Kuwaokoa na Kuwatatua. Sijui kwanini Wema...
  18. JamiiForums Tanzania Nimepiga chabo vitabu vya mchungaji, karibu 90% ni jinsi ya kutatua mambo ya ndoa

    Nilitegemea nikute vitabu Vingi vya Imani, kukwida na kufurusha mapepo cha ajabu karibu vyote vinahusu ndoa na migogoro. Wajumbe mtulie katika mahusiano mnawatoa mitume na wachungaji kwenye fokasi, wanaacha kujifua mambo ya maana ya kwenda mbinguni wanaishia Kutafuta namna ya kutatua migogoro...
  19. JamiiForums Tanzania Ndoa za Kulazimishwa ni Ukiukaji wa Haki za Kibinadamu Unaopaswa Kupingwa kwa Nguvu Zote

    Magonjwa ya zinaa, ukatili (wa kimwili na wa kingono), mateso ya kisaikolojia, kupoteza uhuru, na woga pamoja na athari nyingine nyingi mbaya ni baadhi tu ya madhara ya kudumu yanayowakumba waathiriwa wa ndoa za kulazimishwa. Ukiukaji wa haki za kibinadamu kwa kuwalazimisha wasichana kuolewa ni...
  20. JamiiForums Tanzania Ndoa na kanisa

    Hello, Ningependa kujua mamlaka ya kanisa kufungisha ndoa iliyatoa wapi? Ikiwa Bible inawapa majukumu wazazi wakikubali ndoa tayari. Kuna makanisa yalikuwa yanasitisha baadhi ya huduma Kwa wazazi ambao watoto wao hawajafunga ndoa kanisani. Je, mamlaka hii inatoka wapi? Anyway mwenye andiko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…