Mzazi usibomoe ndoa ya mwanao

Showmax

JF-Expert Member
Nov 18, 2022
6,594
12,577
Unakuta mzazi anamlea vibaya mtoto kisha mtoto wake anaenda leta maumivu kwenye maisha ya mwenzake.

Mtoto yeyote siyo wa kwako mzazi, huyo ni mke au mume wa mtu mtarajiwa, unapomlea vibaya unaharibu ndoa yake. Hata kama wewe ni single mama huo usingle ni wa kwako siyo wake, mlee ipasavyo akatunze ndoa yake, usimlishe sumu.

Watoto hawaishi na wazazi muda mwingi kuliko watakavyoishi na wenza wao kwenye ndoa. Ataishi na mzazi kwa muda mfupi labda miaka 22 ataondoka, wakati kwenye ndoa ataishi si chini ya miaka 50 ya uhai wake.

Ndoa ni copy ya jinsi wazazi wao walivyoishi kwenye ndoa.
 
Unakuta mzazi anamlea vibaya mtoto kisha mtoto wake anaenda leta maumivu kwenye maisha ya mwenzake.
Mtoto yeyeto sio wa kwako mzazi huyo ni mke au mume wa mtu mtarajiwa, unapomlea vibaya unaharibu ndoa yake. Hata kama wewe ni single mama huo usingle ni wa kwako sio wake mlee ipasavyo akatunze ndoa yake, usimlishe sumu.
Watoto hawaishi na wazazi mda mwingi kuliko watakavyoishi na wenza wao kwenye ndoa. Ataishi na mzazi kwa mda mfupi labda miaka 22 ataondoka, wakati kwenye ndoa ataishi si chini ya miaka 50 ya uhai wake.
Ndoa ni copy ya jinsi wazazi wao walivyoishi kwenye ndoa.
Watoto hawaishi na wazazi mda mwingi kuliko watakavyoishi na wenza wao kwenye ndoa. Ataishi na mzazi kwa mda mfupi labda miaka 22 ataondoka, wakati kwenye ndoa ataishi si chini ya miaka 50 ya uhai wake.
 
Mtoto apaswi kutukanwa, kufokewa, kuropokewa maneno machafu, kunyanyaswa, kuumizwa hisia. Mtoto anakemewa anakripiwa anaonywa kwa mdomo na viboko ikibidi.
Wanawake na wanaume watesaji wote chanzo ni malezi mabovu.
Mabosi wote wa hovyo, wakali, wakorofi, wafanyakazi wote ambao ni difficult kufanya nao Kazi, wanawake wanaowatesa wadada wa kazi, watoto wote wanaoishi mitaani, machangudoa, wote hawa chanzo ni malezi mabovu kisha bahati mbaya hawana ujuzi wa kujiformat.
Kuna watu wamekulia shida, mateso na manyanyaso kupita maelezo utotoni, wakapata uwezo wa kujiformat yaani kujiselfmade ( civilized ) au kujitambua na kutozikopi tabia mbovu au kufuta maisha yao ya nyuma na kuwa watu bora.
 
Mimi kma mzazi siwezi vumilimia mwanangu anaswe na huu utapeli mnaita ndoa.
 
Huwezi jua tabia ya mtu hadi uishi nae, tabia zote njema uzionazo uchumbani tabia zote hizo ni fake sio tabia halisi kwa sababu anapalilia ndoa na huwa nawe mda mfupi so ni rahisi kupretend utaliwa kekundu.
Unakuta binti anajifanya sio muomba hela ingiza ndani hadi suruari anasachi.
Men anajifanya matawi out nyingi, anabadili magari kumbe ya kuazima. Care nyingi kumbe ni bondia.
Kujua tabia halisi ya mtu tumia watu wakuchunguzie na usinogewe na uteja wa mapenzi eti ni wanafiki yakikukuta utabakia "niliambiwa mimi" unabakia maumivu. Huwezi mbadilisha mtu mzima tabia labda uwe mtu wa rohoni mwenye elimu ya kutosha kucheza na ulimwengu wa roho.
 
Unakuta mzazi anamlea vibaya mtoto kisha mtoto wake anaenda leta maumivu kwenye maisha ya mwenzake.

Mtoto yeyote siyo wa kwako mzazi, huyo ni mke au mume wa mtu mtarajiwa, unapomlea vibaya unaharibu ndoa yake. Hata kama wewe ni single mama huo usingle ni wa kwako siyo wake, mlee ipasavyo akatunze ndoa yake, usimlishe sumu.

Watoto hawaishi na wazazi muda mwingi kuliko watakavyoishi na wenza wao kwenye ndoa. Ataishi na mzazi kwa muda mfupi labda miaka 22 ataondoka, wakati kwenye ndoa ataishi si chini ya miaka 50 ya uhai wake.

Ndoa ni copy ya jinsi wazazi wao walivyoishi kwenye ndoa.
Either yamekupata au kuna mtu yamempata na ukashuhudia...

KWA HAKIKA ULIYOYASEMA NI KWELI TUPU....

TABIA ZETU MBAYA TUSIZIRITHISHE KWA WATOTO WETU maana tutawasababishia maumivu na makovu katika maisha yao. Kwa sababu akileta shida kwa mwenza wake siku hizi kuna vyombo vinaona au hata kuivunja ndoa yake, Je atavunja ngapi?
 
Back
Top Bottom