KUZAA NAE ISIWE TIKETI YA NDOA. MAMAMKWE NAE 'DJINGAH' TU.

funluverx

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
480
342
Kwenye harakati za kuiridhisha nafsi kupitia 'kiburudisho' ikatokea kamtundika mimba na kuzaa binti ambae tayari anae mtoto.

Mshikaji hakuwahi kumuweka huyu binti kwenye fikra zake kwamba siku moja angeweza kuwa mke kwake.
Na hilo aliliweka wazi ambapo pamoja na vigezo vingine lile swala la kuwa na Mke mwenye mtoto tayari lilikuwa na ukakasi Fulani.

Hata hivyo, alijitoa na kuhakikisha kwa vitendo kuwa malezi ya 'Damu' yake kwa maana ya gharama za malezi hakumtupa bibie kabisa.

Kosa la karne alilolifanya,
kwa kuwa hakuwa ameoa na alikuwa akiishi pekeyake aliruhusu mwanya wa ukaribu zaidi na binti kiasi kwamba maramojamoja walikuwa wanaivunja amri ya sita, yaani 'kula Tunda' pasi na utaratibu unaoeleweka.
(Kumbuka jamaa kamuweka wazi binti kuwa hapa kwangu kitu Ndoa hakipo na binti kumuambia kuwa anae Mtoto na mtu mwingine lakini anaitamani Ndoa nae)
Sasa, ule mwanya wa 'kulana' Shosti huyu aliamua kuutumia ipasavyo.

Kaa vizuri nikujuze;

Binti ni kama alikuwa 'jiniasi',
aliamua kumtingisha jamaa, 'wewe kama hakuna mpango endelevu na mimi basi nakuletea kitoto chako upambane nacho kukilea'.

Jamaa akaona kama anatingishwa 'kiboya', akamuambia sio shida mlete mwanangu, wewe tambaa.

Kumbuka hakuna uadui,
wanaongea, wanasikilizana ilhali kila mmoja ana lake tofauti na-la mwenzake kichwani juu ya msimamo wa maisha ya-pamoja.

Bibie anaitamami Ndoa na jamaa, jamaa Hana habari.

Basi, binti kama alivyoahidi, kama masikhara vile akakachukua katoto na kwenda kukabwaga kwa jamaa yeye 'akasepa' kusikojulikana.

Kuonyesha udume-wake akafanya michakato ya Dada-wa-kazi na maisha yakawa yanaendelea akiwa na mtoto wake, kwake.

Kumbe huko upande wa bint, nafsi ikawa inachonyota,
Akilini mwake alidhania akimtingisha baba wa mtoto na-swala la kumpelekea mtoto pengine angeweza kubadili mawazo juu ya uwezekano wa wao kulazimika kuishi kama Mke na Mume wakuze mtoto.
Matokeo yake ikawa ndivyosivyo.

Ikawa kama imekula kwa binti vile.
Lakini, bint hakuchoka akawa na plan-B.
Kwakuwa mawasiliano yalikuwa hayajaharibika bint akawa anajifanya kwenda kumjulia Hali mtoto wake nyumbani kwa jamaa.
Jamaa nae alivyokuwa 'boya' akawa anaichukulia kuwa hiyo ni kawaida na hakuna tatizo asijue lengo la 'beibemama' wake.
Hee, si binti akajilengesha tena,wakawa 'wanakulana' tena.
Ikawa binti anakuja, analiwa, anaondoka katoto anako jamaa na hiyo ndio tiketi yakujia.
Maisha yanaendelea,
Mara paa tena, bint kabeba mimba nyingine,
mtoto wa pili kwa jamaa.
Jamaa 'anachombezwa' maoni yake juu ya mtoto mwingine ajae,
msimamo ni uleuleeee wa awali, "si-shauri kutoa mimba lakini ikikupendeza,
Zaa 'nitakusapoti' mtoto akikua kidogo niletee wewe utachapa lapa kama mwanzo, HAKUNA NDOA hapa kwangu''.

Nadhani Binti akaona nafanywa Fala hapa.
Liwalo naliwe.
Lakini Ndoa itapatikana.
Asijue anajitengenezea majuti mbeleni.

Basi, baada ya kumpata mtoto wa pili alichokifanya anajua mwenyewe na tusichume dhambi Ila ni wazi kuna kila dalili hata nguvu za giza zimetumika pia kwani misimamo ya jamaa hata kwa ndugu imeshangaza wengi, yaani ghafra alikuja kubadilika ajabu na Ndoa kufungwa ndani ya muda mfupi kiajabuajabu mno tofauti na misimamo ya awali kuwa hakuwa na mpango wa kumuoa huyu binti.

Viashiria Ni vingi lakini mojawapo,
Ndoa hiyo haikuwa ya kawaida na jamaa baada tu ya Kuoa alihama Mji akidai anaenda 'kutafuta' akimuacha Mke nyumbani na vitoto viwili pekeyake.

Inafika mwaka Sasa binti analalama kuwa tangia aolewe jamaa hajawahi 'Kumla'.
Hata akiwepo hakuna la maana wanalolizungumza
kama Mke na Mume.
Mawasiliano nae hataki na vituko lukuki jamaa anamfanyia mwanamke kifupi hamtaki na anasema wazi nenda kwenu.

Matokeo yake jamaa sasahivi anasema haelewi hata alioa-ojeoaje.

Kituko cha Mwaka na kilichopelekea kuuweka Uzi huu hapa;

Huyu binti kama inavyoeleweka mtoto wake wa kwanza alimzaa na jamaa mwingine,
Huyu mtoto anaishi na Bibiyake, wawili tu nyumbani.
Sasa jamaa amipata 'nyepesi' kuwa huyu baba wa huyo mtoto ambae anaishi mkoa mwingine huwa anaenda kumtembelea mtoto wake huko kwa Bibiyake.
Lakini kinachostaajabisha ni kuwa huyo Ba'Mtoto
huwa anafikia nyumbani kabisa kwa Bibi wa mtoto (Nyumbani kwao Mke wake)
Unaambiwa Libaba linaenda, linakaa hata wiki kisha linaondoka,
UKAKASI MTUPU.

Sasa jamaa ndio ameghadhibika zaidi na haelewi kama huyo Mzazi-mwenza huenda anapumzika kwa MamaMkwe (Wanakulana au tena atakuwa bado anakulana na Mke wake) maana haiingii kichwani.
Ikizingatiwa huyu bibiMtu ni Mswahiliswahili flani zile dizaini za 'maBibiwaMujini'

Kazee kijana flani ambako mkware yeyote anaweza 'kupita nako' mwanya ukipatikana.

MASOMO:
🔹Wanawake kuzaa na Mtu haimaanishi kuwa ndio umempata wa kujenga nae maisha mjifunze.
Unaweza kukazimisha kwa mbinu zozote za kiungwana au hata za Kishetani na ukaipata hiyo Ndoa lakini je, itakuwa ya furaha? je, utadumu nayo, Hila, Shirki na maigizo yana muda wake, mjifikirie vinamuda wake ikiisha havifanyi kazi unabaki uhalisia, hapochacha.
🔹Tuishi kwa Akili Sana na Wanawake.
🔹Kuoa au kuishi na aliepata mtoto kabla kila mtu anayo maoni yake tofauti lakini haliwezi kuwa tatizo iwapo kutakuwa na mipaka na kujali hisia za mwenzako hivyo kuna umuhimu wa watu kuwa makini sana hivi mfano;
Kama jamaa yetu huyu, unasikia kabisa, MzaziMwenza wa mwenzako anaenda nyumbani kwa mama wa mkeo anakaribishwa, analala wewe unajisikiaje,
Haiwezekana hata Mkeo akiwepo anaweza kwenda na kupewa nae chumba na akaliwa usiku kucha Kisha watu wakaona ni kawaida tu?
Sijui makabila mengine yakoje?
Hii sijaielewa hata mimi binafsi.
Hovyo Sana.
🔹Mwanamke/Mwanamme
kama huna mpango nae,
usimuweke karibu sana hasa inapogusa hisia na mipango ya Ndoa hasa kwa Wanawake (Mtanisamehe) Hawa viumbe baadhi yao anaweza kufanya usivyoweza kukifikiria kuwezekana ili tu apate Ndoa, sasa ukijilengesha unaweza kufanyiwa hata Ndumba na anejidai mchamungu unakuja kustuka ushagaragazwa Sana.

Nawasilisha.
 
Pole sana mkuu

hAta mimi kuna mtu niliwah mwambia hvyo kuwa sina mpango wa kuoa ila akanidanganya kuwa anakuja kuangalia ramani za biashara,nikamruhusu,alivyokuja nikawa nakula mzigo kama kawaida na kuondoka akaonekana hana hata dalili,baadae ananiuliza eti hv umeamua kuoa kweli,moyoni nikajisemea sasa umejileta na hutak kuondoka afu unaniuliza nn,kwa huruma yangu ili asijihis vibaya nikamjibu kuwa nimekubal kuoa

Ndo nikawa nimekamatwa kizembe hvyo ila sasa moto anauona,nimeshindwa kuwa mume wa mtu kuna starehe nahis bado zinanihitaj
 
Kwenye harakati za kuiridhisha nafsi kupitia 'kiburudisho' ikatokea kamtundika mimba na kuzaa binti ambae tayari anae mtoto.

Mshikaji hakuwahi kumuweka huyu binti kwenye fikra zake kwamba siku moja angeweza kuwa mke kwake.
Na hilo aliliweka wazi ambapo pamoja na vigezo vingine lile swala la kuwa na Mke mwenye mtoto tayari lilikuwa na ukakasi Fulani.

Hata hivyo, alijitoa na kuhakikisha kwa vitendo kuwa malezi ya 'Damu' yake kwa maana ya gharama za malezi hakumtupa bibie kabisa.

Kosa la karne alilolifanya,
kwa kuwa hakuwa ameoa na alikuwa akiishi pekeyake aliruhusu mwanya wa ukaribu zaidi na binti kiasi kwamba maramojamoja walikuwa wanaivunja amri ya sita, yaani 'kula Tunda' pasi na utaratibu unaoeleweka.
(Kumbuka jamaa kamuweka wazi binti kuwa hapa kwangu kitu Ndoa hakipo na binti kumuambia kuwa anae Mtoto na mtu mwingine lakini anaitamani Ndoa nae)
Sasa, ule mwanya wa 'kulana' Shosti huyu aliamua kuutumia ipasavyo.

Kaa vizuri nikujuze;

Binti ni kama alikuwa 'jiniasi',
aliamua kumtingisha jamaa, 'wewe kama hakuna mpango endelevu na mimi basi nakuletea kitoto chako upambane nacho kukilea'.

Jamaa akaona kama anatingishwa 'kiboya', akamuambia sio shida mlete mwanangu, wewe tambaa.

Kumbuka hakuna uadui,
wanaongea, wanasikilizana ilhali kila mmoja ana lake tofauti na-la mwenzake kichwani juu ya msimamo wa maisha ya-pamoja.

Bibie anaitamami Ndoa na jamaa, jamaa Hana habari.

Basi, binti kama alivyoahidi, kama masikhara vile akakachukua katoto na kwenda kukabwaga kwa jamaa yeye 'akasepa' kusikojulikana.

Kuonyesha udume-wake akafanya michakato ya Dada-wa-kazi na maisha yakawa yanaendelea akiwa na mtoto wake, kwake.

Kumbe huko upande wa bint, nafsi ikawa inachonyota,
Akilini mwake alidhania akimtingisha baba wa mtoto na-swala la kumpelekea mtoto pengine angeweza kubadili mawazo juu ya uwezekano wa wao kulazimika kuishi kama Mke na Mume wakuze mtoto.
Matokeo yake ikawa ndivyosivyo.

Ikawa kama imekula kwa binti vile.
Lakini, bint hakuchoka akawa na plan-B.
Kwakuwa mawasiliano yalikuwa hayajaharibika bint akawa anajifanya kwenda kumjulia Hali mtoto wake nyumbani kwa jamaa.
Jamaa nae alivyokuwa 'boya' akawa anaichukulia kuwa hiyo ni kawaida na hakuna tatizo asijue lengo la 'beibemama' wake.
Hee, si binti akajilengesha tena,wakawa 'wanakulana' tena.
Ikawa binti anakuja, analiwa, anaondoka katoto anako jamaa na hiyo ndio tiketi yakujia.
Maisha yanaendelea,
Mara paa tena, bint kabeba mimba nyingine,
mtoto wa pili kwa jamaa.
Jamaa 'anachombezwa' maoni yake juu ya mtoto mwingine ajae,
msimamo ni uleuleeee wa awali, "si-shauri kutoa mimba lakini ikikupendeza,
Zaa 'nitakusapoti' mtoto akikua kidogo niletee wewe utachapa lapa kama mwanzo, HAKUNA NDOA hapa kwangu''.

Nadhani Binti akaona nafanywa Fala hapa.
Liwalo naliwe.
Lakini Ndoa itapatikana.
Asijue anajitengenezea majuti mbeleni.

Basi, baada ya kumpata mtoto wa pili alichokifanya anajua mwenyewe na tusichume dhambi Ila ni wazi kuna kila dalili hata nguvu za giza zimetumika pia kwani misimamo ya jamaa hata kwa ndugu imeshangaza wengi, yaani ghafra alikuja kubadilika ajabu na Ndoa kufungwa ndani ya muda mfupi kiajabuajabu mno tofauti na misimamo ya awali kuwa hakuwa na mpango wa kumuoa huyu binti.

Viashiria Ni vingi lakini mojawapo,
Ndoa hiyo haikuwa ya kawaida na jamaa baada tu ya Kuoa alihama Mji akidai anaenda 'kutafuta' akimuacha Mke nyumbani na vitoto viwili pekeyake.

Inafika mwaka Sasa binti analalama kuwa tangia aolewe jamaa hajawahi 'Kumla'.
Hata akiwepo hakuna la maana wanalolizungumza
kama Mke na Mume.
Mawasiliano nae hataki na vituko lukuki jamaa anamfanyia mwanamke kifupi hamtaki na anasema wazi nenda kwenu.

Matokeo yake jamaa sasahivi anasema haelewi hata alioa-ojeoaje.

Kituko cha Mwaka na kilichopelekea kuuweka Uzi huu hapa;

Huyu binti kama inavyoeleweka mtoto wake wa kwanza alimzaa na jamaa mwingine,
Huyu mtoto anaishi na Bibiyake, wawili tu nyumbani.
Sasa jamaa amipata 'nyepesi' kuwa huyu baba wa huyo mtoto ambae anaishi mkoa mwingine huwa anaenda kumtembelea mtoto wake huko kwa Bibiyake.
Lakini kinachostaajabisha ni kuwa huyo Ba'Mtoto
huwa anafikia nyumbani kabisa kwa Bibi wa mtoto (Nyumbani kwao Mke wake)
Unaambiwa Libaba linaenda, linakaa hata wiki kisha linaondoka,
UKAKASI MTUPU.

Sasa jamaa ndio ameghadhibika zaidi na haelewi kama huyo Mzazi-mwenza huenda anapumzika kwa MamaMkwe (Wanakulana au tena atakuwa bado anakulana na Mke wake) maana haiingii kichwani.
Ikizingatiwa huyu bibiMtu ni Mswahiliswahili flani zile dizaini za 'maBibiwaMujini'

Kazee kijana flani ambako mkware yeyote anaweza 'kupita nako' mwanya ukipatikana.

MASOMO:
Wanawake kuzaa na Mtu haimaanishi kuwa ndio umempata wa kujenga nae maisha mjifunze.
Unaweza kukazimisha kwa mbinu zozote za kiungwana au hata za Kishetani na ukaipata hiyo Ndoa lakini je, itakuwa ya furaha? je, utadumu nayo, Hila, Shirki na maigizo yana muda wake, mjifikirie vinamuda wake ikiisha havifanyi kazi unabaki uhalisia, hapochacha.
Tuishi kwa Akili Sana na Wanawake.
Kuoa au kuishi na aliepata mtoto kabla kila mtu anayo maoni yake tofauti lakini haliwezi kuwa tatizo iwapo kutakuwa na mipaka na kujali hisia za mwenzako hivyo kuna umuhimu wa watu kuwa makini sana hivi mfano;
Kama jamaa yetu huyu, unasikia kabisa, MzaziMwenza wa mwenzako anaenda nyumbani kwa mama wa mkeo anakaribishwa, analala wewe unajisikiaje,
Haiwezekana hata Mkeo akiwepo anaweza kwenda na kupewa nae chumba na akaliwa usiku kucha Kisha watu wakaona ni kawaida tu?
Sijui makabila mengine yakoje?
Hii sijaielewa hata mimi binafsi.
Hovyo Sana.
Mwanamke/Mwanamme
kama huna mpango nae,
usimuweke karibu sana hasa inapogusa hisia na mipango ya Ndoa hasa kwa Wanawake (Mtanisamehe) Hawa viumbe baadhi yao anaweza kufanya usivyoweza kukifikiria kuwezekana ili tu apate Ndoa, sasa ukijilengesha unaweza kufanyiwa hata Ndumba na anejidai mchamungu unakuja kustuka ushagaragazwa Sana.

Nawasilisha.
Nimejifunza kitu hapa...
 
Haya yalishanikuta.
Mpaka Leo sijui ilikjuwaje mpaka nilifunga Ile ndoa.
Maana baada ya ndoa Tu nilianza kuona kama nilipotea njia
Mpaka Leo mama mkwe ananilaani kuwa nilimuharibia maisha binti yake
Ndoa ilivunjika ndani ya mwaka mmoja Tu. Mtoto wangu hakuwahi kulala na Baba yake hata siku moja.
Wanawake ndoa huwa hailazimishiwi tukirudi kwenye sense huwa hatujali tena .
 
yani mwenye uzi kanigusa moyoni mwangu hii stori inafanana kabisa na ya kwangu. Mimi nilikuwa na mahusiano na mwanaume tuko mkoa mmoja tunaonana bahati mbaya yalitokea yaliyotokea akasema kwamba hakupenda kumuoa ila binti alipiga makele hadi kwa ndugu wa mwanaumr sasa hivi wanaishi pamoja na watoto wawili wanakaribia kubariki ndoa soon. Hivi juzo alinitafuta kunitaarifu hayo mambo. Sijui inanisaidiaje. Mimi namuona mjinga sana na hakuwa na mpango wakunioa.
 
Kwenye harakati za kuiridhisha nafsi kupitia 'kiburudisho' ikatokea kamtundika mimba na kuzaa binti ambae tayari anae mtoto.

Mshikaji hakuwahi kumuweka huyu binti kwenye fikra zake kwamba siku moja angeweza kuwa mke kwake.
Na hilo aliliweka wazi ambapo pamoja na vigezo vingine lile swala la kuwa na Mke mwenye mtoto tayari lilikuwa na ukakasi Fulani.

Hata hivyo, alijitoa na kuhakikisha kwa vitendo kuwa malezi ya 'Damu' yake kwa maana ya gharama za malezi hakumtupa bibie kabisa.

Kosa la karne alilolifanya,
kwa kuwa hakuwa ameoa na alikuwa akiishi pekeyake aliruhusu mwanya wa ukaribu zaidi na binti kiasi kwamba maramojamoja walikuwa wanaivunja amri ya sita, yaani 'kula Tunda' pasi na utaratibu unaoeleweka.
(Kumbuka jamaa kamuweka wazi binti kuwa hapa kwangu kitu Ndoa hakipo na binti kumuambia kuwa anae Mtoto na mtu mwingine lakini anaitamani Ndoa nae)
Sasa, ule mwanya wa 'kulana' Shosti huyu aliamua kuutumia ipasavyo.

Kaa vizuri nikujuze;

Binti ni kama alikuwa 'jiniasi',
aliamua kumtingisha jamaa, 'wewe kama hakuna mpango endelevu na mimi basi nakuletea kitoto chako upambane nacho kukilea'.

Jamaa akaona kama anatingishwa 'kiboya', akamuambia sio shida mlete mwanangu, wewe tambaa.

Kumbuka hakuna uadui,
wanaongea, wanasikilizana ilhali kila mmoja ana lake tofauti na-la mwenzake kichwani juu ya msimamo wa maisha ya-pamoja.

Bibie anaitamami Ndoa na jamaa, jamaa Hana habari.

Basi, binti kama alivyoahidi, kama masikhara vile akakachukua katoto na kwenda kukabwaga kwa jamaa yeye 'akasepa' kusikojulikana.

Kuonyesha udume-wake akafanya michakato ya Dada-wa-kazi na maisha yakawa yanaendelea akiwa na mtoto wake, kwake.

Kumbe huko upande wa bint, nafsi ikawa inachonyota,
Akilini mwake alidhania akimtingisha baba wa mtoto na-swala la kumpelekea mtoto pengine angeweza kubadili mawazo juu ya uwezekano wa wao kulazimika kuishi kama Mke na Mume wakuze mtoto.
Matokeo yake ikawa ndivyosivyo.

Ikawa kama imekula kwa binti vile.
Lakini, bint hakuchoka akawa na plan-B.
Kwakuwa mawasiliano yalikuwa hayajaharibika bint akawa anajifanya kwenda kumjulia Hali mtoto wake nyumbani kwa jamaa.
Jamaa nae alivyokuwa 'boya' akawa anaichukulia kuwa hiyo ni kawaida na hakuna tatizo asijue lengo la 'beibemama' wake.
Hee, si binti akajilengesha tena,wakawa 'wanakulana' tena.
Ikawa binti anakuja, analiwa, anaondoka katoto anako jamaa na hiyo ndio tiketi yakujia.
Maisha yanaendelea,
Mara paa tena, bint kabeba mimba nyingine,
mtoto wa pili kwa jamaa.
Jamaa 'anachombezwa' maoni yake juu ya mtoto mwingine ajae,
msimamo ni uleuleeee wa awali, "si-shauri kutoa mimba lakini ikikupendeza,
Zaa 'nitakusapoti' mtoto akikua kidogo niletee wewe utachapa lapa kama mwanzo, HAKUNA NDOA hapa kwangu''.

Nadhani Binti akaona nafanywa Fala hapa.
Liwalo naliwe.
Lakini Ndoa itapatikana.
Asijue anajitengenezea majuti mbeleni.

Basi, baada ya kumpata mtoto wa pili alichokifanya anajua mwenyewe na tusichume dhambi Ila ni wazi kuna kila dalili hata nguvu za giza zimetumika pia kwani misimamo ya jamaa hata kwa ndugu imeshangaza wengi, yaani ghafra alikuja kubadilika ajabu na Ndoa kufungwa ndani ya muda mfupi kiajabuajabu mno tofauti na misimamo ya awali kuwa hakuwa na mpango wa kumuoa huyu binti.

Viashiria Ni vingi lakini mojawapo,
Ndoa hiyo haikuwa ya kawaida na jamaa baada tu ya Kuoa alihama Mji akidai anaenda 'kutafuta' akimuacha Mke nyumbani na vitoto viwili pekeyake.

Inafika mwaka Sasa binti analalama kuwa tangia aolewe jamaa hajawahi 'Kumla'.
Hata akiwepo hakuna la maana wanalolizungumza
kama Mke na Mume.
Mawasiliano nae hataki na vituko lukuki jamaa anamfanyia mwanamke kifupi hamtaki na anasema wazi nenda kwenu.

Matokeo yake jamaa sasahivi anasema haelewi hata alioa-ojeoaje.

Kituko cha Mwaka na kilichopelekea kuuweka Uzi huu hapa;

Huyu binti kama inavyoeleweka mtoto wake wa kwanza alimzaa na jamaa mwingine,
Huyu mtoto anaishi na Bibiyake, wawili tu nyumbani.
Sasa jamaa amipata 'nyepesi' kuwa huyu baba wa huyo mtoto ambae anaishi mkoa mwingine huwa anaenda kumtembelea mtoto wake huko kwa Bibiyake.
Lakini kinachostaajabisha ni kuwa huyo Ba'Mtoto
huwa anafikia nyumbani kabisa kwa Bibi wa mtoto (Nyumbani kwao Mke wake)
Unaambiwa Libaba linaenda, linakaa hata wiki kisha linaondoka,
UKAKASI MTUPU.

Sasa jamaa ndio ameghadhibika zaidi na haelewi kama huyo Mzazi-mwenza huenda anapumzika kwa MamaMkwe (Wanakulana au tena atakuwa bado anakulana na Mke wake) maana haiingii kichwani.
Ikizingatiwa huyu bibiMtu ni Mswahiliswahili flani zile dizaini za 'maBibiwaMujini'

Kazee kijana flani ambako mkware yeyote anaweza 'kupita nako' mwanya ukipatikana.

MASOMO:
🔹Wanawake kuzaa na Mtu haimaanishi kuwa ndio umempata wa kujenga nae maisha mjifunze.
Unaweza kukazimisha kwa mbinu zozote za kiungwana au hata za Kishetani na ukaipata hiyo Ndoa lakini je, itakuwa ya furaha? je, utadumu nayo, Hila, Shirki na maigizo yana muda wake, mjifikirie vinamuda wake ikiisha havifanyi kazi unabaki uhalisia, hapochacha.
🔹Tuishi kwa Akili Sana na Wanawake.
🔹Kuoa au kuishi na aliepata mtoto kabla kila mtu anayo maoni yake tofauti lakini haliwezi kuwa tatizo iwapo kutakuwa na mipaka na kujali hisia za mwenzako hivyo kuna umuhimu wa watu kuwa makini sana hivi mfano;
Kama jamaa yetu huyu, unasikia kabisa, MzaziMwenza wa mwenzako anaenda nyumbani kwa mama wa mkeo anakaribishwa, analala wewe unajisikiaje,
Haiwezekana hata Mkeo akiwepo anaweza kwenda na kupewa nae chumba na akaliwa usiku kucha Kisha watu wakaona ni kawaida tu?
Sijui makabila mengine yakoje?
Hii sijaielewa hata mimi binafsi.
Hovyo Sana.
🔹Mwanamke/Mwanamme
kama huna mpango nae,
usimuweke karibu sana hasa inapogusa hisia na mipango ya Ndoa hasa kwa Wanawake (Mtanisamehe) Hawa viumbe baadhi yao anaweza kufanya usivyoweza kukifikiria kuwezekana ili tu apate Ndoa, sasa ukijilengesha unaweza kufanyiwa hata Ndumba na anejidai mchamungu unakuja kustuka ushagaragazwa Sana.

Nawasilisha.
1675941206467.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom