NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,853
Mahakama ya Upeo Nchini Kenya leo Januari 27, 2023 imetoa Uamuzi kuwa Wanandoa wanaoachana hawatagawana Mali nusu kwa nusu (50/50) kama ilivyokuwa awali bali kila Mmoja ataondoka na kitu chake, tena kwa kuonesha ushahidi kuwa ni Mali yake halali.
Uamuzi huo ni Marekebisho ya Ibara ya 45 (3) ya Usawa katika Ndoa. Kila Mwanandoa atatakiwa kuonesha Mchango wake kwenye Mali za Familia.
Uamuzi huo ni Marekebisho ya Ibara ya 45 (3) ya Usawa katika Ndoa. Kila Mwanandoa atatakiwa kuonesha Mchango wake kwenye Mali za Familia.