Swali Kwa Waislamu: Sababu gani ya msingi kuwataka wanandoa waanze na line (namba) mpya za simu baada ya kufunga ndoa

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,413
11,065
Wasalaam JF

Rejea muktadha wa jicho la habari ulivyosomeka, naomba michango ya majibu yenu, wanandoa sio misukule wana kumbukumbu, wana akili za aina mbalimbali ikiwemo unafiki.

Je, kama ni kweli wanandoa hasa mwanamke kwa msisitizo kwa nini sharti abadili namba yake ya simu? baada ya kufunga ndoa kunani?

Hoja ya msingi ni nini, na mwafanya hivyo ili kumfurahisha nani, mwaogopa tindo tindo za kwazima?

Hio ni nini kina yahe?

Majibu tafadhari

Wabillahi Tawfiq

Asalaam Aleykhum
 
We umeiona wapi hiyo, ndio kwanza naisikia kwako.

Mie nimeoa, natumia lime ya zamani, mke wangu nae line yake ya zamani.

Hilo sharti linakuwepo wakati wa kufunga ndoa, kwahiyo mfungishaji ndoa hafungishi mpaka line ivunjwe? 😂 😂
 
Hicho kitu kama kipo ni upuuzi, inatakiwa hao wanandoa waanze na fresh memory, kila mmoja afanyiwe upasuaji wa ubongo na kupandikizwa ubongo mpya
 
Sijui kwanini nimecheka sana??

Nimecheka kwasababu yaani daaah,kwahiyo waislamu wanamasharti hayo??

Sijawahi kusikia kwakweli,Nina marafiki/ndugu tele wameolewa na ninawasiliana nao kwa namba zao walizokuwa wanatumia kabla hawajaolewa,
 
Jf ya sasa imekuwa kawaida mtu ukishiba maharagwe au kupata habari vijiwe vya kahawa na kutype uzi , zamani kabla ya kutype uzi mtu unakuwa na hofu juu ya usahihi wa kile unachoandika na kuhakiki taarifa zako kwa makini.
 
Waisilamu wote wa duniani umewafanyia utafiti ukaona wako hivio ebu tuwekee tafiti yako tuone
 
Kinachosababisha ni wivu, nimewah isikia hii, mhusika anaogopa pengine kwenyw laini ya zamani Kuna namba za mabwana, ni wivu tu usiokuwa na msingi, na hili halipo kwenywe Iman ya kiislam. Ni mtu tu anaamua kufanya hivyo
 
Kweli WAISLAMU Wana Mapungufu Mengi mno kwenye Imani Yao.

Yani kama WAMEFIKA Hadi huku hii ni Ajabu na Kweli.

Tutaendelea kusikia mengi.
:JUA KUZAMA KWENYE MATOPE.
:MUDI KUOA MTOTO WA MIAKA SITA.
:KUNYONYANA ULIMI NA MASWAHIBA AKINA HASSAN.
KUOA SUGAR MAMY NK.


pole sana Kwa kuingizwa Chaka na MASHETANI ya Vatcan
Mkuu punguza kutumia matako kufikiria
Au ndio mume wenu alivyo wafundisha

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wasalaam JF

Rejea muktadha wa jicho la habari ulivyosomeka, naomba michango ya majibu yenu, wanandoa sio misukule wana kumbukumbu, wana akili za aina mbalimbali ikiwemo unafiki.

Je kama ni kweli wanandoa hasa mwanamke kwa msisitizo kwa nini sharti abadili namba yake ya simu? baada ya kufunga ndoa kunani?

Hoja ya msingi ni nini, na mwafanya hivyo ili kumfurahisha nani, mwaogopa tindo tindo za kwazima?

Hio ni nini kina yahe?

Majibu tafadhari

Wabillahi Tawfiq

Asalaam Aleykhum
Sio sheria ni utashi wa mtu. Labd unayo aya ya qur'an inaonesha iko umesema?
 
Kweli WAISLAMU Wana Mapungufu Mengi mno kwenye Imani Yao.

Yani kama WAMEFIKA Hadi huku hii ni Ajabu na Kweli.

Tutaendelea kusikia mengi.
:JUA KUZAMA KWENYE MATOPE.
:MUDI KUOA MTOTO WA MIAKA SITA.
:KUNYONYANA ULIMI NA MASWAHIBA AKINA HASSAN.
KUOA SUGAR MAMY NK.


pole sana Kwa kuingizwa Chaka na MASHETANI ya Vatcan
Nikuombe uthibitisho wa hizo tuhuma, kuanzia kuzama matopeni mpka kuoa sugar mamy?
 
Back
Top Bottom