ndoa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake msituumize kihisia kwa kutoka nje ya ndoa ili kulipiza kisasi

    Kuna hii tabia ya baadhi ya wanawake kutoka nje ya ndoa sababu tu ya kuwakomoa waume zao baada ya kugundua kwamba waume zao wanatoka nje ya ndoa. Kiukweli sisi wanaume tunaumia sana kuliko hata nyinyi mnavyoumia pindi tukigundua kwamba mnatoka nje ya ndoa. Kwanini tunaumia? Tunaumia kwasababu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kumdhibiti mwanaume asiyeeleweka

    Salaam. Kuna wakati mwanamke unaona mwanaume wako unayempenda na kumuheshimu hakupendi wala kukuthamini kama ilivyokuwa mwanzo/kabadilika. Na hali hii inawaletea stress wanawake wengi. Wapo wanawake wakiona tu kidume hakieleweki anasepa zake, which is good for peace of mind ila kama wewe ni...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Mahakama yavunja ndoa ya Kafulila na Jesca Kishoa

    Kituo Jumuishi Huduma za Kimahakama, Mirathi na Ndoa, Temeke kimeivunja rasmi ndoa kati ya wanasiasa machachari David Kafulila na Jesca Kishoa kupitia shauri la ndoa No 217 ya 2022. Ndoa hiyo iliyofungwa Aprili 22, 2014 ilivunjwa rasmi Februari 20, 2023 baada ya wanandoa hao kutengana tangu...
  4. JamiiForums Tanzania Walimu waghushi Vyeti vya Ndoa kupata Bima ya Afya

    Tume ya Utumishi wa Walimu Nchini (TSC), imekabidhiwa majina 78 ya walimu waliobainika kughushi nyaraka mbalimbali za wategemezi na matumizi mabaya ya kadi za bima za afya. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kitengo cha mawasiliano Serikalini cha TSC iliyotolewa jana Jumatano, Machi Mosi...
  5. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa ndoa ya Dkt. Mwaka na mkewe kufikishwa Mahakamani

    Sakata la ndoa ya mtaalamu wa tiba mbadala, Juma Mwaka maarufu Dk Mwaka na mkewe Queen Masanja, limechukua sura mpya baada ya shauri hilo kutua kwa wanasheria ambao wamepanga kulipeleka mahakamani. Shauri hilo tayari limepita kwenye Baraza la Usuluhishi chini ya Ustawi wa Jamii na wakati wowote...
  6. JamiiForums Tanzania Mimi mkataa ndoa naangamia rohoni: Nishaurini ili nipone

    ... Moderator, Please Delete .... Moderator
  7. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Sarah kudai mgawanyo wa mali ambazo hakuhusika nazo kuzichuma? Tuendelee kukataa ndoa?

    Kwamba wakati mwenzake anapamba na kukata mauno huku bongo, yeye alikuwa anakula raha Italy, ila ghafla anakuja mtu kudai apewe nyumba na mali zote, na mahakama imekubali, kwamba tuendelee kukataa ndoa? Diamond platnumz ana akili sana, msimlaumu kwa uamuzi wake wa kuzaa na kulea watoto wake tu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaoa test mitambo kwanza kuiepuka aibu

    Dada wa diaspora alikuja mwaka juzi hapa Tanzania akampenda binti kisha kamuunganisha na kakake aliyeko nje ya nchi. Mambo yote ya kimahusiano yakaazia na kukamilikia kwenye simu. Mwaka jana mwezi wa 9, mkaka kaja na kufunga ndoa na binti. Wakaenda kula tunda la katikati kwa mara ya kwanza...
  9. JamiiForums Tanzania Faida za kufanya mapenzi na mwenza wako kabla ya ndoa

    Ewe mwanaume, kamwe mwanamke asikwambie kuwa hawezi kukutunuku mpaka pale mtakapofunga ndoa. Usikubali. Inaweza tokea mkashindwa ku match code. Unaweza kuwa aina ya mwanaume unayesukuma ukuni kwa muda mrefu, kumbe mkeo akawa ni wa dakika tatu hoi ukajikuta ishakula kwako. Hii ilinifanya nioe...
  10. JamiiForums Tanzania Ameniambia tufunge ndoa kabla ya Ramadhani

    Habarini Nimeishi na uyu bint sasa ni miaka 3 . Amekomalia sana ndoa ramadhani hii kasema lazima tufunge ndo Wote sisi ni waislam Mimi mfukoni apa nna laki 3 tu. Wazazi wetu wako mbali na sisi yeye anasema inawezekana bila ya ndugu na ndoa inakuwa safi. Wataalamu, ma sheikh ushauri wenu
  11. JamiiForums Tanzania Ngono na kifo vipo karibu, umeoa/umeolewa tulizana na ndoa yako

    Habari wa jukwaa, Kuna watu wengi wanafeli hapa, unakuta mwanaume kaoa halafu anamtamani mke wa mwenzie. Hivi siku ukamfuma wa kwako itakuwaje? Jambazi akiibiwa uwa anaua, lakini yeye hajui kuwa mtu akiibiwa huwa anapata matatizo gani. Ukioa punguza mihemko, maji ndio yale yale sema visima...
  12. JamiiForums Tanzania Ndoa VS Usioe grand finale!

    TEAM NDOA VS TEAM USIOE Mjadala huu mkali umeshika kasi huku kila upande ukitoa sababu zake! Kabla hujaamua uunge mkono upande upi ni vyema ukajitafakari na kuona Kama uamuzi wako binafsi una mantiki na manufaa kwako. NDOA NI KWA AJILI YA NANI?  Ukipata majibu ya swali hili utaelewa maana...
  13. JamiiForums Tanzania 2.6% ya ndoa huvunjika kwa amri ya ndugu

    Nisiwe mchoyo wa takwimu na data mzee wenu niliyejizika kwenye takwimu. Ndugu zangu 2.6% ya ndoa huvunjika kwa amri ya ndugu. Hizi ni takwimu za NBS ndugu zangu 'The 2021 Social Institutions and Gender Index (SIGI) - Tanzania Survey Report' Aidha wengi sana wanaachana kwa ugomvi badala ya...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kwenye Sheria ya ndoa Ni vyema kuwe na mabadiliko

    Nafikiri Ni wakati muafaka wa kufanya amendment za Sheria ya ndoa ili kuweka wazi baadhi ya Mambo, mfano wanandoa kukubaliana namna ambayo Mali zitagawanywa au kutogawanywa Kama wakiitengana, kuwepo na kipengele Cha idadi ya wenza. Dini zinaleta shida nyingi zaidi kwenye Mambo ya ndoa, kuwepo...
  15. JamiiForums Tanzania Nimeamua kumpiga X-Ray mke wangu mtarajiwa na ukoo wake

    Habari zenu humu, kwanza tambua ukubwa jalala na kijiji bila wazee ni Jahanam. Week hii ndugu zangu nimeenda kumpiga X-Ray my future wife pamoja na ukoo wake kwa nia tu nzuri, ili tu tujue account ya nani ipo juu. Baada ya X Ray kutoa majibu account yangu ipo juu kuliko ya my future wife kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wenye pesa hawadumu kwenye ndoa? Wengi wao ni single mothers

    Habari wanajukwaa, Moja kwa moja kwenye mada. Wanawake wenye mafanikio kiuchumi huwa hawadumu kwenye ndoa na wengine huwa hawaolewi kabisa japo wanapenda kudate na wanaume (vijana) wasio na pesa nyingi wakiwahudumia kwa kila kitu na wakizingua wanawatimua. Hasa watumishi ndiyo wanaongoza kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Changamoto wanazopitia vijana wetu mpaka wanakuja na kampeni za kataa ndoa

    min -me nimetimiza ahadi mada hii hapa..! Kila kitu huwa na mwanzo huwa na chanzo, vijana walianza kulalamika siku nyingi wakitafuta ushauri huku na kule.. Wengi walikatishwa tamaa na aina ya ushauri waliopewa na wakubwa.. Haukuwa na weledi Masaibu yao hasa yalikuwa kwenye vipengele hivi...
  18. JamiiForums Tanzania Kama ndoa na kuoa ni jambo zuri mbona mnapanic tuacheni na kauli mbiu yetu ya kukataa ndoa na kuoa

    Hello mambo!! Wahenga walisema kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza. Kwa muktadha huo tuishi uhuru wa kifikra, kimaamuzi, iwe haki na huru. Kama ndoa ni nzuri mbona mnatumia nguvu kubwata na hizo tantalila tantalila zenu. Dunia ndio hii hii ukioa au ukiolewa pambana na hali yako. Kataa ndoa...
  19. JamiiForums Tanzania Profile la kijana mkataa ndoa

    1. Ni vijana wadogo hawajafikisha 35 years old, infact majority wako 30 and under. 2.Financially insecured,ama washawahi kuwa na experience iliyowafanya wafeel vulnerable financially. 3.Wachoyo hata kwa mambo madogo kama sukari, LOL. 4. Most ni introverts wanao struggle ku form relationships...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto wako ni mke na mume wa mtu ajae, mlee vyema kuokoa ndoa yake

    Mzazi tambua huyo mtoto wako ni mke na mtu ajae. Wazazi wanaishi na watoto mda mfupi kuliko mda ambao mtoto ataishi pekee yake, ikiwemo kumaliza muda wake kwenye ndoa yake. Kwa miaka ya kibiblia kuishi ni miaka 70,80 kwa Neema ni zaidi ya hapo. Watu uingia kwenye ndoa kuanzia miaka 23 sababu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…