Justdr
Member
- Jun 1, 2021
- 51
- 89
Wanawake emu njooni hapa mtuambie kipi kinawafanya mpende sana shughuli/harusi kuliko ndoa yenyewe?
Binafsi kuna wanawake kama 5 nishawashirikisha hili jambo, na nilikuwa nikiwaambia hivi langu "nataka nikuoe tufunge ndoa ila kusiwe na harusi hata ikiwepo iwe ya kifamilia tu, watu wasiwepo wengi ili kuepuka gharama hapa na pale, muda and distubance and stuff like that..."
Na nikaahidi hizo gharama ambazo tungefanyia harusi tufanyie biashara, tujenge au tununue usafiri na nikawahakikishia kwa kuwaonesha balance kidogo iliyoko benki ...
But very surprising hakuna hata mmoja aliyekubaliana na mpango wangu huo..🤔🤭 wadada walitaka harusi bhanaaaa...
Kufanya shughuli/harusi ni mission ambayo iko kwa kila akili ya mwanamke
That's it.
But why /kwanini harusi?