Ndoa nyingi za watu wa bara hazidumu ukilinganisha na ndoa nyingi za watu wa pwani

Nesi mkunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2022
701
1,840
Hamjambo!

Sijui kwanini watu wa ndoa nyingi za watu wa bara hazidumu ukilinganisha na Ndoa nyingi za watu wa pwani sijajua shida ni nini aisee tafadhali labda watu wa bara mnaweza kunisaidia.

Bara Kuna Idadi kubwa ya watu wanaochana ukilinganisha na watu pwani hii nahisi watu wa bara au wanawake hawapati mafunzo sahihi ya ndoa au bara hamna makungwi sahihi kwa ajili ya kuwafundishia ndoa nini?

Bara inaongoza Idadi kubwa ya mauaji ya wanandoa kulinganisha mpaka sasa sijawahi sikia mauaji ya wana ndoa katika pwani ya Tanzania ila kila siku tunasikia mauaji ya wana ndoa katika mikoa ya bara hapa kiufupi mikoa ya bara Kuna ukatili mkubwa mkubwa.

Bara inaongoza kwenye ukatili baina ya wana ndoa hii mikoa fulani fulani katika Kanda ya ziwa inaongoza nafikiri wenyewe mnaijua ILa pwani hauwezi sikia hizi kashfa hata kidogo kiujumla pwani Kuna usawa wa kijinsia.

Idadi kubwa ya wa mama single mother tena Wajane bara inaongoza wanawake wengi kuwa single mother kutokana wa mama wengi kuua waume zao hapa mkoa fulani wa kaskazini nwa Tanzania ni maarufu kwa wanawake toka huko kuuawa waume zao.

Umalaya aisee suala la umalaya hapa ndiyo nisiseme Kuna kabila moja linaongoza kwa wanawake wake kujiuza.
 
Ndoa ni tasisi ngumu sana kuimudu. Inahitaji wote wawili kwenye ndoa wawe tayari kumudu madhaifu ya mwenzake na kuwa na hekima na akili tu iliyojitosheleza. So hakuna unafuu sehemu yoyote duniani ndoa ni ngumu sana aisee. na ukisikia watu wamekaa kwenye ndoa zaidi ya miaka 20 ujue walipitia mambo mengi sana. kinachowasaidia ni heshima na urafiki kati ya wanandoa. so hakuna cha kabila wa nchi fulani sijui wananafuu hakuna labda hujaambiwa mambo yenyewe ya kiuhalisia kwenye ndoa.
 
Ndoa za Huko sijui mnapaita pwani unajifanya hujui kwanini zinadumu?

Fanya hichi .... Zunguka hapo mtaani kwako tafuta familia 10 ambazo wanawake ambao wanjishughulisha unipe majibu....

Unaweza niambia ni kwanini wanawake wa pwani mume akifa hata miez mi3 haiishi anaolewa?

Sitoongea vibaya ila from my experience kutokea ndani kabisa ya Moyo wangu nadiriki kusema wanawake wa pwani na huko viziwani sijui visiwani wanaishi kama kupe mume akifa au akifilisika wanahama nyumba

Shame
 
Mwanamke hakuumbwa kutafuta mkuu ni shidaa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa ni tasisi ngumu sana kuimudu. Inahitaji wote wawili kwenye ndoa wawe tayari kumudu madhaifu ya mwenzake na kuwa na hekima na akili tu iliyojitosheleza. So hakuna unafuu sehemu yoyote duniani ndoa ni ngumu sana aisee. na ukisikia watu wamekaa kwenye ndoa zaidi ya miaka 20 ujue walipitia mambo mengi sana. kinachowasaidia ni heshima na urafiki kati ya wanandoa. so hakuna cha kabila wa nchi fulani sijui wananafuu hakuna labda hujaambiwa mambo yenyewe ya kiuhalisia kwenye ndoa.
Hivi sura nzuri na mwanamke mrembo ina uhusiano na kuwa na tabia nzuri,ili watu labda wakielekeza huko majeshi wanaweza kuwa na ndoa salama...
 
Waja leo, waondoka leo
Sasa ndoa zitadumu vipi

1671839173540.png
 
Back
Top Bottom