ndoa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuchelewa kuoa haimaanishi utaoa mtu sahihi. Vijana fungeni ndoa mapema hata mkishindwana mnaanza upya

    Habari wadau. Vijana wengi wanachelewa sana kufunga ndoa kwa kisingizio cha kusubiri mwenza bora. Ukweli ni kwamba marrying late doesn't guarantee you will marry right. Vijana fungeni ndoa mapema na wenza wenu. Waiting long doesn't guarantee a good marriage
  2. JamiiForums Tanzania Siku hizi wanawake wanatamani ndoa, ila hawaipendi

    Kuna binti hapa mtaani, ni mstaarabu sana. Nimeforce kadri niwezavyo mpaka nimepata mbususu yake iliyododa. Kabla ya kupata penzi lake tulikuwa ni marafiki tulioshibana sana, alikuwa akinishirikisha masuala yake binafsi kisha naangalia namna ya kutatua. Pia nilizungumza naye kuhusu mambo...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Napinga kabisa dhana ya "Mume ni Provider" katika ndoa

    Ndio, napinga!, Ni dhana ya uongo na inakiuka kabisa asili ya maisha ya ndoa! Ndoa ni muunganiko wa mtu mume na mtu mke na kuzaa watoto kisha kuwatunza. Jumuia hii ya familia inahitaji mahitaji mbalimbali ya maisha kwa maendeleo yake. Kuna watu wachache wanaibuka hapa bila hata chembe ya aibu...
  4. JamiiForums Tanzania Shirikisho la Wanaume Wanaopitia Changamoto kwenye Ndoa (SHIWACHANDO). Wajumbe watoa shuhuda

  5. JamiiForums Tanzania Kwenye ndoa watu wanaviziana

    Lile dhumuni halisi la upendo, kuaminiana na kuwa na dhati ya mpaka kuzikana ni wachache sana wenye hiyo mutual intention, ni either mmoja awe anamvizia mwenzie au wote kwa pamoja. Akili na uwezo wote anapeleka kwenye kulinda mali zake such as kuandika majina yake kwenye vitu vyake kuogopa huko...
  6. JamiiForums Tanzania Maumivu ya Usaliti: Safari yangu ya kutafuta amani baada ya miaka 12 ya ndoa

    Ikumbukwe, nimeanzisha nyuzi kadhaa kuhusu mimi na mke wangu mpaka ikafika hatua ya kumwachia nyumba (nyumba niliyojenga kabla ya kumuita na kumtafutia kazi). Uzi upo humu. Hata niliporudi, sikuwa nalala naye, ingawa hamu zilikuwepo. Tulipima, na alijuta, akijua kosa lake. Hata kama alikuwa na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania MC Katokisha atangaza ndoa na baby mama wake, why Vijana waliojipata hawaoi mpaka wazalishe kwanza? Wasiotaka kuzaa kabla ya ndoa wataolewaje?

    Habari wadau. Kwa wapenzi wa wedding industry jina la MC Katokisha sio geni. ni Mc mmojawapo wa class ya juu anaechaji hela nyingi kwenye soko la harusi. Pia MC Katokisha ni msomi mwenye CPA, na degree za kutosha za chuo kikuu cha Dar es salaam na experience ya kutosha ya big four firm, Ernst...
  8. JamiiForums Tanzania Ewe kijana wa kiume wakwe zako wa leo ndio maadui zako wa kesho baada ya ndoa hivyo ishi nao kwa akiri

    Ewe kijana unapoingia katika maisha tambua ya kwamba wakwe zako ndio maadui zako kwani baada ya ndoa na Sterling movie hii ni mke wako sasa naomba unisikilize kwa haya machache 1.wakwe zako wengi huamini nyumbani kwako ndio nyumbani kwao na ndugu zako sio nyumbani hivyo mkeo atatumika kama...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kama umeamua kuwa mchepuko basi zingatia yafuatayo

    .
  10. JamiiForums Tanzania Kalamu inavyoweza kumtuliza mume asiyetulia katika ndoa yake

    Wanawake wanapigana vita vingi. Kutafuta mume ni vita, ukimpata mume bado shida zinabaki palepale, mume hatulii, akipata visenti vyote anamaliza nje na wanawake wa kila aina. Pesa zinapotea, afya ya mume inazorota na hatari ya kupata maradhi inaongezeka. Basi mwanamke usiwe na wasiwasi, leo...
  11. JamiiForums Tanzania Ndoa ni kambi jeshi na mume ndiye mkuu wa kikosi, mume simama katika nafasi yako

    Ukifika jeshi kabla ya kuanza mafunzo kuna ile introduction to Depo, kwenye introduction to Depo mutazungushwa maeneo yote ya kambi , mutapewa miiko na amri zote. Ili baadaye ukikosea ujue kabisa kuwa kosa hili adhabu yake ni ipi. Kuna makosa adhabu yake ni kulimwa guard (kulinda night za...
  12. JamiiForums Tanzania Mahusiano au ndoa zenye majukumu ya kifamilia zimetulia sana

    Mahusiano au ndoa zenye majukumu mazito ya malezi, kwa mfano ya watoto wa3 au zaidi, huwa ziko na furaha, ziko imara na vizuri sana katika kushirikiana na kusaidiana kwa dhati na kwa upendo mkubwa, katika kutimiza msingi wa ndoto za watoto wao, mfano katika kupata haki ya mahitaji yao muhimu...
  13. JamiiForums Tanzania Usije kuoa/kuolewa kwasababu ya mambo haya, sauti inatosha huko nyuma?

    Don't Marry because of SEX Don't Marry because u are getting OLD Don't Marry because u are of AGE Don't Marry because u are LONELY Don't Marry because u need someone to support you FINANCIALLY Don't Marry because u got PREGNANT for him Don't Marry because u don't want to LOSE the PERSON, Don't...
  14. JamiiForums Tanzania Unazingatia Vitu gani kabla ya kuingia kwenye Ndoa?

    Kabla ya kuingia kwenye ndoa kuna zile FACTORS za muhimu kila mtu huwa anazingatia. Kutokana na utofauti wa kimtazamo na fikra kila mtu anakuwa na Criteria zake. Kutokana na uelewa, experience na mtamzamo wako unahisi ni kipi kati ya hivyo ni vya kuzingatia zaidi? 1. ECONOMY STABILITY(UCHUMI)...
  15. JamiiForums Tanzania Wikiendi Njema: Maombi yangu kwa wanawake wote wa JF wawe wenye kutenda haki na kuwa kwenye unyoofu

    BINTI YANGU NJOO NIKUAMBIE HAPA. Mithali 20:7 [7]Mwenye haki aendaye katika unyofu wake, watoto wake wabarikiwa baada yake. Haki katika ndoa yako ambayo Mungu amekupa hakikisha unaishi katika haki, wamama wengi siku hizi hasa hawa mabinti wanajivunia watoto wao wakiwa wazuri wa sura, wakiwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Ndoa zimetengeneza vichaa wengi sana mtaani

    Ukweli ndioo huo kila siku mtaaan watu wanaongeaa peke yao kama wako na famlia unawaza anaongea na nanii..loh
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri: Kumpa hela mama mkwe wako wa zamani ni sawa au niache kabisa kujipendekeza?

    Wakuu nilikuwa na msichana fulani niliyeishi naye miaka takribani mitatu ila bahati mbaya hatukupata baraka za kuwa na watoto na kibaya zaidi tukaja kuachana kwa mambo fulani fulani ambayo sioni haja ya kuanza kuwachosha kuyaelezea. Ila sasa mama yake alikuwa ni mtu mwema kwangu kiasi kwamba...
  18. U

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuondoa Ukatili wa Kijinsia na Ndoa za Utotoni

    UTANGULIZI: Tanzania inatakiwa kuwa na malengo ya kuwa nchi yenye usawa wa kijinsia na kuheshimu haki za binadamu kwa wote. Moja ya changamoto kubwa ni ukatili wa kijinsia na ndoa za utotoni. Kuondoa changamoto hizi ni muhimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Katika miaka ijayo, Tanzania...
  19. JamiiForums Tanzania Usije kuoa kwa kuangalia uzuri wa mwanamke, utajuta sana

    Unaweza kulala kitandani, ukamuona mtoto anang’aa, shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa, au hutamani kwa maudhi anayokupa. Yani utaambulia sifa za watu tu kua mke wako mzuri ila wewe hufaidiki wala huna amani. Yani umelala na mke wako kitanda kimoja, unamtani ila humpati. Kama hujaoa...
  20. JamiiForums Tanzania Maisha ya Ndoa Takatifu: Changamoto na suluhisho katika jamii ya kisasa

    UTANGULIZI. Maisha ya ndoa takatifu yanamaanisha maisha ya ndoa ambayo yanafuata na kuheshimu misingi ya dini, imani, na maadili ya kiroho. Mwanza tuangazie mambo kadhaa muhimu: 1.Uaminifu. Wanandoa wanapaswa kuwa waaminifu kwa kila mmoja katika kila hali. Uaminifu hujenga imani na heshima kati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…