ndoa

  1. Dexta

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ananitesa

    Habari za jumamosi wakuu, nadhani mmeamka poa. Twenzetu moja kwa moja kwenye mada, huyu bi dada ni jirani yangu anaishi na mume wake na watoto wawili pamoja na ndugu zao inshort wanaishi familia kubwa kidogo. Lengo la kuleta huu uzi ni kutaka ushauri maana huyu bi dada tulitokea kuzoeana mpaka...
  2. Corluka Neven

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Dhambi; Nimepata ndoa lakini mtoto wangu akageuka mlemavu!

    Huyu kaka ni jirani yangu, wakati namaliza chuo ndiyo walihamia hapa karibu na kwetu wakiwa na nyumba kubwa kuliko sisi. Mwanzo mke wake alikuwa ni rafiki yangu na katika kuongea niligundua kuwa kumbe wana miaka 7 kwenye ndoa yao lakini hawana mtoto. Nikimuangalia kaka ana kazi nzuri TRA na...
  3. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Sex mpaka ndoa

    Kama tayari ameshampa hamis, sheby bodaboda, frank, Qboy, dj dully, pius, zero iq, devi, jembe, chid, rasta, baba kevi, george, cadabra n.k iweje akuambie wewe sex mpaka ndoa.! No room to that nonsense condition like SEX MPAKA NDOA, the moment she broke her virginity she has lost right to that...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Top ya 5 mikoa iliyongoza kutoa talaka/migogoro kwenye ndoa Tanzania

    1-Dar es salaam. 2-Pwani 3-Morogoro 4-Dodoma 5-Tanga Chanzo :jukwaa la ndoa Tz
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie kataa ndoa huwa mnamaanisha kutokuishi kabisa na mwanamke au mnamaanisha kutofunga ndoa kisheria (harusi )

    Aisee unajua tunaweza kuwa tunabishana kuhusu kataa ndoa sijui kubali ndoa lakini hatujui maana yake vizuri. Ndo maana Nina swali je mnachomaanisha ni hamtaki kabisa kuishi na mwanamke pika pakua au hamtaki tu kufunga ndoa kisheria. Kama ni kutoingia kisheria hata mimi nitawaunga mkono ila je...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Dada wa kazi wanasaidia sana kulinda ndoa za watu hapa mjini else nyingi zingepumua icu

    House girls wote popote mlipo. Naomba niwape heshima zenu, na kwa KONGOLO KUBWAA. Haijalishi mateso na mapito mnayopitia, ila akili zenu kubwa za kutembea na wenye nyumba na kuwasitiri zinasaidia kupunguza talaka hapa mjini. Ni wachache watashindwa kutambua hili, ila binafsi kabla ya kulala...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Case closed: Wahehe na wabena waendelee kupewa maua yao kwa kujitahidi kuwa wavumilivu kwenye ndoa, kujishusha na kulea watoto vizuri

    ukiangalia Mhehe/ Mbena moja moja wapo pasua kichwa lakini ukiangalia kwa jicho la wastani / average wanawake wengi wahehe na wabena wanapoingia kwenye ndoa huwa ni loyal, ride or die, wavumilivu, humheshimu mwanaume kwa hiari, hawana tamaa ya mali, n.k. Nina katabia kabovu sana ka kupenda...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Changamoto ni ipi hasa inayofanya vijana kusita kuoa au kuolewa?

    Sasa hivi watu wengi, wake kwa waume wenye umri wa kati ya miaka 40 na 50 bado hawajaoa wala kuolewa. Na ukiwaangalia ama kuzungumza nao kuhusu kuoa au kuolewa, wanasema wazi wazi kabisa kwamba, jambo hilo bado sio kipaumbele, na haifahamiki kipaumbele kwenye maisha yao nini, mwingine hana...
  9. shibela

    JamiiForums Tanzania Kwa wadogo zangu wazuri! Furahieni kila hatua kwenye maisha yenu

    Kama wewe sio mdangaji na haujaolewa! 1. Ukiona mtu Yuko kwenye ndoa halafu anakupigia kelele unaolewa lini kila siku, jua ndoa Yake ina shida anapitia mazito kwenye hiyo ndoa, anakuonea wivu jinsi unavyo enjoy maisha yako ya ubachela anatamani na wewe uingie mkenge uteseke kama yeye! Akili...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Tabora: BAKWATA wamng’oa sheikh anayedaiwa kufungisha ndoa mara mbili

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Tabora. Katika hali isiyo ya kawaida, Baraza Kuu la Waislamu (Bakwata) katika Kata ya Mtendeni, Manispaa ya Tabora, limeazimia kumuondoa katika nafasi yake, sheikh wa kata hiyo, Bakari Sikonge kwa madai ya kufungisha ndoa mara mbili pamoja...
  11. lugoda12

    JamiiForums Tanzania TAKWIMU ZA NDOA TANZANIA

    Asilimia 51.4 ya watu wenye umri wa miaka 15 na zaidi Tanzania wameoa au kuolewa na asilimia 5.5 wanaishi pamoja. Sensa 2022.
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haraka sana nahitaji Mwanamke wa kwenda nae Kufunga Ndoa ya 'Kibwerere' Mkoani Arusha

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema Serikali itagharamia shughuli zote za harusi, ikiwemo kulipia ukumbi mkoani hapo lengo likiwa ni kuvutia zaidi wageni na watalii kufika Arusha na kuwa chachu ya kukuza uchumi. Makonda amesema masharti ya ndoa hizo ni pamoja na kati ya wawili hao...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Ndoa sijui Ina nini, hata uwe na Phd Lazima ikupelekeshe

    1. Kiufupi, hamna mjanja kwenye ndoa Lazima ikupe za uso. 2. Hii Ni kwa wote uwe na PhD au darasa la 4B, uwe Jaji Mkuu au Mkuu wa Majeshi. Lazima uchechemee kama umekanyaga kinyesi vile. **Nimemkumbuka Mstaafu Zanzibar Komando, mke katoka nduki na penshen. bado imenona. Bashiru nae ndo...
  14. HONEST HATIBU

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani hapa Tanzania unaweza kuoa kwa gharama nafuu

    Habari wakuu Hivi ni mkoa gani hapa Tanzania unaweza oa kwa gharama nafuu Sihitaji mwanamke nahitaji mke Naomba nijuze
  15. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni gereza ila hakikisha usiwe mfungwa

    Mabinti oleweni sehemu zitakazowapa furaha ya maisha usitazame pesa tu kwamba akiwa nazo akuoe basi hakuna shida yoyote. Tambua pesa haiwezi tibu kila kitu ukikosa furaha mahali ulipo ndoa hiyo hugeuka gereza. Vijana wa kiume nanyi msioe wala kuishi kwenye ndoa kwa sababu mwanamke anapika...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Age-mates wangu waliojiingiza kwenye ndoa wamechoka, wanatia huruma. Mimi ambaye bado "napuyanga" naponda raha tu

    Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana. Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri. Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Ukioa kwa kigezo cha wife material, kuna siku utaona aibu hata kutoka naye out

    Mke atakuwa anajibidisha sana kwa kila kitu lkn moyoni atakuwa hayumo kabisa, na hata "moto atakuwa hauwashi". Ataonekana kama mjomba tu. Jamani ndoa Ina raha kama umeoa pisi inayouwehusha moyo ukiitazama. Na hata ukitoka nayo out inakuinulia hadhi na kukufanya ujione wewe ni mwanaume kati ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kwa wanawake waliopo kwenye ndoa kwa kizazi hiki

    1. Usikope bila mumeo kujua. 2. Kaa mbali na ma ex wako wa zamani ambao ulikuwa nao kabla ya ndoa. Futa mawasiliano yao ukiwezekana. 3. Rafiki au mgeni yeyote wa kiume asije nyumbani kwenu na ukaribishe ndani wakati mumeo hayupo.Hata kama ni rafiki wa mumeo. 4. Usiende kwenye nyumba ya...
  19. X

    JamiiForums Tanzania Wanaume tukumbushane tu mambo machache tunapochagua mke wa ndoa

    Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla ya kumfanya mwanamke kuwa mke wako wa ndoa. Kwa leo tuangazie matatu tu kwa kifupi ili tuendele na shughuli za ujenzi wa taifa. Iko hivi, unapotaka kuoa kwanza usijifikirie wewe tu, ni kweli chagua mwanamke ambaye anakuvutia lakini ukumbuke hujichagulii...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakipo sawa hapa!

    Sababu ni ipi? Je, ✓ ni bwana harusi? ✓ au ni bibi harusi? ✓ au ni best friend? ✓ au photographer?
Back
Top Bottom