Kandida inapunguza hamu ya tendo la ndoa

Na mfungo wote huu jamani mnahitaji hamu tu. Yaani saa hizi kila mtu anatakiwa awe amefunga.
 
Kandida inapunguza hamu ya tendo la ndoa
Jamani wanawake au wanaume tuwemakini na haraka kwenda hospitali tunapohisi unadalili za UTI kwa sababu UTI ikiwa sugu usababisha bacteria wa kandida ambao baadae uleta shida ya kutopata hamu ya tendo la ndoa
hilo ni jambo muhimu na la maana sana kuzingatia kiafya 🐒

Kumbuka pia kupiga punyeto kwa muda mrefu kuna punguza hamu ya kujamiiana kupitia mbususu halisi 🐒
 
Kandida inapunguza hamu ya tendo la ndoa
Jamani wanawake au wanaume tuwemakini na haraka kwenda hospitali tunapohisi unadalili za UTI kwa sababu UTI ikiwa sugu usababisha bacteria wa kandida ambao baadae uleta shida ya kutopata hamu ya tendo la ndoa
Wewe kama ulikumbia somo la bailojia usiandike mada kama hizi, unaonekana kituko kati ya vituko, ninecheka saaaana eti bacteria aina ya kandida 😄😃😀😁😆😅🤣😂
Biology ya form one au sayansi ya darasa la sita na saba hukuelewa kabisa ndugu
 
Kandida inapunguza hamu ya tendo la ndoa
Jamani wanawake au wanaume tuwemakini na haraka kwenda hospitali tunapohisi unadalili za UTI kwa sababu UTI ikiwa sugu usababisha bacteria wa kandida ambao baadae uleta shida ya kutopata hamu ya tendo la ndoa
Candida ni fungus na siyo bacteria kama ulivyo dai.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom