Ubinafsi: Gwajima ndege, helkopta mbili wakati waumini wanakaa nje bila jengo

Kamundu

JF-Expert Member
Nov 22, 2006
4,142
2,000
Yaani Kawe CCM imetuletea Mgombea mbinafsi sana. Gwajima nilikutana naye Dallas, Texas kwenye kanisa la Umoja church miaka miwili hivi imepita.

Alikuja US kununua ndege binafsi na kuuza vitabu. Alituambia tayari ana helkopta mbili sasa cha kushangaza ndege ya nini kwa kutumia pesa za sadaka wakati hata kanisa halijajengwa.

Gwajima ni mbinafsi na anajali mtu mmoja tu Gwajima. Hata kuombea ni kunufaisha kujikweza zaidi ya kusaidia watu!. Mimi binafsi nampenda kama mfanyabiashara lakini sio mwakilishi.

Yaani alikuwa anawaambia watu pale ukitaka kupata watu fanya maajabu! Yeye anawaambia watu wake anauwezo wa kufufua wafu ambao wapo mochwari kitu ambacho hakuna ushahidi hata kanisa analiita kanisa la kufufua!

Uongo mtupu! Hakuna rekodi yeyote ya serikali ambayo mtu ambaye tayari ameshakufa kwa siku kadhaa kufufuliwa tena na Gwajima lakini bado mnataka eti tumchague kwasababu tu ya Magufuli wakati Magufuli yupo kwenye muhula wa mwisho. Isitoshe hata CCM wenyewe hawakumpigia kura kalazimishwa kikabila tu bila Magufuli asingekuwepo.
 

mnengene

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
2,225
2,000
Kawafanya waumini wake ni fursa kwake wajinga ndio waliwao ila huyu jamaa ni tapeli
 

kamjabari

JF-Expert Member
Mar 20, 2017
581
1,000
Kwanza tuanze kuhoji hivi hesabu ya sadaka inawekwa hadhalani kilamtu anajuwa anafanyan kitu gani???
 

mnengene

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
2,225
2,000
Wafuas wa chadema ccm na Gwajima hawana tofaut na Mbuzi sababu wote ni kondoo wanao danganywa
[/QUOTE naunga mkono kabisa yaani mimi nianze kuwa mwanachama sijui wa chama cha siasa naona kama wehu flani
 

REALNEGRONEVABROKE

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
3,202
2,000
Gwajiboy mzee wa viuno, Mrembo wa kawe.

Dah! dada' etu Halima a.k.a sauti ya 'zege' huyu mtu anayefufua misukule (gwajiuno) utamfanya afunge 'kanisa' mwaka huu.
 

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
9,491
2,000
Ulitakiwa uyaseme haya miaka miwili iliyopita sema tu kipindi mlikuwa mrengo mmoja huna nafasi ya kumkosoa!
 

Nktlogistics

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
2,282
2,000
Gwajima hajawahi kuwa mchungaji tangu ulimwengi uumbwe .
Yeye Ni muongeaji waa mambo ya kiimani tu.
 

Eng. Zezudu

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
3,915
2,000
Me nadhani auze izo ndege na helkopta akatengeneze mitaro kawe nadhani hata bible inataka ivi. Na kwa kuwa anapokea mshara wa ubunge . Nadhani mshahara wote autumie kuwagawia maskini Mana , neno linasema mtumishi atakula vya madhabahuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
8,059
2,000
Mkuu mtoa mada.hapa dunian tumeletwa kupambana..kila mtu ana njia zake.wew umeamua kusoma na kuwa na profession flan ikupe ujuzi na ugal wa kila siku.

Gwaj boy yeye kaamua kuwa tapel kwa kutumia kitab cha mungu...so ni njia yake ya kupata ugali...usilaumu mkuu.laumu wanaomchangia sadaka kila siku na waliomchagua
 

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
22,669
2,000
Swali: kuna mtu anashikiwa bunduki kutoa sadaka? Kama mnamtindio wa ubongo kushindwa kujua mnatapeliwa basicacha aendelee kuwapiga pesa, shenz kabisa
 

jacob bruno

Member
Sep 29, 2020
9
45
Mkuu mtoa mada.hapa dunian tumeletwa kupambana..kila mtu ana njia zake.wew umeamua kusoma na kuwa na profession flan ikupe ujuzi na ugal wa kila siku.

Gwaj boy yeye kaamua kuwa tapel kwa kutumia kitab cha mungu...so ni njia yake ya kupata ugali...usilaumu mkuu.laumu wanaomchangia sadaka kila siku na waliomchagua
Nikweli kila nafsi itasukumiwa inakotaka kwenda kwahiyo gwajima kapenda kitukingine kinachoitwa siasa ndio maana kapata na atalipwa kutokana na hilo alilolipenda.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom