ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania ATCL na hofu ya kupigwa oda ya ndege mpya nne za kisasa

    === Tanzania tayari tuna ndege mpya 11 za kisasa zinazoifanya ATCL kuwa mshindani wa Rwanda Airlines,Ethiopia Airline na Kenya Airways katika biashara ya Usafiri na usafirishaji wa anga Africa. Pamoja na kwamba kimahesabu ATCL inaonekana kutengeneza hasara lakini indirectly ATCL inafaida kubwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kweli Tanzania kutumia shilingi trilioni 1.7 kununua ndege?

    Someni hii:
  3. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Serikali isitishe ununuzi wa ndege mpya kwa sasa

    Kutokana na janga la korona, uendeshaji wa ndege ni kati ya biashara ngumu sana ulimwengni kwa sasa kwani mashirika mengi tena yenye nguvu yamekuwa yakipata hasara ya mabilioni ya Pesa Kutokana na hii changamoto, nafikiri ni wakati sasa wa Bunge kuishauri serikali isitishe maramoja ununuzi wa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tulilalamika ununuzi wa ndege nje ya bajeti, Soko la Kariakoo litajengwa kwa bajeti iliyopitishwa Bungeni?

    Naomba wanaojua Kama fedha za kujenga soko jipya Kariakoo zipo kwenye bajeti au zimetoka kwa Mhe Rais. Kama zinatoka kwa Rais je yeye anazitoa wapi? Au tunaendelea kuwa taasisi inayopanga namna kinyume na Bunge Kama ilivyokuwa awamu ya Tano? Auditing yake itakuwaje? Value for money itapimwaje?
  5. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Jinsi Injini ya Ndege aina ya Jet inavyofanya kazi

    Bila shaka umewahi kujiuliza 'injini ya ndege za abiria inafanyaje kazi? Na huenda hukupata majibu! Ukiendelea kusoma,utapata jibu la swali hilo, Kwanza, hebu tuone sehemu za injini ya ndege. Zifuatazo ni sehemu kuu tano za injini ya ndege (Jet Engine) 1.Air inlet Hii ni sehemu ya mbele kabisa...
  6. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Kwa wasiojua, Simba bado itapanda ndege: ipo CAF confederation cup kule kina Azam na Biashara wametolewa

    Hili niliseme maana naona wengi wanafatilia mpira lakini hawalijui. Mnyama Simba bado atapanda ndege. Amepelekwa kwenye CAF confederation cup yaani shirikisho kule ambako kina Azam na Biashara wametolewa. Ukiwa mkubwa ni mkubwa tu. Maana watu wanaumia na kwa wale mashabiki wenzangu na mi...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Ndege nyingine 5 kufika kabla ya mwaka 2023, zimelipiwa keshi

    Namsikiliza Gerson Msigwa katika kipindi cha the Big Agenda anasema serikali imetoa order ya kutengenezewa ndege nyingine tano ambapo zote zitakuwa zimewasili kabla ya mwaka 2023. Ameongeza kwa kusema zimelipiwa kabisa. My take. Hii nchi aliyeturoga kafa. Tuna midege tuliinunua haijawahi...
  8. Ngamanya Kitangalala

    JamiiForums Tanzania Ndege kwa matumizi ya Rais wetu

    Mwaka 2004, kulizuka mjadala mkubwa sana miongoni mwa wananchi, baada ya Serikali ya awamu ya tatu, chini ya hayati Rais Benjamin William Mkapa, kufanya maamuzi ya kununua ndege maalumu kwa ajili ya matumizi ya Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, kwa safari za ndani na nje ya nchi...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tujuzane Ishara za 'Kiuchawi' na "Kiuchuro' kutoka kwa Wanyama, Wadudu na Ndege kwa Binadamu (Mwanadamu)

    1. Nyumba unayokaa kama unafuga Njiwa na ukiwa Unauguza Mgonjwa ndani ukiona Njiwa Wote wanaondoka anza kuweka Oda ya Jeneza kwa Mgonjwa wako kwani utake usitake atakufa tu. 2. Nyumba unayoishi kama unafuga Mbwa kuanzia Saa 5 Usiku na Saa 11 Alfajiri ukisikia wanabweka sana jua Wachawi...
  10. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Mashirika Mengi ya ndege Afrika yanapata hasara - ushauri wako ni upi?

    Binafsi najua kwamba kuna chnagamoto ya Korona ila hata kabla ya hapo bado changamoto zilikuwepo. Tuyashauri mashirika ya ndege likiwemo la kwetu hapa nyumbani Ushauri wangu; 1. Natamani mashirika ya ndege kwanza yajenge imani Nyumbani. Namaanishe Yafanye kazi kwenye route zenye uhakika na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Bilionea mwingine afariki kwenye ajali ya ndege Marekani

    Mzuka wanajamvi! Hizi ajali za ndege binafsi na Helicopter zinaua sana matajiri sasa hivi. Ajali mbaya ya ndege binafsi The single-engine Cessna P210N ilianguka DeKalb-Peachtree Airport Atlanta Georgia mda mfupi baada ya kupaaa. The plane 'was taking off, went straight up, and it took a...
  12. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Tugeuze uwanja wa ndege Chato kuwa Chuo cha Urubani

    Wengi tunafahamu kuwa kujenga uwanja wa ndege Chato lilikuwa ni jambo la ajabu kiuchumi na ukanda mbaya sana. Jambo lisilopaswa kutokea tena. Lakini uwanja ule tusiuache uoze, ni pesa nyingi zimetumika. Napendekeza tuufanye kuwa chuo cha urubani. Serikali na watu binafsi wajenge shule za...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Zile ndege mpya ni mali ya Zanzibar - Kilichotokea ni kiini macho

    Zanzibar ilikuwa ianzishe shirika lake la ndege na fununu ilikuwa liwe tayari limeanza safari za Arusha Zanzibar na Zanzibar China,kilichotokea hakijulikani mpaka Machogo wakaziteka na kuwaacha wapemba wakishangilia hewa. Ungejiuliza kwa nini zile Ndege zimepokelewa Zanzibar ? Na sio Daresalamu ?
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania tena Kimataifa! Shirika la Ndege la Kimataifa la Uswisi lazindua safari zake kuja Tanzania

    Hii ni moja ya sababu iliyonifanya niipende Serikali ya Awamu ya Sita! Hawana kelele sana wala propaganda ni vitendo tu na matokeo yanaonekana. Baada ya Serikali iliyopita kudharau Sera ya Mambo ya nje jambo lililopelekea Tanzania kutofaidika na Sera Bora ya Mambo ya Nje, Sasa Mabadiliko ya...
  15. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania Hii kesi ya ugaidi inatumika kupiga ndege wawili kwa jiwe moja, ila mmoja ndiyo analengwa zaidi

    Hii kesi ya ugaidi inatumika kupiga ndege wawili kwa jiwe moja, ila mmoja ndiyo analengwa zaidi, kwa bahati mbaya mshika manati ndiyo anapoteza zaidi. Nakumbuka miaka ya 2000 kuja 2005 ilikuwa ukipita mitaani chama kilichokuwa kwenye headlines ni CCM. Ndicho chama kilichokuwa kinatrend sana...
  16. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa suala la ndege ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ya Tanzania Bara kupokelewa Zanzibar

    NAOMBA KUELEWESHWA SUALA LA NDEGE YA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI YA TANZANIA BARA KUPOKELEWA ZANZIBAR. ZAA = Zanzibar TAA = Tanzania BARA Naomba kueleweshwa kwa Uhuru wa mawazo "the right to express my opinion under Article 18 of the Constitution of Tanzania of 1977" kuanzia zamani hakuna pa...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Ndege mpya mbili kupokelewa Jumatatu tarehe 11/10/2021

    Ndege mpya mbili zitapokelewa Ijumaa ya tarehe 8/10/2021. Ndege hizo zitapokelewa katika uwanja wa ndege wa Amani Zanzibar. Tujikumbushe mambo ya Muungano. Ukurasa wa 218 na 219 wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977, unataja Mambo ya Muungano ambayo ni:-. 01. Katiba ya Tanzania...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Ndege mbili za Airbus kupokelewa siku ya Ijumaa, Uwanja wa Abeid Aman Karume Zanzibar

    Naam, kumekucha tena siku ya ijumaa mchana tarehe 08 Oktoba, 2021 katika uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume kutapokelewa ndege mbili za Airbus aina ya 220 - 300. Ndege hizo zitapokelewa na Dr. Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Itoshe kusema ATCL inaendelea kupata...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Swali Kwa Wataalam wa ndege (birds)

    Naomba kujuzwa ni kitu gani hasa kinachomuongoza ndege kuchagua mwenzi wake anayemfaa? Maana huwa napendezwa sana ninapowaona ndege dume na jike wakishirikiana kwa utaratibu na wororo mzuri sana!
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi uwanja wa ndege wa (JNIA)

    Leo tarehe 4Oktoba, 2021saa 11.15 Asubuhi nilisindikiza mtu Uwanjani anaenda Dodoma na Air Tanzania ya saa 12 Asubuhi. Watu walikuwa kwenye foleni ya kuingia, kuna Muhindi mmoja alivaa pensi na fulana nyekundu, mwenzie alishaingia yeye ni msindikizaji, nadhani kuna kitu alisahau kumwambia...
Back
Top Bottom