ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama CCM Itamsimamisha Rais Samia 2025, Mnaonaje Freeman Mbowe Awe Mgombea wa Upinzani? Atapiga Ndege 3 kwa Jiwe Moja, Atavuna Wabunge Wengi ila...

    Wanabodi! Japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa na sio Chadema, ila mimi ni political advisor mzuri tuu, nimeisha wahi kuwa hired kuwa a political advisor wa taasisi mbalimbali kubwa tuu za kitaifa na kimataifa ambaye kwa sasa naendesha kipindi kiitwacho KMT kinachorushwa na Kituo cha...
  2. JamiiForums Tanzania Yaani uchangiwe na Maadui wa Kaunda, Chamazi, Kiomboi na Mlaji wa Ndege Mwenyewe halafu Unyanyue Kwapa Kisiwani?

    Nani aliyewadanganya kuwa hawa Watajwa wote walirejea Tanzania Bara? Wameshirikiana sana Kiutamaduni. ,,.,,.....,,..... ..... .,,.. oni ambaye hakika alishindwa Kufurukuta leo Ziarani Unguja na kuwa Mkali kama ilivyo Asili yake.
  3. JamiiForums Tanzania Uingereza na Marekani wametuma ndege za kivita kupambana na kundi Hauthi la Yemeni

    Katika maeneo lisilofahamika, zinaonekana Jet fighters za Uingereza na Marekani zikirushwa kuelekea eneo ambalo kundi la kigaidi la Hauthi kutokea Yemen lilikoweka kambi. Kundi la Hauthi limeleta kashi kashi katika Mwambao wa bahari ya Sham (Red Sea) na kupelekea Meli zinazokatiza bahari hiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Hatimaye Siri za ATCL zaanza kuvuja, ni kuhusu ndege ya Bombardier

    Hebu jisomee mwenyewe huu utetezi duni. ======== Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imekanusha taarifa zilizoandikwa mitandaoni kwamba iliuziwa ndege hii ya Q300 Bombardier ikiwa tayari ‘imechoka’ ikiwa pia ni Ndege ya zamani ambayo ilishakosa vigezo vya kuendelea kuruka. Baada ya kuandikwa...
  5. JamiiForums Tanzania Baba levo atabiri ajali ya ndege 2024

    Babalevo a.k.a B-levo Ba, a.k.a Fundi Majumba amekuja na utabiri wa ajali ya ndege 2024
  6. K

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania fanyeni marekebisho ya ndege zenu

    Tarehe 30-12-2023 nimepanda ndege yenu iliyokuwa inatoka Dar es Salaam kwenda Guangzhou iliyopewa ruti namba TC 402. Button za viti ambazo utumika kuweka kiti kwa mkao anaoutaka mtumiaji nyingi zimeharibika.Hili linapelekea msafiri kutokuwa na uwezo wa kuweka kiti atakavyo na kupelekea kero...
  7. JamiiForums Tanzania Boeing yaagiza Mashirika yaliyonunua Ndege za toleo la "MAX" kufanya ukaguzi wa Mfumo wa Rudder

    Kampuni ya kuunda Ndege za Boeing imehimiza mashirika ya ndege duniani kufanya ukaguzi wa ndege za 737 Max kutafuta "Bolt inayowezekana kuwa imelegea" katika mfumo wa udhibiti wa rudda, tatizo jipya la ubora linaloathiri ndege inayouza zaidi ya mtengenezaji huyo. Kampuni hiyo iliagiza ukaguzi...
  8. JamiiForums Tanzania Algeria yazuia Ndege ya Marekani inayosafirisha Silaha kwenda Israel kutoka anga yao

    Algeria prevents a US aircraft carrying weapons to israel from flying over their space Kwa msaada wa google: Algeria yazuia ndege ya Marekani iliyobeba silaha kuelekea israel kuruka juu ya anga yao. Safi sana الجزاير/Algeria💪🏽❤1🇩🇿
  9. JamiiForums Tanzania Ukraine yadai kudungua ndege za kivita za Urusi

    Jeshi la Ukraine linasema kuwa lilidungua ndege tatu za kivita za Urusi kusini mwa nchi hiyo siku ya Ijumaa. Ndege tatu za kivita aina ya Su-34 zilidunguliwa katika eneo la Kherson, jeshi la wanahewa la Ukraine lilitangaza. Rais Volodymr Zelensky aliwashukuru wanajeshi walioangusha ndege hizo...
  10. JamiiForums Tanzania Akili gani hii ya Kiafrika! Viwanja vya ndege vimefungwa na mashirika ya meli kubadili njia. Kenya na Malawi wanawaza kupeleka vibarua Israel

    Ikiwa ni mwezi wa tatu wa vita kati ya wapalestina na Israel bado vita vikali vinapiganwa katika ya jiji la Gaza na makombora kurushwa na kudondoka Tel Avivi la karibuni likiwa lile la jana. Hali hiyo imelazimisha viwanja vyote vya Israel kutokuwa salama kwa safari za anga kupelekea wafanyakazi...
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Umeme wakatika nchi nzima na kuacha abiria kwenye uwanja wa ndege wa JKIA wamekwama

    Wakati Tanzania ikishuhudia mgao wa umeme maeneo mengi ya nchi, huko Kenya hali ya upatikanaji wa umeme pia imekuwa kizingimkuti. Jana tarehe 10/12/2023 umeme ulikatika nchi nzima na kuathiri shughuri za uwanja wa Ndege wa JKIA, huku backup jenereta pia zikishindwa kuwaka hali iliopelekea giza...
  12. JamiiForums Tanzania Kumbe hivi sasa Wanaotudai Waafrika hawakamati tena Ndege zetu, bali wanakamata Viongozi hadi Madeni yalipwe?

    Na ili Kutuzuga zaidi Waafrika anatafutwa Mtu kisha anazusha Jambo fulani la taharuki hasa la Ugonjwa au Kifo ili Waafrika tuweke huko Akili zetu na tusijue kuwa kutokana na nchi za Afrika kudaiwa mno na Wazungu Wanaotudai sasa hata Viongozi wetu Waandamizi nao wakienda Ulaya Wanakamatwa mpaka...
  13. JamiiForums Tanzania Hamas yapiga uwanja wa ndege wa Ben Gurion uliopo Tel aviv

    Hapo jana Hamas ilirusha mvua ya makombora kutokea Gaza kuulenga uwanja wa kimataifa wa Ben Gurion na kuasababisha taharuki kubwa. Taarifa ya kijeshi ya Israel imesema Iron Dome zilifanya kazi kubwa ya kuyadaka makombora hayo hata hivyo yalitua uwanjani hapo na ndege za abiria ama kupigwa au...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro ili kuelekea Katesh Wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tarehe 7 Desemba, 2023 tayari kuelekea Katesh wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko makubwa.
  15. JamiiForums Tanzania Ndege ya Air Tanzania iliyotokea KIA kupitia Zanzibar asubuhi tarehe 7/12/2023 tairi la nyuma limekwisha, libadilishwe!

    WAHUSIKA WASOME UJUMBE HUU HARAKA! Ndege ya air Tanzania iliyotokea Kilimanjaro International Airport kupitia Zanzibar asubuhi tarehe 7/12/2023 tairi la nyuma limekwisha libadilishwe!
  16. JamiiForums Tanzania Picha: Wazungu washindwa kuchomoa ndege iliyotua majini. Sisi tulivuta kwa kamba maisha yakaendelea

    Dege la kivita limetua majini nchini Marekani toka Novemba 20, wiki mbili sasa. Ni baada ya rubani kupitiliza runway ya uwanja kama Precision ya Bukoba Sasa wanasema wanahitaji mamilioni ya dollar kuichomoa, na ukisoma hiyo article bado wanajadili njia muafaka ni ipi Sisi tulivuta kwa kamba...
  17. JamiiForums Tanzania Nilijua ajali ya ndege imetupa funzo la kuwekeza kwenye utayari wa kupambana na majanga

    Huko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo. Chama tawala kinanunua mashangingi na kuyatawanya kwa Makatibu wake kwenye wilaya zaidi ya mia ishirini! Mawaziri wananunuliwa V8 kila mwaka, V8 mpya Tsh. Mil. 500...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali Kuendelea Kuboresha Miundombinu ya Viwanja vya Ndege Nchini

    Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kujenga na kupanua Miundombinu ya Viwanja vya Ndege ili kujihakikishia utoaji wa huduma ndani ya nchi na nchi Jirani Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo...
  19. JamiiForums Tanzania Ndege mbili zaanguka Hifadhi ya Mikumi

    Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limethibitisha kutokea kwa ajali mbili za Ndege (muda tofauti) leo katika uwanja wa Ndege wa Kikoboga uliopo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi ambapo zaidi ya Watu 60 kwenye Ndege zote mbili wamenusurika. TANAPA imesema Ndege ya kwanza ya Unity...
  20. 5

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kampuni bora ya kusafirisha mizigo kutoka china kuja Tanzania Kwa ndege (zinazosafirisha simu)

    Wakuu naomba msaada wa kampuni Bora inayosafirisha simu za viswaswadu na smart phones Kwa haraka kuja Tanzania Kwa haraka Kwa njia zote mbili ndege na meli angalau mwezi mmoja niwe nimepokea mzigo. Kuna kampuni Zina ahadi hewa Hadi inaboa, tumia uzoefu wako. Itapendeza ukiambatanisha na gharama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…