Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nikiwa na umri mdogo nilihudhuria pale katika uwanja wa ndege wa kimataifa jijini Dar es salaam, kumuaga mzee wetu mzee Ally Hassan Mwinyi ambae alikuwa anaondoka kuelekea Zanzibar, baada ya utawala wake wa miaka 10...
Abiria 122 wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), wamenusurika kifo wakiwa safarini baada ya ndege waliokuwa wamepanda kupata hitilafu kwenye moja ya injini zake.
Ilikuwa Jumamosi Februari 24, 2024, ndege ya ATCL Airbus A220-300 iliyoruka kutoka Dar es Salaam kwenda Mbeya iliponusurika kushika...
Usiku wa jana mida ya saa moja kuelekea saa mbili niliona ndege 12 zikiwa zinaenda taratibu sana kwa mwendo wa Pole zikipita kwenye anga la nyumbani kwangu Bahari Beach.
Mara ya kwanza nilidhania ni vimondo, ila nikasema hapana, nikadhania sasa haya ndio mambo ya UFO yenyewe, lakini baadaye...
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameelekeza mamlaka wa viwanja vya ndege Tanzania (TAA) kuvunja mkataba na Mkandarasi anayejenga jengo la abiria la kiwanja cha ndege cha Ruvuma kutoka na Mkandarasi huyo kushindwa kukamilisha jengo hilo kwa wakati.
Naibu Waziri David Mwakiposa Kihenzile...
Habari,
Bila kupoteza muda niseme tu kwamba binafsi kama mtanzania, nakerwa na kuchukizwa sana na picha halisi ya Twiga iliyopo katika mkia wa ndege katika kila ndege ya Shirika la ndege la Tanzania ATCL.
Sipendezwi na uamuzi huo wa kuweka picha halisi ya mnyama (Twiga) isiyokuwa na ubunifu...
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Tabora leo kushiriki mazishi ya Mzee Hassan Mohammed Wakasuvi.
Nimeona Daktari ametimba mjini Tabora na ndege ya Serikali. Swali langu ni: Je, ni sahihi ndege ya serikali kutumika kwa kazi za kichama?
Jamani ndege kama hii BOEING 737-9 max ni ndege ya gharama sana achana na ununuzi wake tu bali hata maintenance pia.
Inasikitisha kuona Rais anatumia ndege hii yenye gharama kiasi hiki huku ndege ya Rais ikiwepo bado.
Sitashangaa ikipata hitilafu tukaitelekeza mahali kwa sababu matumizi yake...
Ndege kubwa ya abiria ya C919 ya China hivi karibuni iliwasili nchini Singapore ili kushiriki kwenye Maonyesho ya Ndege ya Singapore ya mwaka 2024 yanayofanyika siku hizi. Hii ni mara ya kwanza kwa ndege kubwa aina ya C919 ya COMAC inayozalishwa nchini kuonekana nje ya nchi. Hali hii inaonesha...
Kuna kitu humu mbeleni anataka kukifanya USA kwenye usafiri wa anga
Shirika la anga la NASA limezindua ndege aina ya supersonic engine X59 na ni ya, abiria
Hii ndege Ina speed zaidi ya sauti.
Ni maboresho ya ndege aina ya Concorde zilizokuwa zinatumika huko nyuma.
Hii ndege Ina uwezo mkubwa...
Katika muendelezo wa serikali ya Houthi ya Yemeni kuiunga mkono Palestine na kujibu mashambulizi ya USA na Uingereza,Leo usiku imeendeleza mashambulizi yake dhidi ya meli ya Uingereza kw akuipiga makombora na kutungua ndege vita ya USA aina ya MQ9. The average unit cost of an MQ-9 is estimated...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imewashutumu Rwanda kwa kufanya shambulio la ndege isiyokuwa na rubani lililosababisha uharibifu wa ndege ya raia kwenye uwanja wa ndege katika mji muhimu wa mashariki wa Goma, ambao ni mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini.
Mapigano yamezuka katika siku za hivi...
Ni hapo hapo Chato. Aliwajengea uwanja wa ndege ambazo hata nauli hawana, bado wanatumia punda. Pia baada ya kuwajengea uwanja huo, watoto wa wana chato wanaknya vichakani.
Kalemani atupishe, tangu JPM aondoke,hakuna alilofanya
Bunge la Tanzania limeazimia kuwa Serikali iangalie umuhimu wa kununua ndege nyingine mpya kwa ajili ya kuwahudumia viongozi wakuu wa kitaifa.
Taarifa hiyo imetolewa leo Februari 13, 2024 na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Joseph Mhagama, ambaye ameeleza...
Watu na pesa zao, yaani wana kitu kimoja kinacho wapa pesa lakini kimewapa zaidi ya vitu vingi duniani.
Miaka ya nyuma Saudi Arabia alimuwekea vikwazo Qatar ila mwisho wa siku kapandisha ndege ng'ombe!
Mwenye kisa hiki tuelezeni.
Sasa kuna kampeni ya kupata vazi la taifa. Kwa ajili ya utalii na utamaduni tunatakiwa kupata vingi vya taifa. Mti, ndege, ua, mdudu, samaki nk nk.
1. Napendekeza siafu awe mdudu wa taifa
2. Secretary bird awe ndege wa taifa.
Sina mambo Mengi sana ipo hivi nataka mshirika aliye serious tufanye ushirikiano wa kula hela japo ndogondogo kila siku formula hii hapa yeye Atachagua team moja ya GG Na Mimi nitachagua yangu moja kisha tutazicombine na angalau zikitoa maximum odds ya 3 basi tunaweka mzigo wa 20000 yeye 10000...
Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni jijini Dodoma, Mhe. Martha Nehemia Gwau aliuliza swali lililojibiwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile na kusema kuwa Serikali iko mbioni kujenga uwanja wa ndege wa daraja 2C
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia...
Akiwa Mwanza tarehe 30.1.2023 Rais na Amiri Jeshi Mkuu katoa maelekezo ya wazi ya kujenga jengo la abiria uwanja wa ndege na majokofu ya kuhifadhia samaki, nyama nk
Je, watendaji wakiwemo wakurugenzi, katibu mkuu na waziri wa uchukuzi Mbarawa hawatamwangusha Rais na kumchafua kanda ya ziwa...
Wanakumbi.
Kumekucha tena bahari nyekundu imechafuka Wayemeni wanapambana na Magaidi Marekani na Uingereza safi sana.
Biden, anaomba msaada China kupambana na Yemen anaulizwa kwa wao wanapigana sababu gani anasema tu hawa ni magaidi China kamwambia basi endelea na vita.
Yule Muhindi wa...