Injini ya Airbus ya Air Tanzania ilipata hitilafu ikiwa angani Februari 24, 2024

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,441
8,261
Screenshot_2024-02-28-23-07-14-584_com.instagram.android-edit.jpg

Abiria 122 wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), wamenusurika kifo wakiwa safarini baada ya ndege waliokuwa wamepanda kupata hitilafu kwenye moja ya injini zake.

Ilikuwa Jumamosi Februari 24, 2024, ndege ya ATCL Airbus A220-300 iliyoruka kutoka Dar es Salaam kwenda Mbeya iliponusurika kushika moto baada ya moja ya injini kupata hitilafu na kuanza kutoa moshi.

ATCL imesema tukio hilo limetokea dakika 25 baada ya ndege kuruka na kwamba, marubani na wahudumu walidhibiti hali hiyo na ndege kurejea na kutua salama jijini Dar es Salaam.

Abiria aliyekuwa ndani ya ndege hiyo aliyeomba jina lake lisitajwe, amesema baada ya kuruka umbali wa futi anazokadiria kuwa 12,000 walianza kuhisi harufu ya kitu kinachoungua.

MWANANCHI
 
TOKA MAKTABA:

23 NOVEMBER 2022

Suala ya engine limekuwa sugu tangu November 2022

by Kelvin Mwanasoko

Air Tanzania A220 Fleet Grounded Due to Engine Problems – An Expected Ordeal?​

Passengeres disembark from an Air Tanzania Airbus A220

LONDON – Air Tanzania has been marred with mismanagement since its heyday. Is it now catching up? Or is it a series of unfortunate events which led to the grounding of their modern Airbus A220 fleet?

The Tanzanian flag carrier, Air Tanzania is the latest carrier to succumb to A220s problems, which forced the airline to ground the aircraft type indefinitely due to a technical problem with its engines. The problem, however, traces back as far as the year 2014.

Air Tanzania has made a statement on its Pratt & Whitney engines: “Due to the worldwide technical challenges of the PW1524G-3 engines used in Airbus A220-300 aircraft and in accordance with safety requirements, we have been following professional guidelines to provide the best and safe service. And sometimes we take the planes out.”
 
View attachment 2919531
Abiria 122 wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), wamenusurika kifo wakiwa safarini baada ya ndege waliokuwa wamepanda kupata hitilafu kwenye moja ya injini zake.

Ilikuwa Jumamosi Februari 24, 2024, ndege ya ATCL Airbus A220-300 iliyoruka kutoka Dar es Salaam kwenda Mbeya iliponusurika kushika moto baada ya moja ya injini kupata hitilafu na kuanza kutoa moshi.

ATCL imesema tukio hilo limetokea dakika 25 baada ya ndege kuruka na kwamba, marubani na wahudumu walidhibiti hali hiyo na ndege kurejea na kutua salama jijini Dar es Salaam.

Abiria aliyekuwa ndani ya ndege hiyo aliyeomba jina lake lisitajwe, amesema baada ya kuruka umbali wa futi anazokadiria kuwa 12,000 walianza kuhisi harufu ya kitu kinachoungua.

MWANANCHI
Hawa si waliambiwa wazirudishe hizo ndege kiwandani wakakaza fuvu?
 
Napendekeza
Waipe private sector hisa 49% tofauti na hapo zinaweza kuishia hivi hivi tukabaki na madeni tu ya kulipa....
ie: Waliona Fast Jet inawamalizia abiria; Fast jet ikaondolewa na hadi sasa hawajawapata hao abiria...Sooooo Sad!!!
 
Mbona wanafichaficha?...huli jambo hata huko kwa wazungu linatokea lakini hawareport kipumbavu hivi....bongo kuna upuuzi mwingi sana...NHIF mpooo
 
View attachment 2919531
Abiria 122 wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), wamenusurika kifo wakiwa safarini baada ya ndege waliokuwa wamepanda kupata hitilafu kwenye moja ya injini zake.

Ilikuwa Jumamosi Februari 24, 2024, ndege ya ATCL Airbus A220-300 iliyoruka kutoka Dar es Salaam kwenda Mbeya iliponusurika kushika moto baada ya moja ya injini kupata hitilafu na kuanza kutoa moshi.

ATCL imesema tukio hilo limetokea dakika 25 baada ya ndege kuruka na kwamba, marubani na wahudumu walidhibiti hali hiyo na ndege kurejea na kutua salama jijini Dar es Salaam.

Abiria aliyekuwa ndani ya ndege hiyo aliyeomba jina lake lisitajwe, amesema baada ya kuruka umbali wa futi anazokadiria kuwa 12,000 walianza kuhisi harufu ya kitu kinachoungua.

MWANANCHI
kikubwa dege letu si lina insurance cover?
 
29 February 2024
Habari za kina

CEO wa ATCL engineer Ladislaus
Matindi anaongea na waandishi wa habari kuhusu mruko wa ndege / flight kwenda Songwe International Airport

CEO WA ATCL MHANDISI LADISLAUS MATINDI - "NI UONGO - KULIKUWA na MOSHI TU SIYO MOTO ''...

View: https://m.youtube.com/watch?v=AqBEFV7FAHo

Mkurugenzi Mtendaji wa #ATCL Mhandisi Ladislaus Matindi" saa 12 asubuhi moshi ulionekana ndani ya ndege. Injini moja kupata joto sana na kunakuwa na mafuta mengi sana hivyo kusababisha moshi ulioingia katika mfumo wa kusambaza hewa ndani ya ndege kitu kilichosababisha abiria kuona moshi lakini injini haikuwa inawaka moto

Rubani aliizima injini iliyo sababisha moshi angani huku injini ya pili ambayo haikuathirika ikaendelea kutumika, na kutumia dakika 25 angani kurejea mjini Dar es Salaam kutokana na uamuzi wa rubani kiongozi yaani kapteni. Ndege hiyo inauwezo wa kuendelea na safari ikitumia injini moja kwa usalama kabisa

Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL mhandisi Ladislaus Matindi awalaumu waandishi wa habari kwa kueneza taarifa zisizo sahihi kuhusu safari hiyo ya abiria 122 ..

Kampuni iliyotengeneza injini za Pratt & Whitney engines zinazotumiwa na ndege ya ATCL modeli ya airbus A220-300 watapewa taarifa ili kushirikiana na wahandisi wa ATCL kuona tatizo la moshi linatatuliwa maana kuna warranty/ guarantee kutoka kwa mafundi kushughulikia tatizo likitokea katika kipindi cha waranti / guarantee ambayo injini hiyo inayo.
 
Back
Top Bottom