nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Israeli wapiga maslahi na makundi ya Iran nchini Syria

    Israel huwa hawakawii kulipua kila wakipata sababu. Suspected Israeli airstrikes reportedly occur in Damascus, Syria, early May 29. Suspected Israeli airstrikes have reportedly occurred at several locations in Damascus early May 29. There were no immediate reports of casualties or material...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upendeleo wa wazi kwa Yanga si mzuri kwa tasnia ya mchezo wa soka nchini

    Nachukua nafasi hii kuwapongeza Yanga kufika fainali ya CAFCC kwa mwaka 2023 lakini pia nachukua nafasi hii kutokubaliana na upendeleo wa dhahiri uliofanywa na Mama kwa klabu ya Yanga Ni jambo la kushangaza Mama ana miaka 3 madarakani na katika muda huo kaikuta Simba ikishiriki mashindano haya...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Inaelezwa kwamba Mbali na Mtaala Mbovu, Ajira za Kujuana ni chanzo kingine cha Elimu Mbovu Nchini

    I. Utangulizi Elimu ni nguzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote, na taasisi za juu za elimu zina jukumu kubwa katika kutoa elimu bora na kuandaa wahitimu wenye ujuzi na uwezo wa kuchangia katika maendeleo ya nchi. Hata hivyo, nchini Tanzania, mbali na mtaala mbovu unaohitaji kuboreshwa...
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Thamani ya kijana nchini Tanzania

    Tumeaminishwa kwa kipindi kirefu sana juu ya umuhimu wa kijana katika taifa linaloendelea. Tumeambiwa kuwa kijana ni nguvu ya taifa la sasa na lijalo, na kuwa ni juu ya kijana kuendeleza taifa lake. Zaidi ya asilimia 70 ya watanzania ni wa umri chini ya miaka 45, nchi hii imejaaliwa vijana wengi...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ziara ya kikazi ya Waziri Jumaa Aweso nchini Italia

    ZIARA YA KIKAZI YA MHESHIIWA JUMAA AWESO WAZIRI WA MAJI NCHINI ITALIA Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso alifanya ziara ya kikazi Rome-Italy hivi karibu mwezi Mei mwaka 2023. Akiwa Italia Mhe Waziri Aweso alipokelewa na mwenyeji wake Balozi wa Tanzania nchini Italia Mheshimiwa Mahamood...
  6. JamiiForums Tanzania Pande zinazopigana zalaumiana kukosa uaminifu wa kusitisha mapigano Nchini Sudan

    Licha ya kuwepo kwa mazungumzo ya kusitisha vita baina ya pande mbili zinazogombea madaraka kumeibuka lawama huku kila upande ukilaumu Jeshi la Sudan na wapiganaji wa Vikosi vya RSF wameendelea kutishia utulivu hasa katika Mji Mkuu wa Khartoum na hivyo kuwa na uwezekano wa kuvunjika kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli pamoja na kuwa hatunae, Malawi wameandika kitabu kuenzi kazi zake

    Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt. Tax ateta na Mabalozi wa Italia na Umoja wa Ulaya Nchini

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Italia nchini, Mhe. Marco Lombardi pamoja na Balozi wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU) nchini, Mhe. Manfredo Fanti katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam...
  9. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Sababu zinazopelekea vifo vya mama na mtoto na nini kifanyike kuzuia vifo vya mama na mtoto nchini

    SABABU ZINAZOPELEKEA VIFO VYA MAMA NA MTOTO NCHINI 1 ukosefu wa wataalamu wa afya wa kutosha . 2, ukosefu wa vifaa tiba .3 uzembe wa baadhi ya watumishi wakiwa eneo lao la kazi . 4 , upungufu wa vituo vya afya . 5 baadh ya watumishi kukosa wito katika kazi .6 jamii kukosa elimu kuhusu afya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Mpishi, Mshahara Milioni 1.-Kwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania

    View Vacancy - Chef (08/23 DAR) The British Government is an inclusive and diversity-friendly employer. We value difference, promote equality and challenge discrimination, enhancing our organisational capability. We welcome and encourage applications from people of all backgrounds. We do not...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Masauni, Katibu Mkuu Mmuya, kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa ID4AFRICA Nchini Kenya

    WAZIRI MASAUNI, KATIBU MKUU MMUYA WAWASILI NCHINI KENYA, KUSHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA ID4AFRICA UTAKAOJADILI IKOLOJIA YA UTAMBULISHO Na Mwandishi Wetu, MoHA, Nairobi WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameambatana na Katibu Mkuu wa Wizara, Kaspar Mmuya pamoja na...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nchini KM 2035 zinajengwa kwa wakati mmoja

    Kwa mara ya kwanza Tanzania inaandika historia chini ya Rais Samia Suluhu kwa kutekeleza ujenzi wa Kilometa nyingi za barabara kwa wakati mmoja. Serikali inaenda kutekeleza miradi mikubwa yenye Jumla ya kilometa 2035 ambayo itaanza kutekelezwa Kwa wakati Mmoja na itagharimu shilingi trillioni...
  13. JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wa Halmashauri Nchini Watakiwa kutenga Fedha za Ndani ili Kuunga Mkono Juhudi za Wananchi

    WAKURUGENZI WA HALMASHAURI NCHINI WATAKIWA KUTENDA FEDHA ILI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA WANANCHI Wakurugenzi wa Halmashauri Nchini Wametakiwa kuhakiksha wanatenga fedha katika mapato ya ndani ili kuunga mkono juhudi za wananchi katika maeneo yao ya kiutawala. Agizo hilo limetolewa leo 22 Mei, 2023...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza mapitio ya tozo ili kupunguza gharama za bando

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumza katika kipindi cha Clouds360 kinachorushwa kupitia Clouds TV ameeleza kuwa Rais wa Tanzania; Dkt Samia Suluhu ameridhia kufanyika kwa mapitio ya baadhi ya tozo ili kupunguza gharama za Bando kama ambavyo watanzania...
  15. JamiiForums Tanzania SoC03 Mapinduzi ya Kiteknolojia katika Sekta ya Afya nchini Tanzania

    Utangulizi: Sekta ya afya ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na uchumi wa Taifa lolote. Katika Tanzania, kuna umuhimu mkubwa wa kufanya mabadiliko ya kiteknolojia ili kuleta mabadiliko chanya katika uwajibikaji na utawala bora katika sekta ya afya. Kwa kuzingatia umuhimu huo, takwimu...
  16. JamiiForums Tanzania Mwili wa Nimrod Mkono kuwasili nchini May 27

    Mwili wa aliyekuwa mbunge wa Butiama Vijijini, Nimrod Mkono aliyefariki April 18 unatarajiwa kuwasili nchini May 27. Mazishi yanatarajiwa kufanyika kijijini kwao Kigori Buswege Wilaya ya Butiama mkoani Mara.
  17. JamiiForums Tanzania Eng: Rogatus Mativila akielezea Mkakati wa Serikali wa kuboresha mtandao wa Barabara nchini pamoja na kupendezesha miji yetu

    Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng: Rogatus Mativila akitoa taarifa fupi ya mradi huo amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) ilitenga fedha kwa ajili ya kuboresha Barabara hiyo ikiwa ni sehemu ya Mkakati wa Serikali wa kuboresha mtandao wa...
  18. JamiiForums Tanzania SoC03 Athari ya uchama nchini kikwazo cha vita dhidi ya umasikini

    Kwanini umasikini unaendelea kuwa adui wa taifa? Ni vigumu kuupatia majibu ila kwa kuugawa maeneo mawili. Nayo; a) chini ya mfumo wa chama kimoja 1961-1992: hapa umasikini ulipigiwa vita kwa kutumia falsafa ya ujamaa wa kujitegemea uliosimamia sera ya uchumi wa kisiasa kuchochea sekta ya kilimo...
  19. JamiiForums Tanzania Dkt Mpango avutiwa na ubunifu wa programu ya IMBEJU katika kuchochea ujumuishi wa kiuchumi nchini

    Arusha. Tarehe 18 Mei 2022 - Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ameipongeza Benki ya CRDB pamoja na taasisi yake ya CRDB Bank Foundation kwa ubunifu iliokuja nao kupitia programu ya IMBEJU ambapo amesema ni wenye manufaa makubwa kwa Taifa. Dkt. Mpango amesema...
  20. JamiiForums Tanzania SoC03 Changamoto za Kufanikiwa katika Elimu na Maisha ya Kijamii nchini Tanzania: Ushauri na Hatua za Kukabiliana Nazo

    CHANGAMOTO ZA KUFANIKIWA KATIKA ELIMU NA MAISHA YA KIJAMII NCHINI TANZANIA: USHAURI NA HATUA ZA KUKABILIANA NAZO Imeandikwa na: Mwl.RCT Utangulizi: Mafanikio katika elimu na maisha ya kijamii ni ndoto ya kila mtu. Hata hivyo, kufikia ndoto hii sio rahisi kama inavyoonekana. Kuna changamoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…