Rais Nyusi arejea nchini Msumbiji baada ya kumalizika kwa Mkutano Dar es Salaam

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,989
Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Filipe Jacinto Nyusi ameondoka nchini baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali kuhusu Rasilimali Watu (Africa Human Capital Heads of State Summit) uliofanyika jijini Dar es Salaam tarehe 25 na 26 Julai, 2023.

Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam, Rais Nyusi amesindikizwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb.), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila na Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji, mhe. Faustine Kasike.
1dd08318-2cd1-4d9c-9db5-58c62d85cefd.jpg

1a4469e4-7c75-44a1-bcab-1e0791ea0154.jpg

5d661681-89c0-421d-a777-c70d843bef9d.jpg
 
Back
Top Bottom