Serikali imesema inaendelea kufuatilia kuhusu hali za Watanzania waliopo nchini Israel na kwamba taarifa zaidi zitatolewa pale itakapobidi.
Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam leo, Oktoba 29, 2023 na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi alipozungumza na wahariri na waandishi wa...
Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier, atafanya Ziara ya Kikazi nchini kuanzia tarehe 30 Oktoba hadi 01 Novemba 2023. Ziara hii mbali na kudumisha uhusiano wa Kidiplomasia na ushirikiano wa kimaendeleo baina ya Tanzania na Ujerumani, pia imelenga kwenye kukuza na...
Wanaukumbi.
Watanzania wawili na raia mmoja wa Africa Kusini ni miongoni mwa mateka 224 wanaoshikiliwa na Hamas baada ya mashambulizi ya Oktoba 7 nchini Israel, serikali ya Israel inasema.
Hakuna hata mmoja kati ya hao watatu aliyetajwa.
Mamlaka ya Tanzania hapo awali ilikuwa imethibitisha...
PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan akiagwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kenneth Kaunda Nchini Zambia na Rais wa Nchi hiyo Mhe, Hakainde Hichilema mara baada ya kuhitimisha Ziara ya Siku tatu ya kimataifa Nchini humo.
Chama cha ACT Wazalendo hakiliridhishwi na kasi ya Serikali katika kushughulikia matukio ya tembo kuvamia makazi, kuharibu mali (mazao) na kutishia usalama wa wananchi nchini. Tangu mwaka 2021 vilio vya wananchi wanaoishi pembezoni au maeneo yanayozunguka hifadhi au mbuga za wanyama kama vile...
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe ametoa rai kwa Watanzania kupenda na kunununua bidhaa zinazotengenezwa na viwanda nchini ili kupanua wigo wa masoko ya bidhaa, kuongeza uzalishaji kukuza viwanda, kuongeza ajira na kipato cha mtu binafsi na pato la Taifa.
Kigahe ameyasema...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan amewasili Nchini Zambia kwa Ziara ya Kitaifa ya Siku tatu kuanzia leo tarehe 23-25 October 2023 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema.
Katika Ziara hiyo Rais Samia atashiriki Matukio mbalimbali...
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo imeibua miradi ya kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa kusimamia taka nchini.
Amesema hayo wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa mikakati...
Umoja wa Mataifa (UN) nchini Tanzania unatarajia kuadhimisha miaka 78 tangu ilipoanzishwa mwaka 1945.
Akizungumza na waandishi wa Habari kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa...
Ujerumani inampango wa kuanza kuwarudisha kwao wahamiaji waliotoka nchi za kiislamu nchini kwao
haya yamejili baada ya channellor wa ujerumani kutembelea nchi ya Israel na kushuhudia mauji ya raia wa Israel waliouliwa na magaidi wa kundi la HAMAS linalopewa support na Palestina pamoja na...
Serikali ya Zimbabwe inaendelea na jitihada za kuzuia kuenea kwa mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu licha ya kuwa maambukizi yemesamba katika Majimbo 10 huku kukiwa na ongezeko kubwa zaidi katika majimbo ya Kusini-Mashariki ya Masvingo na Manicaland.
Mlipuko wa Kipindupindu umeua zaidi ya watu...
Nguvu ya mashambulizi ya Israel imeonekana hapo jana na mapema leo, ambapo mashambulizi ya ndege za kivita yameendelea usiku kucha huko Gaza ambako tayari eneo kubwa limekuwa kifusi.
Sambamba na Gaza shambulio jengine limetokea tena leo huko ukingo wa Magharibi ambapo kombora limeua zaidi ya...
1: Uwe msiri na usiwe unapatikana kirahisi wakati wote au kuwa adimu( do not be too available).
Huwezi kumkuta nabii wa uongo anatembeatembea hovyo au anapatikana kirahisi. Watu wanatafuta kitu adimu sio kinachopatikana kila mahali.
2: Usijibujibu tuhuma. Usiongee au kujitetea unaposhambuliwa...
Je, ni uchumi kukua kiasi kwamba watu wanapesa za kula na za anasa na burudani?
Je, ni ugumu wa maisha watu wameamua kupoteza lengo katika burudani na michezo?
Je, ni kukua kwa kiwango cha ufuatiliaji wa mpira wa ndani kwa siku za karibuni?
Nimelinganisha maudhurio yetu yanaendana na ya nchi...
Kocha wa zamani wa Arsenal ambaye kwa sasa ni Mkuu wa maendeleo ya soka wa FIFA, Arsene WENGER tayari ametua nchini Tanzania kwa ajili ya kuitazama mechi ya ufunguzi wa Mashindano ya African Football League kati ya wenyeji Simba SC dhidi ya Al Ahly katika dimba la Benjamin Mkapa.
--
Mkufunzi...
Je, umekua na shauku ya kutaka kujua Fedha haramu ni zipi na kwa nini zinataroshwa?
Karibu ujiunge nasi katika Mjadala na Wataalamu wa Uchumi utakaofanyika Alhamisi ya Oktoba 19, 2023 kuanzia Saa 12 Jioni hadi Saa 2 Usiku kupitia Xspaces ya JamiiForums
Katika Mjadala huu tutaangazia nini Maana...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imepokea na kujadili taarifa ya hatua zilizofikiwa za utekelezaji wa maelekezo ya Spika wa Bunge kuhusu Malalamiko ya wakulima juu ya Matrekta ya URSUS kutoka Nchini Poland.
Taarifa hiyo imewasilishwa na Waziri wa Viwanda na...
Norway imetangaza kufunga ubalozi wake nchini Uganda mwaka ujao kama sehemu ya mageuzi ya kina katika huduma zake za kigeni.
Taarifa iliyotolewa na ubalozi huo siku ya Ijumaa ilisema kuwa mabadiliko kadhaa yanaendelea katika uwepo wa kidiplomasia wa nchi hiyo nje ya nchi.
"Kuzingatia na...
Zuio la TCRA Matumizi ya VPN linakandamiza uhuru wa habari Nchini.
Chama cha ACT Wazalendo kupitia Wizara Kivuli ya Habari na Mawasiliano tunapinga vikali taarifa ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania -TCRA ya kukataza matumizi ya Mtandao binafsi maarufu kama VPN (Virtual Private Network)...